SACCOS_Traing_Guide

SACCOS_Traing_Guide SACCOS_Traing_Guide

24.10.2015 Views

32 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS au kiangazi ambazo hazikuweza kubainishwa mapema. Vyote hivi vitaathiri kipato cha mwanachama na chama kushindwa kutoa huduma stahili kwa wanachama. ‣ Kwa upande wa uchumi, chama kinaweza kuathirwa na mabadiliko ya uchumi kama vile mfumuko wa bei au kushuka kwa thamani ya fedha. 6.5 Njia za kudhibiti majanga 6.5.1 Majanga ya kijamii ‣ Kufanya utafiti wa soko kujua walengwa na huduma/bidhaa wanazotaka. ‣ Wanachama waliojitoa ni chanzo kizuri cha kujua ubora wa bidhaa au huduma zinazotolewa. 6.5.2 Majanga ya kibiashara ‣ Kuwa na riba endelevu katika chama inayozingatia gharama za uendeshaji, mtaji, mikopo mibaya, faida n.k. ‣ Kuandaa mpango mkakati wa kuonesha chama kitakapokuwa kwa miaka 3 au 5 ijayo. ‣ Kuandaa vigezo vya ufanisi katika chama. 6.5.3 Majanga ya utegemezi Changamoto kubwa iliyopo ni jinsi chama kitavyoweza kujitegemea na kuimarika. ‣ Kuweka mkakati wa ujenzi wa mtaji wa chama na kudhibiti utegemezi. 6.5.4 Majanga ya mikopo Yanatokana na mikopo mibaya ambayo wanachama wameshindwa kurejesha kwa wakati. ‣ Kuwa na ongezeko la mikopo midogo ili janga kuwa dogo. ‣ Uandaaji mzuri wa bidhaa za mikopo mfano riba, umri kiwango,aina n.k. ‣ Kuwa na bima ya akiba na amana 6.5.6 Majanga ya ubadhirifu ‣ Kuwepo na urahisi na uwazi katika uendeshaji wa SACCOS ili wanachama, bodi na watendaji waweze kubaini ubadhirifu kirahisi. ‣ Kuwepo na sera ya ajira katika SACCOS. ‣ Utunzaji mzuri wa fedha. 6.5.7 Majanga ya usalama ‣ Uhifadhi mzuri wa fedha muda wote. ‣ Kuweka fedha katika benki zilizoko karibu.

Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS 33 ‣ Kuwa na bima. Bima ni moja ya kinga za majanga na mkataba maalumu wa kisheria unaolinda watu kutoingia gharama kutokana na kifo, ugonjwa, wizi au ubadhirifu wa mali na fedha. Bima inasaidia kulinda mikopo isipotee ikiwa kwa bahati mbaya mkopaji amefariki dunia na kuiwzesha familia yake kuendelea kunufaika na akiba na amana za mwanachama huyu badala ya kutumia akiba na amana hizo kulipia mikopo. Bima inasaidia kufidia hasara inayotokea chamani kutokana na wizi au uvamizi wa fedha/mali za chama zikiwa njiani au ofisini. Kila mkopaji anakatwa asilimia fulani ya mkopo kwa ajili ya bima. 6.5.8 Aina ya Bima [a] Bima ya mkopo Hii ni bima inayowekwa kulinda mikopo isipotee ikiwa kwa bahati mbaya mkopaji amafariki dunia au janga lolote linaloweza kusababishwa mikopo kutorejeshwa. [b] Bima ya fedha Bima ya fedha za chama zikiwa safarini au ofisini [kwenye kasiki]. kuna umuhimu wa SACCOS kuwa na bima dhidi ya fedha zinapokuwa safarini au ofisini. [c] Bima ya mali za chama [ magari, jengo] Hii ni bima inayowekwa kulinda mali za chama dhidi ya majanga yanayoweza kuzikumba. [d] Gharama za mazishi Bima inaweza kuwekwa pia kwa ajili ya gharama za mazishi.

Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS

33

‣ Kuwa na bima.

Bima ni moja ya kinga za majanga na mkataba maalumu wa kisheria unaolinda watu

kutoingia gharama kutokana na kifo, ugonjwa, wizi au ubadhirifu wa mali na fedha.

Bima inasaidia kulinda mikopo isipotee ikiwa kwa bahati mbaya mkopaji amefariki

dunia na kuiwzesha familia yake kuendelea kunufaika na akiba na amana za

mwanachama huyu badala ya kutumia akiba na amana hizo kulipia mikopo.

Bima inasaidia kufidia hasara inayotokea chamani kutokana na wizi au uvamizi wa

fedha/mali za chama zikiwa njiani au ofisini.

Kila mkopaji anakatwa asilimia fulani ya mkopo kwa ajili ya bima.

6.5.8 Aina ya Bima

[a]

Bima ya mkopo

Hii ni bima inayowekwa kulinda mikopo isipotee ikiwa kwa bahati mbaya mkopaji amafariki

dunia au janga lolote linaloweza kusababishwa mikopo kutorejeshwa.

[b]

Bima ya fedha

Bima ya fedha za chama zikiwa safarini au ofisini [kwenye kasiki]. kuna umuhimu wa SACCOS

kuwa na bima dhidi ya fedha zinapokuwa safarini au ofisini.

[c]

Bima ya mali za chama [ magari, jengo]

Hii ni bima inayowekwa kulinda mali za chama dhidi ya majanga yanayoweza kuzikumba.

[d]

Gharama za mazishi

Bima inaweza kuwekwa pia kwa ajili ya gharama za mazishi.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!