SACCOS_Traing_Guide

SACCOS_Traing_Guide SACCOS_Traing_Guide

24.10.2015 Views

26 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS ‣ Kamati ya mikopo ndiyo yenye jukumu la kutathmini na kuidhinisha mikopo. ‣ Isipokuwa, mikopo ya wajumbe wa bodi, wajumbe wa kamati ya usimamizi na watendaji itaidhinishwa na bodi. ‣ Mikopo ya dharura inaweza ikaidhinishwa na meneja wa chama kulingana na sera ya mikopo ya chama husika. IV. Utoaji wa mikopo Kabla ya mkopo kutolewa mwombaji mkopo anapaswa kujaza na kusaini fomu ya mkataba kwa upande mmoja kama mkopaji na SACCOS kwa upande mwingine kama mkopeshaji. V. Ulipaji wa mikopo Marejesho ya mkopo yatafanywa kwa kuzingatia sera, kanuni na taratibu za mikopo kama ilivyoainishwa kwenye mkataba. Marejesho hayo ya mkopo yatajumuisha mkopo halisi na riba, na marejesho hayo yatafanyika kwa fedha taslimu kwa wakati unaostahili. VI. Usimamizi na ufuatiliaji wa mikopo SACCOS itafanya usimamizi na ufuatiliaji wa mikopo kuhakikisha kwamba mkopaji anazingatia masharti ya mkopo wakati wote. SACCOS kila mara itamfuatilia mrejeshaji namna anavyorejesha, matumizi na uthibitisho wa kuwepo kwa dhamana. 5.4 Umuhimu wa urejeshaji mikopo kwa wakati katika SACCOS Mikopo yote inatakiwa kurejeshwa kwa wakati ili kuepuka kumomonyolewa kwa fedha za mikopo [Erosion of fund] ambako kunatokana na mambo makuu mawili yafuatayo: ‣ Mikopo chechefu/karisaji [Delinquency]. ‣ Mikopo mibaya [Default]. [i] Mikopo chechefu Mikopo chechefu hutokea pale ambapo mkopaji amechelewesha marejesho ya mkopo kama ilivyotakiwa kwenye mkataba. Mkopo huwa chechefu kuanzia kucheleweshwa kwa marejesho baada ya siku moja toka tarehe ya marejesho. [ii] Mikopo mibaya Mikopo chechefu isipofuatiliwa katika utaratibu wa ulipaji uliokubalika kwa zaidi ya siku 120 mikopo hiyo hubadilika na kuwa mikopo mibaya. Ishara za mikopo mibaya ni kama ifuatavyo;

Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS 27 ‣ Malipo ya mikopo isiyozingatia taratibu. ‣ Kutoweka akiba mara kwa mara. ‣ Kutowekw hisa na akiba kwa wakati. ‣ Uongozi dhaifu. ‣ Kubadilisha shughuli iliyoombewa mkopo bila ya kutoa taarifa. ‣ Kubadilisha eneo la shughuli bila kutoa taarifa. ‣ Kutoonekana kwa mkopaji. 5.5 UCHELEWESHAJI WA MIKOPO Ni kiasi ambacho mwanachama ameshindwa kukirejesha kama alivyoahidi na kama ilivyo katika mkataba wa mkopo wake. Hivyo basi endapo mwanachama atashindwa kulipa angalau kwa kipindi kimoja au siku moja,tayari mkopo huo utakuwa umeshacheleweshwa. 5.6 MIONGONI MWA SABABU ZINAZOMFANYA MWANACHAMA KUSHINDWA KUREJESHA MIKOPO (a) Kuwepo kwa sera dhaifu za SACCOS. (b) Udhaifu kwa upande wa mkopeshaji (SACCOS) kwa kufanya tathmini isiyoridhisha, usimamizi na ufuatiliaji usioridhisha, kutowasiliana na wateja mara kwa mara, utaratibu mbovu wa uendeshaji wa shughuli za SACCOS. (c) Kutolipa marejesho kwa makusudi kunakosababishwa na kukosa uaminifu. kukataa kufuata taratibu za mikopo. (d) Kutorejesha mikopo kwa sababu zilizo nje ya uwezo wa mkopaji kama vile mafuriko, ukame,kifo n.k. (e) Kushindwa kulipa kutokana na mkopaji kutumia mkopo kwa matatizo ya dharura ya familia au ya binafsi au matumizi mabaya. (f ) Hulka mbaya ya jamii fulani ya kutorejesha mikopo inayotolewa na Taasisi mbalimbali za kifedha. (g) Biashara inapokuwa imekwenda kinyume na matarajio ya mkopaji, kwa biashara kushindwa kuzalisha kwa sababu ya maafa ya Asili/majanga mbalimbali, mabadiliko ya ghafla ya bei, ugumu wa kupata soko n.k. (h) Mkopaji kuwa na mikopo mingi toka sehemu mbalimbali kwa wakati mmoja. (i) Uchukuaji wa fedha nyingi zaidi ya mahitaji. (j) Uwekazaji kwenye baishara zisizokuwa halali. (k) Tamaa ya kununua vitu visivyokuwa vya uzalishaji. (l) Mkopaji kutokuwa mbunifu kibiashara. (m) Kutopatikana kwa mikopo kwa muda mwafaka. 5.7 MADHARA YANAYOWEZA KUTOKEA IWAPO MIKOPO ITASHINDWA KUREJESHWA. Pale ambapo kipindi cha mikopo kimekwishamalizika ilhali sehemu au mkopo wote haujarudishwa na hakuna dalili za mdaiwa kurejesha, ni vyema wanachama wote wakaelewa madhara makubwa

Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS

27

‣ Malipo ya mikopo isiyozingatia taratibu.

‣ Kutoweka akiba mara kwa mara.

‣ Kutowekw hisa na akiba kwa wakati.

‣ Uongozi dhaifu.

‣ Kubadilisha shughuli iliyoombewa mkopo bila ya kutoa taarifa.

‣ Kubadilisha eneo la shughuli bila kutoa taarifa.

‣ Kutoonekana kwa mkopaji.

5.5 UCHELEWESHAJI WA MIKOPO

Ni kiasi ambacho mwanachama ameshindwa kukirejesha kama alivyoahidi na kama ilivyo katika

mkataba wa mkopo wake.

Hivyo basi endapo mwanachama atashindwa kulipa angalau kwa kipindi kimoja au siku moja,tayari

mkopo huo utakuwa umeshacheleweshwa.

5.6 MIONGONI MWA SABABU ZINAZOMFANYA MWANACHAMA KUSHINDWA KUREJESHA

MIKOPO

(a) Kuwepo kwa sera dhaifu za SACCOS.

(b) Udhaifu kwa upande wa mkopeshaji (SACCOS) kwa kufanya tathmini isiyoridhisha, usimamizi

na ufuatiliaji usioridhisha, kutowasiliana na wateja mara kwa mara, utaratibu mbovu wa

uendeshaji wa shughuli za SACCOS.

(c) Kutolipa marejesho kwa makusudi kunakosababishwa na kukosa uaminifu. kukataa kufuata

taratibu za mikopo.

(d) Kutorejesha mikopo kwa sababu zilizo nje ya uwezo wa mkopaji kama vile mafuriko, ukame,kifo

n.k.

(e) Kushindwa kulipa kutokana na mkopaji kutumia mkopo kwa matatizo ya dharura ya familia au

ya binafsi au matumizi mabaya.

(f ) Hulka mbaya ya jamii fulani ya kutorejesha mikopo inayotolewa na Taasisi mbalimbali za

kifedha.

(g) Biashara inapokuwa imekwenda kinyume na matarajio ya mkopaji, kwa biashara kushindwa

kuzalisha kwa sababu ya maafa ya Asili/majanga mbalimbali, mabadiliko ya ghafla ya bei,

ugumu wa kupata soko n.k.

(h) Mkopaji kuwa na mikopo mingi toka sehemu mbalimbali kwa wakati mmoja.

(i) Uchukuaji wa fedha nyingi zaidi ya mahitaji.

(j) Uwekazaji kwenye baishara zisizokuwa halali.

(k) Tamaa ya kununua vitu visivyokuwa vya uzalishaji.

(l) Mkopaji kutokuwa mbunifu kibiashara.

(m) Kutopatikana kwa mikopo kwa muda mwafaka.

5.7 MADHARA YANAYOWEZA KUTOKEA IWAPO MIKOPO ITASHINDWA KUREJESHWA.

Pale ambapo kipindi cha mikopo kimekwishamalizika ilhali sehemu au mkopo wote haujarudishwa

na hakuna dalili za mdaiwa kurejesha, ni vyema wanachama wote wakaelewa madhara makubwa

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!