SACCOS_Traing_Guide

SACCOS_Traing_Guide SACCOS_Traing_Guide

24.10.2015 Views

24 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS (e) Sera ya madeni mabaya na ufutaji wa madeni Inajumuisha utaratibu wa kufuta madeni. (f) Sera ya uundaji mikopo upya Inajumuisha sababu za msingi zinazokubalika, mkopo kuweza kuundwa upya na hatua za uundaji mkopo upya. (g) Sera na taratibu za Uhasibu Inajumuisha uhifadhi wa fedha za chama, udhibiti na usimamizi wa fedha taslimu na Benki. Usimamizi wa mali za kudumu za chama na kiwango cha uchakavu wa mali hizo, viwango vya matengo ya madeni chechefu na matengo ya Akiba za kisheria na utaratibu wa kugawana gawio la ziada. (h) Sera na kanuni za utumishi Inajumuisha mamlaka ya kuajiri watumishi wa SACCOS, mkataba wa ajira wa watumishi, aina ya kazi za watumishi, maslahi ya watumishi wake. (i). Sera ya Uongozi na utawala Inajumuisha huduma za chama kwa wanachama wake, kushiriki katika vikao vya chama na miiko ya maadili kwa viongozi.

Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS 25 5. USIMAMIZI WA MIKOPO KATIKA MAENDELEO YA SACCOS 5.1 MAANA YA MIKOPO Ni kiasi cha fedha, mali na bidhaa ambazo mtu/chama kimetoa kwa mwanachama na hatimaye kurudisha katika muda fulani pamoja na riba. 5.2 USIMAMIZI WA MIKOPO Ni utaratibu unaolenga kupunguza upotevu wa fedha za mikopo kwa mtu kushindwa kulipa mikopo au kukataa kulipa mkopo. 5.3 Mchakato wa usimamizi wa mikopo I. Maombi ya mikopo Maombi ya mikopo yanafanyika kupitia fomu ya maombi ya mikopo. kabla ya kujaza fomu ya maombi ya mkopo, mahojiano yatafanyika kati ya mwombaji na afisa mikopo kubaini iwapo mwombaji ana sifa za kukopa kwa wakati huo. Mambo ya msingi ya kuzingatia katika maombi ya mkopo ni; II. Taarifa binafsi na za familia ya mwombaji. Shughuli za kiuchumi za mwombaji. Kujua dhamana inayowekwa na Taarifa za mkopo unaoombwa. Kumbukumbu za mteja na tamko. Tathimini ya maombi ya mkopo Mambo yafuatayo yanapaswa kuzingatiwa wakati wa kutathmini maombi ya mkopo: Mahali ilipo biashara. Tabia ya mwombaji. Uwezo wa mwombaji kulipa mkopo. Madhumuni ya mkopo. Vipindi vya marejesho. Taarifa za wadhamini kuhusu akiba na mikopo yao. Thamani ya dhamana iliyotolewa zaidi ya akiba. Afisa mkopo atafungua faili la mkopaji la mkopo ambalo litakuwa na tathmini ya mkopo, uthibitisho na usahihi wa dhamana na kupeleka mapendekezo kwenye kamati ya mikopo. III. Uidhinishaji wa mikopo

Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS

25

5. USIMAMIZI WA MIKOPO KATIKA MAENDELEO YA

SACCOS

5.1 MAANA YA MIKOPO

Ni kiasi cha fedha, mali na bidhaa ambazo mtu/chama kimetoa kwa mwanachama na hatimaye

kurudisha katika muda fulani pamoja na riba.

5.2 USIMAMIZI WA MIKOPO

Ni utaratibu unaolenga kupunguza upotevu wa fedha za mikopo kwa mtu kushindwa kulipa mikopo

au kukataa kulipa mkopo.

5.3 Mchakato wa usimamizi wa mikopo

I. Maombi ya mikopo

Maombi ya mikopo yanafanyika kupitia fomu ya maombi ya mikopo. kabla ya kujaza fomu ya

maombi ya mkopo, mahojiano yatafanyika kati ya mwombaji na afisa mikopo kubaini iwapo

mwombaji ana sifa za kukopa kwa wakati huo. Mambo ya msingi ya kuzingatia katika maombi

ya mkopo ni;

II.

Taarifa binafsi na za familia ya mwombaji.

Shughuli za kiuchumi za mwombaji.

Kujua dhamana inayowekwa na Taarifa za mkopo unaoombwa.

Kumbukumbu za mteja na tamko.

Tathimini ya maombi ya mkopo

Mambo yafuatayo yanapaswa kuzingatiwa wakati wa kutathmini maombi ya mkopo:

Mahali ilipo biashara.

Tabia ya mwombaji.

Uwezo wa mwombaji kulipa mkopo.

Madhumuni ya mkopo.

Vipindi vya marejesho.

Taarifa za wadhamini kuhusu akiba na mikopo yao.

Thamani ya dhamana iliyotolewa zaidi ya akiba.

Afisa mkopo atafungua faili la mkopaji la mkopo ambalo litakuwa na tathmini ya mkopo,

uthibitisho na usahihi wa dhamana na kupeleka mapendekezo kwenye kamati ya mikopo.

III.

Uidhinishaji wa mikopo

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!