SACCOS_Traing_Guide

SACCOS_Traing_Guide SACCOS_Traing_Guide

24.10.2015 Views

16 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS NA HALI DUNI YA SACCOS HALI YA KURIDHISHA YA SACCOS 1 Wanachama wachache wa SACCOS Wanachama wanaoongezeka 2 Mtaji mdogo katika SACCOS Mtaji unaoongezeka 3 Mikopo midogo inayotolewa kwa mwaka Mikopo inayotolewa kila mwaka inaoongezeka 4 Mikopo chechefu ni mingi Madeni chechefu ni kidogo 5 Mapato ya SACCOS ni kidogo sana Mapato ni makubwa sana 6 Faida kwa mwaka ni kidogo sana Faida kwa mwaka ni kubwa 7 SACCOS haina uwezo wa kuajiri watendaji SACCOS ina ajiri watendaji wenye sifa na ujuzi 8 Saccos haizungumzwi vema katika jamii SACCOS inazungumzwa vema katika jamii 9 Wanachama waaminifu wanazidi kupungua Wanachama waaminifu wanaongezeka 3.5 SEHEMU KUU ZA UONGOZI WA SACCOS Uongozi wa SACCOS uko mikononi mwa: (xv) (xvi) (xvii) (xviii) Mkutano mkuu wa wanachama wote Wajumbe wa Bodi ya chama Kamati ya mikopo na kamati ya usimamizi Menejimenti ya chama 3.5.1 Wajumbe wa bodi ya chama Wajumbe wa Bodi ya chama watakuwa kati ya 5 – 9 watakaochaguliwa na mkutano mkuu wa mwaka Mikutano ya bodi itafanyika mara 4 kwa mwaka ‣ KAZI ZA BODI YA CHAMA I. Kutunga kanuni za fedha za SACCOS II. kuhakikisha SACCOS inatunza kumbukumbu sahihi za hesabu zinazoonesha hali halisi ya kifedha ya SACCOS III. Kuhakikisha katika SACCOS kuna udhibiti wa ndani uliothabiti IV. kuweka kwa usahili daftari la wanachama V. Kuweka kwa usahili mihtasari ya mikutano mikuu na mikutano ya bodi VI. kuwasilisha kwenye mkutano mkuu wa mwaka mahesabu yaliyokaguliwa VII. Kuwasilisha kwenye mkutano mkuu wa mwaka bajeti ya mapato na matumizi ya mwaka unaofuata VIII. Kupendekeza malipo ya gawio kwenye mkutano mkuu baada ya idhini ya mrajisi IX. Kupitisha taarifa ya fedha ya chama ya kila mwezi X. Kuidhinisha maombi ya mikopo kutoka kwa wajumbe wa bodi na kamati za chama (kamati ya mikopo na usimamizi) XI. Kupokea na kujadili taarifa ya kamati ya mikopo na kamati ya usimamizi

Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS 17 XII. XIII. XIV. XV. XVI. XVII. XVIII. XIX. XX. XXI. XXII. XXIII. Kumwezesha mtu aliyeidhinishwa kukagua vitabu vya chama na kuhakikisha kuwa hatua zimechukuliwa kutokana na taarifa ya ukaguzi Kuandaa mpango biashara wa chama Kuajiri na kuteua watumishi wenye sifa za kutosha kutenda shughuli za kila siku za chama Kupanga saa za kazi katika SACCOS Kupanga riba ya mikopo, faida za Akiba na Amana kwa kushauriana na meneja wa SACCOS Kumsimamisha mjumbe yeyote wa bodi ambaye ameshindwa kutimiza masharti ya vyama vya ushirika, kanuni na masharti ya chama hadi mkutano mkuu utakapotoa uamuzi wake Kusimamia na kupima mara kwa mara kazi za watendaji Kuwaingiza wanachama wapya ikisubiri uthibitisho wa mkutano mkuu Kutunza daftari la mahudhurio la wajumbe wa bodi Kuchapisha hati za kumiliki hisa kwa ajili ya wanachama Kuandaa marekebisho ya masharti ya chama pale inapobidi na kuwasilisha kwenye mkutano mkuu Kutengeneza mpango mkakati wa chama, mpango kazi na utaratibu wa utekelezaji wa mwaka. 3.6 KAMATI YA USIMAMIZI KILA CHAMA cha ushirika cha akiba na mikopo kitakuwa na kamati ya usimamizi kusimamia shughuli za kifedha katika chama. Kamati hii itaundwa na wajumbe watatu waliochaguliwa katika mkutano mkuu, wajumbe hawa hawatakuwa wajumbe wa bodi au wajumbe wa kamati ya mikopo, wanawajibika na kuwajibishwa na mkutano mkuu wa SACCOS. Wajumbe wa kamati ya Usimamizi kama wawakilishi wa wanachama moja ya kazi zao ni kuwa wakaguzi na washauri wa SACCOS. 3.6.1 Kamati ya usimamizi kama mkaguzi wa SACCOS, inatakiwa kufanya kazi zifuatazo: I. Kuhakikisha ukaguzi unafanyika mara kwa mara na kwamba shughuli za SACCOS zinatekelezwa kwa kufuata sheria, taratibu, sera, kanuni zilizopo na maagizo ya mkutano mkuu. II. Kuona kuwa SACCOS inatekeleza majukumu ya kutoa huduma bora za kifedha kwa jamii na inakuwa karibu na wanachama. 3.6.2 Kamati ya usimamizi kama mshauri itakuwa na kazi ya kutoa ushauri, maoni na mapendekezo yake kwenye Bodi, kamati ya mikopo na manejimenti kwa lengo la kuboresha na kuimarisha huduma zao na pia uhusiano mzuri na wanachama ambao kwa upande mmoja ni wateja na kwa upande mwingine ni wenye mali na pia ni sehemu ya jamii. 3.6.3 Kamati ya usimamizi ina mamlaka yafuatayo:

Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS

17

XII.

XIII.

XIV.

XV.

XVI.

XVII.

XVIII.

XIX.

XX.

XXI.

XXII.

XXIII.

Kumwezesha mtu aliyeidhinishwa kukagua vitabu vya chama na kuhakikisha kuwa

hatua zimechukuliwa kutokana na taarifa ya ukaguzi

Kuandaa mpango biashara wa chama

Kuajiri na kuteua watumishi wenye sifa za kutosha kutenda shughuli za kila siku za

chama

Kupanga saa za kazi katika SACCOS

Kupanga riba ya mikopo, faida za Akiba na Amana kwa kushauriana na meneja wa

SACCOS

Kumsimamisha mjumbe yeyote wa bodi ambaye ameshindwa kutimiza masharti ya

vyama vya ushirika, kanuni na masharti ya chama hadi mkutano mkuu utakapotoa

uamuzi wake

Kusimamia na kupima mara kwa mara kazi za watendaji

Kuwaingiza wanachama wapya ikisubiri uthibitisho wa mkutano mkuu

Kutunza daftari la mahudhurio la wajumbe wa bodi

Kuchapisha hati za kumiliki hisa kwa ajili ya wanachama

Kuandaa marekebisho ya masharti ya chama pale inapobidi na kuwasilisha kwenye

mkutano mkuu

Kutengeneza mpango mkakati wa chama, mpango kazi na utaratibu wa utekelezaji

wa mwaka.

3.6 KAMATI YA USIMAMIZI

KILA CHAMA cha ushirika cha akiba na mikopo kitakuwa na kamati ya usimamizi kusimamia shughuli za

kifedha katika chama. Kamati hii itaundwa na wajumbe watatu waliochaguliwa katika mkutano mkuu,

wajumbe hawa hawatakuwa wajumbe wa bodi au wajumbe wa kamati ya mikopo, wanawajibika na

kuwajibishwa na mkutano mkuu wa SACCOS.

Wajumbe wa kamati ya Usimamizi kama wawakilishi wa wanachama moja ya kazi zao ni kuwa wakaguzi

na washauri wa SACCOS.

3.6.1 Kamati ya usimamizi kama mkaguzi wa SACCOS, inatakiwa kufanya kazi zifuatazo:

I. Kuhakikisha ukaguzi unafanyika mara kwa mara na kwamba shughuli za SACCOS

zinatekelezwa kwa kufuata sheria, taratibu, sera, kanuni zilizopo na maagizo ya

mkutano mkuu.

II. Kuona kuwa SACCOS inatekeleza majukumu ya kutoa huduma bora za kifedha kwa

jamii na inakuwa karibu na wanachama.

3.6.2 Kamati ya usimamizi kama mshauri itakuwa na kazi ya kutoa ushauri, maoni na

mapendekezo yake kwenye Bodi, kamati ya mikopo na manejimenti kwa lengo la

kuboresha na kuimarisha huduma zao na pia uhusiano mzuri na wanachama ambao

kwa upande mmoja ni wateja na kwa upande mwingine ni wenye mali na pia ni

sehemu ya jamii.

3.6.3 Kamati ya usimamizi ina mamlaka yafuatayo:

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!