SACCOS_Traing_Guide

SACCOS_Traing_Guide SACCOS_Traing_Guide

24.10.2015 Views

6 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS (xi) (xii) (xiii) (xiv) (xv) (xvi) (xvii) (xviii) Viongozi wa SACCOS wamenufaika na mafunzo mbalimbali ikiwa ni pamoja na ziara mbalimbali. Nchi inafaidika kwa upanuzi na uendelezaji wa sekta ya fedha ili watu wengi zaidi wawe na fursa za kupata huduma za kifedha. Maendeleo ya wanachama wa SACCOS na mchango wa SACCOS kwa jamii ni sehemu muhimu kwa maendeleo ya nchi. SACCOS zinapochangia mafanikio ya namna hii, maendeleo ya nchi yanakua kwa kasi. SACCOS inasaidia upatikanaji wa mtaji wa nje. Ili kuweza kuomba mkopo katika Taasisi zingine za fedha, tunahitaji kuwa na chombo ambacho tumekiunda wenyewe na kukisajili yaani SACCOS. SACCOS zinatoa mikopo yenye riba iliyopangwa na wanachama wake wenyewe. SACCOS zinatoa mikopo yenye masharti nafuu. SACCOS zinatoa gawio la faida kwa wanachama wake kulingana na hisa zao na uzalishaji wao katika SACCOS. SACCOS husaidia utekelezaji wa mfumo wa stakabadhi ghalani.

Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS 7 2. UMUHIMU WA KUJENGA NA KUKUZA MTAJI WA SACCOS 2.1 Maana ya mtaji Mtaji ni mkusanyiko wa mawekezo ya rasilimali fedha, vifaa, mashine au zana ambavyo kwa pamoja vinaelekezwa katika kuwezesha Taasisi au Asasi kuendesha shughuli zake. Katika ushirika mtaji wa chama ni pamoja na: [i] Mtaji tete / kiini {core capital] ambao unajumuisha: • Hisa zote. • Matengo yote ya kisheria. • Malimbikizo ya faida / hasara. • Misaada. [ii] Mtaji wa chama / Taasisi ambao unajumuisha: • Matengo yote ya kisheria. • Malimbikizo ya faida / hasara. • Misaada. Mtaji wa chama hujengwa na kukuzwa na vyanzo vya fedha vya ndani na vya nje. Mchakato wa ujengaji wa mtaji hufanyika wakati wa hatua za uanzishwaji wa SACCOS huku ukuzaji wa mtaji hufanyika baada ya SACCOS kuwa imeshaendesha shughuli zake na kujikuta mahitaji yake ya fedha za uendashaji yameongezeka. 2.2 Namna ya kujenga na kukuza mtaji wa SACCOS - Mtaji wa SACCOS hujengwa na kukuzwa na vyanzo vya fedha vya ndani na vya nje. - Mchakato wa ujengaji wa mtaji hufanyika wakati wa hatua za uanzishwaji wa SACCOS huku ukuzaji wa mtaji hufanyika baada ya SACCOS kuwa imeshaendesha shughuli zake na kujikuta mahitaji yake ya fedha za uendeshaji yameongezeka. - Mtaji wa SACCOS unajengwa na wanchama wa SACCOS kwa: ‣ Kununua hisa za msingi. ‣ Kuongeza hisa za ziada. ‣ Kuweka akiba, amana na michango. ‣ Wanachama kuridhia faida inayopatikana kwenye shughuli kuwekezwa upya. ‣ Kukopa katika Asasi nyingine za fedha . ‣ Ruzuku kutoka kwa wadau mbalimbali.

Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS

7

2. UMUHIMU WA KUJENGA NA KUKUZA MTAJI WA

SACCOS

2.1 Maana ya mtaji

Mtaji ni mkusanyiko wa mawekezo ya rasilimali fedha, vifaa, mashine au zana ambavyo kwa pamoja

vinaelekezwa katika kuwezesha Taasisi au Asasi kuendesha shughuli zake. Katika ushirika mtaji wa

chama ni pamoja na:

[i]

Mtaji tete / kiini {core capital] ambao unajumuisha:

• Hisa zote.

• Matengo yote ya kisheria.

• Malimbikizo ya faida / hasara.

• Misaada.

[ii]

Mtaji wa chama / Taasisi ambao unajumuisha:

• Matengo yote ya kisheria.

• Malimbikizo ya faida / hasara.

• Misaada.

Mtaji wa chama hujengwa na kukuzwa na vyanzo vya fedha vya ndani na vya nje.

Mchakato wa ujengaji wa mtaji hufanyika wakati wa hatua za uanzishwaji wa SACCOS huku ukuzaji

wa mtaji hufanyika baada ya SACCOS kuwa imeshaendesha shughuli zake na kujikuta mahitaji yake ya

fedha za uendashaji yameongezeka.

2.2 Namna ya kujenga na kukuza mtaji wa SACCOS

- Mtaji wa SACCOS hujengwa na kukuzwa na vyanzo vya fedha vya ndani na vya nje.

- Mchakato wa ujengaji wa mtaji hufanyika wakati wa hatua za uanzishwaji wa SACCOS huku

ukuzaji wa mtaji hufanyika baada ya SACCOS kuwa imeshaendesha shughuli zake na kujikuta

mahitaji yake ya fedha za uendeshaji yameongezeka.

- Mtaji wa SACCOS unajengwa na wanchama wa SACCOS kwa:

‣ Kununua hisa za msingi.

‣ Kuongeza hisa za ziada.

‣ Kuweka akiba, amana na michango.

‣ Wanachama kuridhia faida inayopatikana kwenye shughuli kuwekezwa upya.

‣ Kukopa katika Asasi nyingine za fedha .

‣ Ruzuku kutoka kwa wadau mbalimbali.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!