SACCOS_Traing_Guide

SACCOS_Traing_Guide SACCOS_Traing_Guide

24.10.2015 Views

4 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS atakuwa mwenyekiti wa kikao. Watateua bodi ya muda ya uanzilishi yenye wajumbe kati ya 5- 9 akiwemo mwenyekiti, mwekahazina, katibu na wajumbe wengine. [ii] kazi za kamati ya muda ya uanzilishi (a) Kushirikiana na Afisa ushirika kutayarisha masharti na sera za SACCOS inayohusika. (b) Kutayarisha kidadisi uchumi. (c) Kuandaa mpango biashara. (d) Kuandaa makisio ya mapato na matumizi ya chama ya mwaka wa kwanza. (e) Kutafuta ofisi ya chama. (f ) Kukusanya viingilio, Hisa na akiba. (g) Kununua vitendea kazi. (h) Kuajiri mtunza vitabu / karani wa mahesabu. [iii] Mkutano wa kujadili mapendekezo ya kamati ya uanzilishi. Kikao kitaongozwa na mwenyekiti wa kamati ya uanzilishi, kikao kitajadili na kupitisha masharti, sera za chama na kuidhinisha makisio ya mapato na matumizi ya mwaka. Mambo ya msingi yanayotakiwa yawepo katika masharti ya chama ni: Jina na anwani ya chama Madhumuni ya chama Uanachama(sifa za kujiunga katika chama,kukubaliwa uanachama,kukoma kwa uanachama na kusimamishwa uanachama. Haki za mwanachama Wajibu wa mwanachama Fedha na mali za chama. Taratibu za akiba na amana na mikopo Mgao wa ziada. Usimamizi na Uongozi wa chama( Mikutano mikuu,Bodi na kamati zake, watumishi wa chama. Kufutwa kwa chama. Mengineyo. Mambo ya msingi yanayotakiwa kuwemo katika sera za chama ni pamoja na aina za sera kama vile sera na taratibu za uwekaji wa akiba,sera na taratibu za mikopo,sera ya usimamizi wa fedha,sera ya Utumishi n,k. [iv] Kuwasilisha maombi ya usajili wa chama Maombi ya usajili yatawasilishwa kwa mrajisi msaidizi kupitia kwa Afisa ushirika wa wilaya. Fomu ya kuandikishwa chama itaambatanishwa na nakala nne za masharti, sera za SACCOS, kidadisi

Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS 5 uchumi, makisio ya mapato na matumizi, mihtasari ya mikutano miwili ya uanzishaji na Ada ya usajili. Chama kinaposajiliwa kinapewa hati ya usajili, hivyo kinakuwa na uwezo wa kushitaki, kushitakiwa na kuingia mkataba kwa jina lake. 1.6 UMUHIMU WA SACCOS KATIKA MAENDELEO YA WANACHAMA NA KWA JAMII Umuhimu wa SACCOS katika maendeleo ya wanachama na jamii na mchango wa SACCOS katika maendeleo ya sekta ya fedha ni kama ifuatavyo; (i) (ii) (iii) (iv) Wanachama wananufaika kwa kuwa na mahali pa kutunzia fedha zao kwa usalama. SACCOS ni asasi ya kifedha ambapo wanachama wanaweka amana na akiba zao, amana hizi zinapelekwa benki na mtu mmoja na kutunzwa katika akaunti moja ya SACCOS, hii inawapunguzia watu wengi usumbufu wa muda na gharama za safari za kwenda benki. Kuwepo kwa fursa kwa jamii kuweka fedha zao kama amana na akiba za hiari katika SACCOS. SACCOS zina wigo mkubwa wa bidhaa kwani wanachama wake wanapata mikopo ya kiuchumi, kijamii na dharura. SACCOS zinaweza kufikia watu wengi hata wasioweza kufikiwa na mabenki hususani walioko vijijini. SACCOS inasaidia kuikwamua jamii kuondokana na umaskini. Lengo kuu la SACCOS ni kuhakikisha Watanzania wanaondokana na hali ya umaskini kwani kupitia mikopo ya SACCOS wamenufaika: ‣ Kuanzisha miradi / biashara na shughuli nyingine za kiuchumi. ‣ Kumudu gharama za masomo ya watoto. ‣ Kujenga nyumba bora na za kisasa. ‣ Kununua vyombo vya usafiri na kununua mifugo. ‣ Kupata uwezo wa kukidhi mahitaji muhimu ya kibinadamu ikiwemo matibabu. (v) (vi) (vii) (viii) (ix) (x) Kupanua mtaji wa kijamii. Wanachama kupata mafunzo ya ushirika, ujasiriamali na stadi za biashara. Jamii inanufaika kwa kupata Elimu ya Ushirika.Jamii inanufaika kwa kupata Elimu ya Ushirika hasa kipindi cha SACCOS inapohitaji kuongeza idadi ya wanachama na wakati jamii inapotaka kuanzisha SACCOS. Jamii inapata ajira inayotokana na ongezeko la miradi kutokana na mikopo ya SACCOS. Baadhi ya Watanzania wamenufaika kwa kupata ajira katika SACCOS. Kumekuwepo na ushiriki wa SACCOS katika maendeleo ya jamii. Kwa kuzingatia msingi wa Ushirika wa kuijali jamii SACCOS ushiriki katika kusaidia ujenzi wa shule katika jamii na kusaidia pia wasiojiweza.

4 Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS

atakuwa mwenyekiti wa kikao.

Watateua bodi ya muda ya uanzilishi yenye wajumbe kati ya 5- 9 akiwemo mwenyekiti, mwekahazina,

katibu na wajumbe wengine.

[ii]

kazi za kamati ya muda ya uanzilishi

(a) Kushirikiana na Afisa ushirika kutayarisha masharti na sera za SACCOS inayohusika.

(b) Kutayarisha kidadisi uchumi.

(c) Kuandaa mpango biashara.

(d) Kuandaa makisio ya mapato na matumizi ya chama ya mwaka wa kwanza.

(e) Kutafuta ofisi ya chama.

(f ) Kukusanya viingilio, Hisa na akiba.

(g) Kununua vitendea kazi.

(h) Kuajiri mtunza vitabu / karani wa mahesabu.

[iii]

Mkutano wa kujadili mapendekezo ya kamati ya uanzilishi.

Kikao kitaongozwa na mwenyekiti wa kamati ya uanzilishi, kikao kitajadili na kupitisha masharti, sera

za chama na kuidhinisha makisio ya mapato na matumizi ya mwaka.

Mambo ya msingi yanayotakiwa yawepo katika masharti ya chama ni:

Jina na anwani ya chama

Madhumuni ya chama

Uanachama(sifa za kujiunga katika chama,kukubaliwa uanachama,kukoma kwa uanachama

na kusimamishwa uanachama.

Haki za mwanachama

Wajibu wa mwanachama

Fedha na mali za chama.

Taratibu za akiba na amana na mikopo

Mgao wa ziada.

Usimamizi na Uongozi wa chama( Mikutano mikuu,Bodi na kamati zake, watumishi wa chama.

Kufutwa kwa chama.

Mengineyo.

Mambo ya msingi yanayotakiwa kuwemo katika sera za chama ni pamoja na aina za sera kama vile

sera na taratibu za uwekaji wa akiba,sera na taratibu za mikopo,sera ya usimamizi wa fedha,sera ya

Utumishi n,k.

[iv]

Kuwasilisha maombi ya usajili wa chama

Maombi ya usajili yatawasilishwa kwa mrajisi msaidizi kupitia kwa Afisa ushirika wa wilaya.

Fomu ya kuandikishwa chama itaambatanishwa na nakala nne za masharti, sera za SACCOS, kidadisi

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!