Chapter 39

shujaazcomics
from shujaazcomics More from this publisher
21.10.2015 Views

18 It’s no one’s choice u know f ths pepo are gven a chance they cn make t n lyf. Brenzy Masdelica Nancie

maria kim naweza kupeleka out baadaye? nimempata leo! huyu brathako na wenzake wana tabia mbaya sana! sawa. umenipeleka out mara mob... una-try kunikatia? ehe... ehe... woi! woi! kwisha mimi! bryo! umefanya nini? mwambie! tulirusha mawe kwa salon... usikuwe mkali sana. unajua wavulana hivo tu ndio wao huwa! hebu ingia kwa nyumba! lazima nitaku-punish! bryo, mbona ulikuwa unarusha mawe? kina robe na cyro walisema nikirusha mawe watanikubali niwe kwa gang yao... gang! unataka kuwa kwa gang? bryo usisikize hizo stori zao kama unataka life yako iwe poa. sawa. usiku... 19

maria kim

naweza

kupeleka out

baadaye?

nimempata leo!

huyu brathako na

wenzake wana

tabia mbaya sana!

sawa.

umenipeleka

out mara

mob...

una-try

kunikatia?

ehe...

ehe...

woi!

woi!

kwisha

mimi!

bryo!

umefanya

nini?

mwambie!

tulirusha mawe

kwa salon...

usikuwe mkali sana.

unajua wavulana hivo

tu ndio wao huwa!

hebu ingia kwa

nyumba! lazima

nitaku-punish!

bryo, mbona

ulikuwa

unarusha

mawe?

kina robe na

cyro walisema

nikirusha mawe

watanikubali

niwe kwa gang

yao...

gang!

unataka

kuwa kwa

gang?

bryo

usisikize hizo

stori zao

kama unataka

life yako iwe

poa.

sawa.

usiku...

19

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!