Chapter 39

shujaazcomics
from shujaazcomics More from this publisher
21.10.2015 Views

Manze ile kazi unafanya ina nibamba tu sana. Uko juu tu sana. I hope to join you soon. May God bless you abundantly. Diana in Muranga 14

Hatukuwa na dooh mob ya ku-book hawa wasee kwa hotels. So tukawaweka wakae na host families. Siku ya tourna wasee walicheza foota, ma-artists waka-perform na tuka-have procession through Kibera yaku-promote Ukabila ni Ujinga. Kuna wasee walikataa kukamu. Kuna wengine nao wali-say ati hawajiskii kuishi na wasee wa kabila zingine sababu tulikuwa tunachanganyisha wasee. Ungepata mjaka anaishi na mkao. Mara ya kwanza, tulikuwa tunahofia hizi differences zita-cause problems. Hatukujua campaign ita-work vipoa hivo kwanza sababu wasee wa makabila different walikuwa wanaishi pamoja. Lakini, by the time hii tourna ilikuwa inaisha wasee walikuwa wamekuwa mabeshte na hao wasee walikuwa wanaishi nao. Hizo differences za kabila zilipotea vile watu walitambua kabila ya mtu haijalishi! yule kijana charlie pele alijaribu ku-challenge tribalism kwao, pia! cheki hadithi yake kwa shujaaz mag, chapta ya tatu ya series yetu ya N.C.I.C.! kitu inaweza kaa impossible, kama watu wa kabila tofauti kukaa pamoja, lakini ukiwa na ndoto kubwa unaweza kuwa surprised na chenye itafanyika! 15 Unamulika na ku-unite mayutz globally, moreover u are a peace maker, hope you will win Nobel peace prize. Big up DJ Boyie. Jaminka DE Satmin

Manze ile kazi unafanya ina nibamba tu sana. Uko juu tu sana. I hope to join you soon.<br />

May God bless you abundantly. Diana in Muranga 14

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!