Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
WILL

NI LEGAL DOCUMENT AMBAYO INASEMA MALI

YA MSEE ITARITHIWA NA NANI.

MSITISHWE!

Law of Succession Act, Land laws na

Land Controls Boards na constitution

mpya ina-protect watoi na ma-husband

au wives wenye wamefiwa.

KUNA VILE UTAFANYA…

Bonga vipoa na mzazi achore will, yenye

inasema clearly, land itarithiwa na nani.

Atachora mbele ya witnesses wawili.

ARTICLE 68 C) III)

Inadaisha, new matrimonial property

legislation inafaa i-enact-iwe. Hii

ita-prevent wasee kuchujwa kwao

juu ya kutokujua kwa wengine [hata

ma-relatives!]

SHERIA

INACHUNGA

LAND YENU!

Wale wasee wanashikilia hiyo land,

watapata barua yenye

inawakubalisha kushikilia

hiyo land ama property.

BIG UP KELA KWA

INFO YOTE!

TAFUTA INFO ZAIDI KWA

HAWA WASEE:

KENYA LANDOWNERS &

LAND USERS ASSOCIATION

Tel: 020 2643326

info@kenyalandowners.org

8

BONGA NA MAPERO WAKO

JUU YA KUANDIKA WILL!