Chapter 17
22 Cheki back cover kumsaidia Maria Kim ku-translate ‘ upelelezi’ kwa English!
maria kim, ume-do enough leo. kesho pia ni siku. come nikusindi home. okay, twende. Manze, ni kama tutahata hii compe. Shule yetu ina issues mob tu sana! Imeprove-iwa ati shule ziko safe, pia zinaperform better. e-heee! Charlie! niko poa! Usidanganywe! nimeona Unapoteza niwatembelee muda na tu... ... Lazima tucheki mifugo! safety kwa shule ala... zetu, kuku? ndio tusome vipoa! WENYE BEST REPORTS KUMI WATASHINDA SCHOOL BAG NOMA JO!! Ninawaona mko shambani? SHULE POA!! Kuna vitu mob positive unaweza do ku-change situation yenye shule yenu iko. Kuwa reporter wa Shujaaz.FM utu-show maoni yako. jirani mwema! habari DEADLINE YA yako? COMPE NI 13 SEPTEMBER 2011 Email: djb@shujaaz.fm DJ B, P.O.Box 1700 00502, Nairobi. Kenya. Kumbuka kuandika JINA, AGE, DISTRICT na NUMBER YA SIMU. Hiyo essay ikuwe na 250 words, na uitume kwa address iko hapo chini: Ugonjwa ilimaliza kuku wangu wooote bwana!* Sasa mimi ninalima tu, unajua mimea haiwezi kukuangusha! * = Soma hii risto kwa Chapta 9 ya ShujaazFM comic. www.shujaaz.fm 24
- Page 1 and 2: inspiring kenyan youth not for sale
- Page 3 and 4: Nuks Ya Family 3
- Page 5 and 6: 5
- Page 7 and 8: 7
- Page 9 and 10: Malkia Mchungaji Imagine katachujwa
- Page 11 and 12: Book ya Jipesh!! Jipesh atanimada!
- Page 13 and 14: Wazi! 1 chkua Mbolea ya mbuzi 2 ong
- Page 15 and 16: Shujaaz(TM) is published by Well To
- Page 17 and 18: SHUJAA OF THE MONTH! Jina: Edna Gut
- Page 19 and 20: 19
- Page 21: thanks! bado kuna dame moja huko nd
- Page 25 and 26: Akiba ya Charlie e-heee! Ninawaona
- Page 27 and 28: aba charlie anataka tuuze kuku juu
- Page 29 and 30: ...mpaka, siku moja... Haiya! Ka-mb
- Page 32: Soma hii risto kali ya Maria Kim kw
22

Cheki back cover

kumsaidia Maria Kim

ku-translate ‘

upelelezi’

kwa

English!