Chapter 17
Teacher wa Mathafu huwa hakuji. Wasee huwa wana-fight na ku-make noise during hii lesson. But nimechoka! This time naenda kuwa-report kwa headi! Hatuwezi kuendelea hivi. hii upepo ni mob aje leo? manze! hebu tusonge huko. kuna ma stude hapo ndani! enda ulete first aid kit kwa headi! tusaidianeni tutoe mastude wako trapped hapa ndani! 20
thanks! bado kuna dame moja huko ndani! hakuna first aid kit kwa ofisi! haiya! imewaka moto! j.k! enda ulete fire extinguisher yenye huwa kwa class yetu! aki chunga! hakuna any! 21
- Page 1 and 2: inspiring kenyan youth not for sale
- Page 3 and 4: Nuks Ya Family 3
- Page 5 and 6: 5
- Page 7 and 8: 7
- Page 9 and 10: Malkia Mchungaji Imagine katachujwa
- Page 11 and 12: Book ya Jipesh!! Jipesh atanimada!
- Page 13 and 14: Wazi! 1 chkua Mbolea ya mbuzi 2 ong
- Page 15 and 16: Shujaaz(TM) is published by Well To
- Page 17 and 18: SHUJAA OF THE MONTH! Jina: Edna Gut
- Page 19: 19
- Page 23 and 24: maria kim, ume-do enough leo. kesho
- Page 25 and 26: Akiba ya Charlie e-heee! Ninawaona
- Page 27 and 28: aba charlie anataka tuuze kuku juu
- Page 29 and 30: ...mpaka, siku moja... Haiya! Ka-mb
- Page 32: Soma hii risto kali ya Maria Kim kw
Teacher wa

Mathafu huwa hakuji.

Wasee huwa wana-fight

na ku-make noise

during hii lesson.

But nimechoka!

This time naenda

kuwa-report kwa

headi! Hatuwezi

kuendelea hivi.

hii upepo

ni mob aje

leo?

manze!

hebu tusonge

huko.

kuna ma

stude hapo

ndani!

enda ulete

first aid kit

kwa headi!

tusaidianeni

tutoe mastude

wako trapped

hapa ndani!

20