Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
CHAPTA 12

NOT FOR SALE

BEST BEST

OF OF

Shujaaz.FM

Shujaaz.FM

NDANI! NDANI!
oyieMWAKA MOJA ULIOPITA,

MABESTE ZANGU WALIKUWA

WANA-JOIN GANG YA SCARFACE

HAPA NDIO WA-MAKE CHAPAA

VIRAHISI. MNAKUMBUKA?
...LAKINI NILIJUA KUNA

NJIA MOB POA ZA KU-MAKE

DOOH BILA YA KUFANYA VITU

ILLEGAL.
NILIAMUA KU-SET UP PIRATE

RADIO STATION ‘SHUJAAZ.FM’

NDIO NIWEZE KU-INSPIRE

MAYUTS AROUND KENYA.
6

TUMETOKA MBALI WASEE……
HIVYO NDIO SHUJAAZ.FM ILIANZA. MAFANS WAKANITUMIA MA SMS KIBAO.

KUNA WENYE HAWAKOSI KUWA NA MA-IDEA NOMA ZENYE WANATAKA KU-

SHARE NA WENGINE. KAMA DEM FLANI ANAITWA MARIA KIM-MSUPUU NA

ANA AKILI. PIA NINA SHUJAA WANGU CHARLIE PELE, MSEE WA SOCCER

DAMU! MPAKA COAST KUNA FAN WANGU-MALKIA, MANZE HUYU MDEM SI ANA

MA-IDEAS! NA JUZI NIMEPATA HELP KUTOKA KWA DEEPTI DIVANI….

7
RISTO FAVORITE YA PETER ILIKUWA YA MAGANGS …

Msupa Mtaani!

PETER

AGE: 23 BASE: MACHAKOS CHAPTA: 1

USIKUWE M-LAZY, TRY IDEA MPYA YA

ku-change

life yako vi

positive!

HAWA FANS WANGU WAME-

SHARE NA MIMI IDEAS POA

NA WAME-CHANGE LIVES ZAO.

KUNA WENGI WENGINE AMBAO

WAMEPATA FAIDA MOB JUU YA

SHUJAAZ.

WAMEKUWA WATU WA

NOMA KWA SOCIETY NA

WAMEJIPANGA… NIKI-

CELBRATE 1 YEAR OF

SHUJAAZ, NIMEAMUA NIWA-

SHOW STORY ZAO!

“Kulikuwa na gang flani

mtaani ambayo ilisumbua

watu, lakini juu ya unity

village ika-lazimisha hiyo

gang ku-disband. Watu

wengi hu-join gangs juu ya

poverty na urge ya kuwa

dooh. Wengine hutaka kubully

watu na kujionyesha

wako tuff.

Kulingana na mimi, naeza

ambia ma youth wasi-zijoin

juu ita-ruin lives zao. Watie

bidii tu kwa ile job wana do

na waendelee ku-focus on

dreams zao.

Boyie alipewa pressure na Gang ya

Scarface ati lazima alipe dooh za security.

Nime-share na

wasee kibao

kwa kuwatumia

several mags.

Manze uko

lembe!

DJ B ukopoa

sana by the wei.

Endelea vivyo

hivyo nime-like

mag ya yours

especially vile

gang inakuthreaten,

lakini

kaa hivo hivo.

Lakini Boyie alikataa ku-intimidat-iwa

na akasema atawa-show njia poa za

ku-make dooh ...
urity.
“Ku

sek

Art

sek
TALENTZ ZINAWEZA KUKUSAIDIA KUPATA MKWANJA!

FAN WANGU SAMMY ANATUMIA TALENT YAKE VIPOA SANA!

... na mimi hu-

draw ndai, shop,

t-sho na banner

na nina make

dooh.”

“Idea yangu ni

mafans watoe

talent zao na,

wazikuze juu,

kama mimi ni

artist ...

SAMMY MURIMI

AGE: 22 BASE: KERUGOYA

CHAPTA: 1

“Kutoka nikuwe mtoi nimekuwa mpoa kuchora, lakini sikuweza kuenda

seko juu ya fees. Vile nilimada class 8, nilipewa job ya kusomesha watoi

Art kwa hiyo chuo yetu. Baadaye nikapewa job ya kufundisha watoi wa

seko lakini sikuwa nalipwa poa.”

Jipendo alinifanya nika-believe ati

siko poa kuwa kwa hiyo talent show

but nilim-show!

“Nikaambia beste yangu mwenye alikuwa anafanya graffiti

anitafutie job. Huyo beste wangu alini-introduce kwa

ku-make rubber stamps na kuchora mapicha.”

Alini-show ati,

sisi wote tuna talent.

Imagine! Nilicheki Nameless!

USIZUBAE!

“Wasee wa hiyo area wali-discover nina talent, wakaanza

kunipa job za kuchora ma3, shops na ku-paint mahao.

Sasa naenda Meru, Embu na kadhalika .”
Mazee…si majamaa

mko talented! Poa sana.

Cheki baadhi ya ma-art

mlizo nitumia, zilinibamba

deadly ... Nyote m’meshinda

t-shirt mpya yenye design

kali. Wazi jamaa!

Victor Murithi

Age:

26

yrs

Kevin Mwaura

Nairobi, Age: 24

yrs

Brian Ojak Nyawade

Embakasi, Age: 26

yrs
Onesmus Kitheka

Mukuru

Nancy

Chela

Rongai, Age: 17

yrs

e

Peter er Musau

u

Mukuru, Age: 14 yrs

Ore Wa Mugen

Nairobi, Age: 21 yrs

Geofry Gitau

Mukuru , Age: 15 yrs
SHUJAA ABRAHAM

“NILIPENDA SANA STORY YA BUSINESS PLAN …”

Hi! naitwA DEEPTI. DJ B aliniambia

nipigie mafans kadhaa simu nijue

more kuwahusu na vile walitumia

ideas za Shujaaz ku-improve maisha

yao. Hizi ndio story zao, I hope

zitawa-inspire!

“Shujaaz inanipa mawaidha ya

jinsi ya kuzuia noma, na kunisaidia

ku-deal na watu.”

“Gavaa inafaa iambie watu

wasome Shujaaz!”

C

k

Abraham anasema kuwa

Shujaaz.FM ime-change life yake.

Anapanda mimea kadhaakwa

shamba ndogo karibu na hao

yao, halafu anauza.

Abraham anasema Shujaaz.FM

ilimsaidia akatengeneza business

plan na kuuza mboga zake

kwa faida.

Anataka bizna yake i-expand, a-save

chapaa na kununua shamba biggie

na mwishowe awe “mwanabiashara

famous Kenya na hata majuu”.

ABRAHAM

AGE: 29 BASE: ELDORET

KUSOMA HII STORY, CHEKI

WWW.SHUJAAZ.FM

& USOME CHAPTA 4

Huwa anatumia

zile chapaa

ana-make kwa shamba lake

kuongezea school fees.

Abraham hu-get copy yake ya

Shujaaz.FM kutoka kwa jamaa

flani wa M-pesa, na akimaliza

kusoma yeye huziweka poa.

Anasema Shujaaz.FM “inasaidia

maisha ya watu mob kwa kuwapa

njia ya ku-solve problems zao”.
SHUJAA CHRISTOPHER

“NINA-FIGHT FOR PEACE ...”

“Mimi ni m-young lakini ndani ya heart

yangu najua mimi ni mtu mkubwa.”

ya

aidia

T

Chris anaishi na maparo zake na bro

yake mdogo Evans. Yeye hupenda

kusoma mags, comics na story books,

na pia kucheza game inaitwa sita.

Chris anataka kuwa engineer ama

mwanasayansi aki-grow.

Chris anapenda mambo ya amani na

akiona noma yoyote anabonga kuihusu.

Wakati Chris aliambia ambia classmates

zake waache kubonga mbaya

juu ya watu wa

kabila zingine

walimnyang’anya bus fare na

kumpiga. Lakini

aliwa-forgive na

kuwaambia juu ya peace.

Akaanza ku-distribute copies za

Shujaaz.FM kwa class ili wenzake

wajue kuhusu kuvumiliana,

kuishi pamoja na amani.

Charlie na

Rosie wanajua ku-deal

na hate speech, wewe je?

“Singependa mtu ku-disrespect

ama kutusi mtu wa kabila ingine.”

CHRISTOPHER

AGE: 13 BASE: DAGORETTI, NAIROBI

HERO: President Kenyatta

Chris alipewa copy ya kwanza ya

Shujaaz.FM na mbuyu wake. Sasa

yeye huzi-get kwa paper, anasoma

peke yake kwanza then anapatia ma

cuzo wake na classmates wake.

Anasikizanga pia Shujaaz.FM

kwa radio. Anaona Shujaaz.FM ni

‘poa sana’ coz ina ma-teachings,

especially

against ukabila na ghasia.
MAFANS WA MARIA KIM WANASEMAJE?

Sasa? I hope mnajua

vile nyinyi huwanga watu

important sana kwa life yangu.

Ebu tucheki mafans wa DJ B. ambao

walibonga naye kuhusu mambo

yamekuwa yakiendelea

kwa life yangu…

Hi DJ B, skills ndogo

ni

noma! Imagine

nilisaidia mathe

kupanda sukuma,

instead of a vitungu

na cabbage na kuuza

na nikamaliza kusoma

computer na hizo doo!

“Nilisoma Shujaaz na nikaona hiyo idea ya kupanda

sukuma ni poa. Nilibonga na mathe aka-convince buda

kunigawia ka-portion ya shamba. Nikapanda sukuma,

onions na cabbages.

Ilikuwa a small project lakini I was surprised kuona outcome. Nilianza

kupata doo ambazo nililipia fees na zingine kutumia kama bufero.

Sasa juu nimemaliza college ya comp, na-plan ku-join Egerton Campo.

BEATY

AGE: 21 BASE: Eldama Ravine

Wasee kuna matha flani hapa mtaani amenichanua

sana. Unajua huku kwetu hakuna space mob ya kuwa

na shamba, lakini yeye bado ana-grow sukuma!

Alini-inspire sana na nika-try hata mimi.

Advise yangu kwa mayuth ni kuwa, hakuna haja ya kukaa tu

around bila kitu ya kufanya. There are so many opportunities out

here. Try ua best. Pia, mayuths wa-make lives zao simple.

Ku-complicate life hu-leta tu loss.”

Nilikuwa successful n nimefurahi kama

hata wewe umefanikiwa.
ndogo

gine

he

ma,

ungu

kuuza

usoma

o doo!

hanua

a kuwa

ma!

ut
FAV

Shuja

Na

ya

pla

Anap

na

Thou

kwa S

san
SHUJAA PATRICIA

“Seed soaking ni simple but results ni POA!!!”

Hello…kuna mafans

wawili wa DJ B ambao

alinituma nibonge nao.

Cheki vile walitumia ideas

zake kubadilisha

Maisha yao!

PATRICIA

AGE: 21 BASE: Meru

FAVORITE CHARACTER: BOYIE

“Napenda job yangu sana, wanyama,

national parks na ku-travel.”

“Napenda sana Facebook, fan page ya

DJ B. Naichekingi kila siku.”

“ Shujaaz.FM ni comic moja positive sana,

ina-encourage watu kujishughulisha

na mambo constructive.”

Patricia anaishi na maparo zake na

sista yake mdogo, Kaaga. Kashamba

kao kadogo ndiko huwa anapanda

maharagwe, ambazo zilimea poa

baada ya ku-soak mbegu kabla ya

kupanda. Patricia alisoma hii story

kwa Shujaaz.FM, na zilitoka poa!

Ana-hope kurudi chuo, apate

job poa, awe na hao bigi, alafu

aanze bizna ya hoteli.

Patricia hu-get copy ya

Shujaaz.FM kutoka kwa Saturday

Nation, yeye husoma na sister

yake na baadaye anazipeleka

place yenye anafanyanga job.

Anapatianga ma-customers wake,

na mabeste zake waisome pia.

Though yeye hupenda story zote

kwa Shujaaz.FM, yeye hubambika

sana na page ya Mchongoano!
SHUJAA DUNCAN

“Ningependa kuona Kenya

ambayo mayouth wako na

opportunities kibao na wana

motivate-iwa kufanya shughuli za

manufaa ili kuepuka tabia mbaya

za kuwa idle.”

Duncan anafanya course ya

Business huko Mombasa na ana

hope itamsaidia kutimiza dream

yake ya kuwa “mwanabiashara

shupavu sana.”

Wakati wa ku-relax, huwa

anasaidia mathake kwa shop,

ana-hang out na mabeste

zake kwa beach, hucheki

movies na kusikiza music.

Anapenda Bongo na Rhumba.

“Watu waoane kutoka kabila

tofauti kuzuia ukabila kuenea.”

“Shujaaz imenifundisha

kujisimamia mwenyewe.”

DUNCAN

AGE: 21 BASE: Changamwe,

Coast Province

Duncan ametumia ujuzi alipata kutoka

kwa comic hii ku-encourage ma youth

wasitumiwe na politicians kuzusha

ghasia kwa campaigns za siasa.

Anasema, “Nilishow ma youth

waache kutumiwa na politicians

kuhatarisha lives zao.”

Pia anasema, ameona message

hizi zikigusa ma-friends wake mob

ambao pia husoma hii comic.

Duncan

anapenda

kila kitu kuhusu

Shujaaz haswa storo zenye zina

encourage mayuts kufanya kitu

poa badala ya kuzubaa tu wakingoja

jobz. Alifurahishwa na storos

za agriculture, ku-save chapaa,

na ku-form student councils.

Shujaaz(TM) is published by Well Told Story Ltd. , P. O. Box 1700 00502

Nairobi, Kenya. Tel: 02 02603214 www.wts.co.ke. Printed by Colourprint
SHUJAA PATRICIA

“Seed soaking ni simple but results ni

POA!!!”

e,

a

Shujaaz(TM) is published by Well Told Story Ltd. , P. O. Box 1700 00502

Nairobi, Kenya. Tel: 02 02603214 www.wts.co.ke. Printed by Colourprint

Limited, P. O. Box 44466 - 00100 Nairobi GPO. Produced in collaboration

with: Safaricom, Twaweza, RIU. Distributed by Saturday Nation and Safaricom.

Content producer: Audrey Wabwire Content: Paul Peter Kades, David Ouma Art Producer: Fatima Aly Jaffer Layout Design: Stefanie

Freccia & Susan Mwange Art: Daniel Muli, Eric Muthoga, Naddya Oluoch-Olunya, Noah Mukono, Kevin Mmbasu, Movin Were, Salim Busuru,

Joe Barasa Radio: Eunice Maina In collaboration with Twaweza. Special thanks to Just A Band for their fantastic music on Shujaaz.FM

radio Well Told Story © 2010 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or

be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every

effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be

liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in

connection with the use of the information in this publication.