uamuzi wa spika kuhusu: tuhuma kwamba baadhi ya wabunge na ...

uamuzi wa spika kuhusu: tuhuma kwamba baadhi ya wabunge na ... uamuzi wa spika kuhusu: tuhuma kwamba baadhi ya wabunge na ...

parliament.go.tz
from parliament.go.tz More from this publisher
30.08.2015 Views

jambo linalopaswa kupewa umuhimu wa kwanza, Uamuzi wa Spika ni kwamba, natoa onyo kali kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Bw. Eliakim C. Maswi, na kumtaka asirudie tena kosa hilo la kuzua tuhuma za uongo dhidi ya Bunge na Wabunge. (a) Wabunge Walioisemea Tuhuma Bungeni Kwakuwa, Wabunge waliolisema suala hili la rushwa Bungeni, walilisemea kwa nia njema ya kulikemea, na hawakumtaja Mbunge yeyote kuhusika nalo; na kwakuwa pamoja na nia hiyo njema Wabunge hao walilisemea suala hilo bila ya kufanya utafiti kupata ukweli wake, Uamuzi wa Spika ni kwamba, Wabunge hao nawapa onyo kali na 74

kuwataka wasirudie kosa hilo la kuzungumzia jambo Bungeni wasilokuwa na uhakika nalo. (c) Mhe. Tundu A. M. Lissu (MB.) Kwakuwa Mhe. Tundu A. M. Lissu (MB.) alikuwa na fursa ya kulisemea suala ya mgongano wa maslahi kwa Wabunge wahusika Bungeni, lakini aliamua kulisemea nje ya Bunge, kwa kutoa tuhuma dhidi ya Wabunge kuhusiana na suala hilo kwenye Vyombo vya habari, kwa kuwataja majina, kwa ushahidi wa ‘habari za kuambiwa’ (hear say), kinyume na masharti ya Kanuni ya 61(2) ya Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la 2007; na kwakuwa kwa kufanya hivyo aliwadhalilisha na kuwafedhehesha Wabunge hao; Uamuzi wa Spika ni kwamba, nampa onyo kali Mhe. 75

jambo linalopaswa kupewa umuhimu

wa kwanza, Uamuzi wa Spika ni

kwamba, natoa onyo kali kwa Katibu

Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini,

Bw. Eliakim C. Maswi, na kumtaka

asirudie tena kosa hilo la kuzua

tuhuma za uongo dhidi ya Bunge na

Wabunge.

(a) Wabunge Walioisemea Tuhuma

Bungeni

Kwakuwa, Wabunge waliolisema

suala hili la rushwa Bungeni,

walilisemea kwa nia njema ya

kulikemea, na hawakumtaja Mbunge

yeyote kuhusika nalo; na kwakuwa

pamoja na nia hiyo njema Wabunge

hao walilisemea suala hilo bila ya

kufanya utafiti kupata ukweli wake,

Uamuzi wa Spika ni kwamba,

Wabunge hao nawapa onyo kali na

74

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!