30.08.2015 Views

1 hotuba ya waziri mkuu, mheshimiwa mizengo peter pinda (mb)

1 hotuba ya waziri mkuu, mheshimiwa mizengo peter pinda (mb)

1 hotuba ya waziri mkuu, mheshimiwa mizengo peter pinda (mb)

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Check Against Delivery

kuanzisha utaratibu wa kubadilishana taarifa zinazohusu mizigo kwa njia za kielektroniki kabla

mizigo haijafika kwenye Vituo vya Forodha. Vilevile, Kamati za Pamoja (Joint Border Post

Committees) zimeundwa kwenye Vituo vya Mipakani vya Tunduma, Kabanga, Mutukula, Holili,

Sirari na Namanga. Kupitia Kamati hizo wadau wote wanaoshughulika na utoaji huduma

mipakani hufanya kazi kwa pamoja.

31. Mheshimiwa Spika, Serikali imekamilisha Mkakati na Mpango Kazi wa Utekelezaji wa

Sera ya Ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP). Vilevile, Mwongozo wa Utendaji

kwa ajili ya kutekeleza Sera, Sheria na Kanuni za Ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta

Binafsi umekamilika. Aidha, Serikali imefanya tathmini ya Sera zinazohusu Uwekezaji kwa

kutumia Mfumo wa Tathmini unaotumiwa na Shirika la Kimataifa la Ushirikiano wa Kiuchumi na

Maendeleo (OECD). Taarifa ya tathmini ya Sera hizo itachangia katika kufanya mapitio ya Sera

ya Taifa ya Uwekezaji ya mwaka 1996 pamoja na Sheria yake ya mwaka 1997. Nazihimiza

Wizara na Taasisi za Serikali kuongeza juhudi katika kuainisha miradi inayokidhi vigezo vya

kutekelezwa kwa utaratibu wa PPP ili Nchi iweze kunufaika na fursa zinazotokana na utaratibu

huo.

32. Mheshimiwa Spika, Serikali imeendelea kuratibu majadiliano baina ya Sekta ya Umma

na Sekta Binafsi ili kuibua fursa zilizopo na kupata ufumbuzi wa changamoto za kisera, kisheria

na kitaasisi zinazokwamisha biashara na uwekezaji. Kutokana na umuhimu wa majadiliano

hayo, Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kimataifa wa “Majadiliano ya Ushirikiano kwa

Manufaa ya Wote wa mwaka 2013” (Global 2013 Smart Partnership Dialogue) utakaofanyika

mwezi Julai 2013, Jijini Dar es Salaam. Maandalizi ya Mkutano huo yanaendelea ambapo

Mkutano maalum kwa Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Makatibu Tawala wa Mikoa ulifanyika mjini

Dodoma mwezi Novemba 2012. Katika Mkutano huo, washiriki walipata uelewa wa pamoja wa

dhana ya majadiliano ya ushirikiano kwa manufaa ya wote yatakayowasaidia kusimamia

majadiliano katika maeneo yao.

33. Mheshimwa Spika, Serikali imetoa mwongozo kwa Mabaraza ya Biashara ya Mikoa na

Wilaya kuendesha majadiliano katika maeneo yao ili matokeo ya majadiliano hayo yatumike

kikamilifu wakati wa majadiliano ya Kimataifa mwezi Julai 2013. Uzoefu wa Nchi ambazo

zimeandaa majadiliano kama hayo umeonesha kwamba kuna manufaa makubwa yakiwemo

kubaini wagunduzi na wabunifu, kuibua fursa mpya za teknolojia na uwekezaji na pia kupata

uzoefu wa Mataifa mengine katika masuala mbalimbali. Natoa wito kwa Mabaraza ya Biashara

ya Mikoa na Wilaya kuendesha majadiliano katika maeneo yao na kujiandaa kikamilifu kushiriki

katika Mkutano huo.

34. Mheshimiwa Spika, katika kipindi cha Januari 2012 hadi Desemba 2012, Kituo cha

Uwekezaji Tanzania kilisajili Miradi 869 yenye thamani inayokadiriwa kufikia Shilingi Bilioni

30,866. Kati ya miradi hiyo, Miradi 469 sawa na Asilimia 54 ni miradi ya wawekezaji wa ndani,

Miradi 195 sawa na Asilimia 22 ni ya ubia kati ya wawekezaji wa ndani na Nje na Miradi 205,

sawa na Asilimia 24 ni ya wawekezaji kutoka Nje. Usajili wa miradi hiyo umeongeza ajira Nchini

ambapo zaidi ya Watanzania 174,412 walipata ajira kwenye miradi hiyo. Tathmini ya thamani ya

uwekezaji kisekta inaonesha kwamba katika mwaka 2012 miradi ya Sekta ya Kilimo inaongoza

ikiwa imechangia Shilingi Bilioni 14,226 ikifuatiwa na Sekta ya Uzalishaji Viwandani iliyochangia

Shilingi Bilioni 4,672. Sekta hizo zinafuatiwa na Sekta ya Mawasiliano iliyochangia Shilingi

Bilioni 4,663 na Sekta ya Nishati iliyochangia Shilingi Bilioni 2,110. Pamoja na mafanikio hayo,

bado kuna changamoto kubwa ya kufanya kazi kama Timu moja katika kuvutia wawekezaji. Ili

8

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!