30.08.2015 Views

1 hotuba ya waziri mkuu, mheshimiwa mizengo peter pinda (mb)

1 hotuba ya waziri mkuu, mheshimiwa mizengo peter pinda (mb)

1 hotuba ya waziri mkuu, mheshimiwa mizengo peter pinda (mb)

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Check Against Delivery

mbalimbali za kiuchumi na kijamii. Rai yangu kwenu ni kuzitumia takwimu hizo

kikamilifu katika kupanga mipango ya maendeleo kwa ajili ya watu wetu.

b) Tumebakiza miaka takribani 12 kabla ya kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya

Maendeleo 2025, miaka miwili kufikia malengo ya Maendeleo ya Milenia na miaka

miwili ya kukamilisha utekelezaji wa Mpango wa Kwanza wa Miaka Mitano. Mfumo

mpya ulioanzishwa na Serikali wa kufuatilia na kusimamia kikamilifu utekelezaji wa

miradi ya kipaumbele na kufanya tathmini ya mara kwa mara ya kupima matokeo

utasaidia kuharakisha kufikiwa kwa malengo hayo mapema. Serikali itahakikisha

kwamba Mfumo huo unaimarisha uwajibikaji na kuleta matokeo makubwa na ya

haraka katika kipindi kifupi.

c) Jitihada za Serikali ya Awamu ya Nne katika kuvutia uwekezaji katika kilimo

hususan katika Ukanda wa Kilimo wa Kusini mwa Tanzania (SAGCOT) zimeleta

mwamko na matumaini makubwa. Azma ya Serikali ni kuona kwamba Wawekezaji

wakubwa wanashirikiana kwa karibu na wakulima wadogo ili waweze kuondoka

kwenye kilimo cha kujikimu na kuingia katika kilimo cha kisasa chenye tija na cha

kibiashara. Nawahakikishia Watanzania wote kwamba upatikanaji wa ardhi

iliyopimwa kwa ajili ya Mkulima mdogo ndicho kipaumbele cha Serikali.

d) Mchakato wa kuandaa Katiba Mpya umeingia katika hatua ya kuunda Mabaraza

ya Katiba katika ngazi mbalimbali yatakayopitia Rasimu ya Katiba Mpya na kutoa

maoni. Tume baada ya kuzingatia maoni ya Mabaraza itaandaa Rasimu ya Katiba

Mpya itakayowasilishwa katika Bunge Maalum la Katiba. Natoa wito kwa wananchi

watoe ushirikiano kwa Tume iweze kukamilisha zoezi hilo muhimu kwa ufanisi na

kwa wakati.

e) Amani iliyopo Nchini imetujengea heshima kubwa katika Bara la Afrika na Duniani

kote. Sote tuna wajibu wa kuienzi na kuisimamia isitoweke. Serikali ya awamu ya

Nne itahakikisha kwamba Amani na umoja wa Kitaifa vinadumishwa ili

kuwawezesha Wananchi kuendelea kufanya shughuli zao za maendeleo bila hofu.

Serikali haitavumilia kuona mtu au kikundi cha watu wenye dhamira mbaya

wakivuruga Amani, Umoja na Mshikamano uliopo Nchini kwa kisingizio chochote.

Sote tuna wajibu wa kuheshimu utawala wa Sheria, Kanuni na Taratibu zilizopo.

111. Mheshimiwa Spika, kabla ya kumaliza Hotuba yangu, nimwombe Mheshimiwa Hawa

Abdulrahman Ghasia (Mb.), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali

za Mitaa atoe maelezo ya Mapitio ya Kazi zilizofanyika katika mwaka 2012/2013 na Mwelekeo

wa Kazi za Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa mwaka 2013/2014.

SHUKRANI

112. Mheshimiwa Spika, nitumie fursa hii sasa kuwashukuru Mawaziri na Naibu Mawaziri

kwa ushirikiano walionipa katika kipindi hiki. Aidha, nawashukuru Watumishi wote wa Serikali na

Taasisi zake chini ya Uongozi wa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Yohana Sefue kwa

kusimamia Shughuli za Serikali vizuri. Nawashukuru Watanzania wote na Washirika wetu wa

Maendeleo kwa michango yao ambayo imewezesha Serikali kutoa huduma mbalimbali kwa

Wananchi.

26

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!