30.08.2015 Views

1 hotuba ya waziri mkuu, mheshimiwa mizengo peter pinda (mb)

1 hotuba ya waziri mkuu, mheshimiwa mizengo peter pinda (mb)

1 hotuba ya waziri mkuu, mheshimiwa mizengo peter pinda (mb)

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Check Against Delivery

Uanzishaji wa Maeneo Mapya ya Utawala

101. Mheshimiwa Spika, Serikali imekamilisha taratibu za kuanzisha Halmashauri Mpya 31 ili

kusogeza huduma karibu na Wananchi. Halmashauri hizo ni Jiji la Arusha, Manispaa ya Ilemela,

Manispaa ya Lindi na Halmashauri za Miji ya Kahama, Masasi, Makambako, Geita na Bariadi.

Vilevile, imeanzisha Halmashauri za Wilaya ya Kalambo, Busega, Nsimbo, Bumbuli, Mlele,

Ushetu, Msalala, Momba, Mbogwe, Kyerwa, Busokelo na Buhigwe. Halmashauri nyingine

zilizoanzishwa ni Nyangh’wale, Wanging’ombe, Chemba, Mkalama, Gairo, Nyasa, Kakonko,

Itilima, Uvinza, Ikungi na Kaliua. Serikali itaendelea kuzipatia Halmashauri mpya vitendea kazi,

Watumishi pamoja na kujenga miundombinu muhimu hatua kwa hatua.

MASUALA MTAMBUKA

Vita Dhidi ya Rushwa

102. Mheshimiwa Spika, Serikali imeendelea kuchukua hatua mbalimbali katika kukabiliana

na tatizo la rushwa kwa kuelimisha Umma kuhusu athari za Rushwa, kuziba mianya ya rushwa

na kuwasihi Wananchi kujiepusha na vitendo vya rushwa. Aidha, Vyombo vya Dola

vimechunguza tuhuma za makosa ya Rushwa na kuwafikisha watuhumiwa mbele ya Vyombo

vya Kisheria. Hadi kufikia Desemba 2012, tuhuma 2,911 zilichunguzwa ambapo uchunguzi wa

tuhuma 390 umekamilika na Kesi 121 zimefunguliwa Mahakamani. Katika mwaka 2013/2014,

TAKUKURU itaendelea na uchunguzi wa tuhuma zilizopo na mpya zitakazojitokeza, kuendesha

Kesi nyingine zilizopo Mahakamani na zitakazoendelea kufunguliwa kutokana na kukamilika

kwa chunguzi mbalimbali. Serikali pia itaendelea kutoa elimu kwa umma kuhusu athari za

rushwa.

Maafa

103. Mheshimiwa Spika, changamoto kubwa iliyoikumba Nchi yetu kwa mwaka 2012/2013

ni ukame uliosababisha upungufu mkubwa wa Chakula katika baadhi ya maeneo Nchini.

Kutokana na hali hiyo, Serikali ilifanyaTathmini za kina za Hali ya Chakula na Lishe Nchini na

kubaini kwamba Watu 1,615,440 katika Halmashauri 47 Nchini wanahitaji msaada wa chakula.

Katika kukabiliana na hali hiyo, kuanzia mwezi Julai 2012 hadi Machi 2013, Serikali imetoa Tani

69,452 za chakula cha msaada chenye thamani ya Shilingi Bilioni 26.39 kwa walengwa katika

maeneo yenye upungufu. Serikali pia imetoa Shilingi Bilioni 4.6 kwa ajili ya usafirishaji wa

chakula hicho.

104. Mheshimiwa Spika, katika kurejesha hali ya kawaida kwa waathirika wa Mabomu eneo

la Gongolamboto, Serikali imekamilisha ujenzi wa Nyumba 36 eneo la Msongola Wilayani Ilala

na Nyumba moja eneo la Mbweni Wilayani Kinondoni. Zoezi hilo kwa ujumla limegharimu

kiasi cha Shilingi Bilioni 1.75. Nyumba hizo ambazo zimewekewa huduma za msingi za maji na

umeme zilikabidhiwa kwa walengwa na Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tarehe 11 Desemba 2012.

105. Mheshimiwa Spika, itakumbukwa kwamba mafuriko yaliyotokea Dar es Salaam mwezi

Desemba 2011 yalisababisha Kaya 1,007 za waathirika waliokuwa wanaishi katika maeneo

hatarishi zaidi kuhamishiwa katika eneo la Mabwepande Wilayani Kinondoni. Serikali kwa

kushirikiana na wadau imeendelea kuwapatia huduma mbalimbali za kijamii na kuwajengea

miundombinu muhimu ikiwemo barabara, maji, umeme, shule, zahanati na Kituo cha Polisi.

Aidha, hivi karibuni Serikali imetoa Mifuko 100 ya Saruji kwa kila Kaya ili kuziwezesha kujenga

nyumba bora na za kudumu. Napenda kutoa wito kwa Wananchi ambao bado wanaishi

mabondeni kuhama ili kuepuka athari zinazoweza kuwapata. Aidha, Mamlaka za Serikali za

24

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!