30.08.2015 Views

1 hotuba ya waziri mkuu, mheshimiwa mizengo peter pinda (mb)

1 hotuba ya waziri mkuu, mheshimiwa mizengo peter pinda (mb)

1 hotuba ya waziri mkuu, mheshimiwa mizengo peter pinda (mb)

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Check Against Delivery

66. Mheshimiwa Spika, Sekta ndogo ya Gesi Asilia inakua kwa kasi ambapo hadi kufikia

Januari 2013, kiasi cha futi za ujazo Trilioni 35 zimegundulika Nchini. Ili kusimamia rasilimali

hiyo muhimu, Serikali imeandaa rasimu ya Sera ya Gesi Asilia na kupata maoni kutoka kwa

wadau mbalimbali. Aidha, tarehe 8 Novemba 2012, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alizindua mradi wa ujenzi wa miundombinu ya

Gesi Asilia kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam. Mradi huo utaongeza uzalishaji wa umeme na

kupunguza gharama za umeme Nchini.

67. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2013/2014, Serikali itaendelea na ujenzi wa Mradi wa

bomba la Gesi Asilia kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam na ujenzi wa Mitambo ya kuzalisha

umeme wa Kinyerezi (MW 200). Vilevile, itaanza kutekeleza Awamu ya Pili ya Mradi Kabambe

wa Kusambaza Umeme Vijijini na kufikisha umeme wa gridi kwenye Makao Makuu ya Wilaya

zisizokuwa na umeme.

Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

68. Mheshimiwa Spika, Serikali inatekeleza Mradi wa ujenzi wa Mkongo wa Mawasiliano

wa Taifa wenye Awamu Tano. Awamu ya Kwanza na ya Pili ya Ujenzi wa Mkongo huo wenye

urefu wa Kilomita 7,560 imekamilika na kuunganisha Makao Makuu ya Mikoa 24 ya

Tanzania Bara. Kazi ya kuunganisha Kisiwa cha Unguja na Mkongo huo kupitia Dar es

Salaam itakamilika mwaka 2013. Tayari Makampuni ya Simu na Mawasiliano ya hapa Nchini

yameunganishwa kwenye Mkongo hatua ambayo imewezesha upatikanaji wa huduma bora za

mawasiliano katika eneo kubwa zaidi na kwa gharama nafuu. Sambamba na hatua hiyo,

Serikali imeanza ujenzi wa Mfumo wa Kuratibu Huduma za Mawasiliano Nchini (Traffic

Monitoring System). Mfumo huo utasaidia kuhakikisha mapato yanayotokana na huduma katika

Sekta ya Mawasiliano yanajulikana ili Makampuni ya Mawasiliano Nchini yalipe kodi stahiki kwa

Serikali.

69. Mheshimiwa Spika, Tanzania pamoja na Nchi zote Duniani kupitia Umoja wa

Mawasiliano Duniani (ITU) zimekubaliana kusitisha matumizi ya teknolojia ya utangazaji kutoka

Mfumo wa Analojia na kuanza Matumizi ya Teknolojia ya Dijitali ifikapo Juni 2015. Hapa Nchini,

usitishaji wa matumizi ya mfumo wa mitambo ya analojia umeanza kutekelezwa tarehe 31

Desemba 2012 kwa awamu kwa kuanzia na Jiji la Dar es Salaam na kufuatiwa na Mikoa

ya Dodoma, Tanga na Mwanza. Matangazo ya analojia yataendelea kusitishwa katika Mikoa

mingine Nchini kulingana na ratiba iliyowekwa. Natambua kwamba kuna changamoto

zilizojitokeza katika utekelezaji wa zoezi hilo la mabadiliko. Hata hivyo, mabadiliko hayo

yanalenga kuimarisha mawasiliano na kuiwezesha Nchi yetu kuendana na hali halisi ya

mabadiliko ya teknolojia Duniani. Katika mazingira ya sasa, sisi kama Taifa siyo vyema kubaki

kama kisiwa wakati tumeunganishwa na mifumo ya teknolojia ya kidunia.

Hivyo, ni busara tuendelee na mabadiliko hayo sasa kuliko kusubiri na hatimaye tukajikuta tuko

nyuma na nje ya mstari. Natoa wito kwa Watanzania wote kuyaona mabadiliko hayo kwa

mtazamo chanya na kuyakubali kama hatua kubwa sana ya maendeleo ya teknolojia Nchini.

Sayansi na Teknolojia

70. Mheshimiwa Spika, Serikali inafanya jitihada kubwa za kuendeleza Sayansi na

Teknolojia kama njia ya kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi. Jitihada hizo ni pamoja na kutenga

fedha za kutosha kila mwaka kwa ajili ya utafiti na maendeleo ya kisayansi. Serikali pia,

imekamilisha ujenzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela iliyopo Mkoani

Arusha ambayo ilizinduliwa rasmi tarehe 2 Novemba 2012. Kukamilika kwa ujenzi wa Taasisi

16

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!