30.08.2015 Views

1 hotuba ya waziri mkuu, mheshimiwa mizengo peter pinda (mb)

1 hotuba ya waziri mkuu, mheshimiwa mizengo peter pinda (mb)

1 hotuba ya waziri mkuu, mheshimiwa mizengo peter pinda (mb)

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Check Against Delivery

mazao yake sokoni na kuongeza bei ya mazao hayo. Chini ya Programu ya Miundombinu ya

Masoko, Uongezaji Thamani na Huduma za Kifedha Vijijini, Serikali, imekamilisha usanifu na

kutangaza zabuni za ujenzi wa barabara zenye jumla ya Kilometa 210.8 katika Halmashauri

za Mbulu, Njombe, Iringa Vijijini, Kahama, Lushoto, Rufiji, Songea Vijijini na Singida Vijijini.

Aidha, zabuni kwa ajili ya ujenzi wa maghala mawili katika Halmashauri za Wilaya ya Iringa

Vijijini na Njombe zimetangazwa na taratibu za ujenzi wa ghala katika Halmashauri ya Mbulu

zinakamilishwa. Katika mwaka 2013/2014, Serikali itaendelea na ujenzi wa barabara na

miundombinu mingine ya masoko Tanzania Bara na Zanzibar.

Maendeleo ya Sekta ya Mifugo

49. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2012/2013 Serikali imeanza kutekeleza Programu ya

Miaka Mitano ya Kuendeleza Sekta ya Mifugo (2011/2012 – 2015/2016). Programu hiyo

inalenga kuwa na Sekta ya Mifugo ya kisasa itakayoongeza ukuaji wa Sekta kutoka Asilimia 2.3

hadi 4.5 kwa mwaka ifikapo mwaka 2016. Ili kufikia malengo hayo, Serikali pamoja na mambo

mengine, imezielekeza Halmashauri zote Nchini kufanya tathmini ya uwezo wa ardhi katika

maeneo yao ili kufuga kulingana na uwezo wa eneo lililopo.

50. Mheshimiwa Spika, Serikali pia imeboresha huduma za uhamilishaji pamoja na kutoa

Ruzuku ya Dawa za Kuogesha Mifugo Lita 92,323 zenye thamani ya Shilingi Bilioni 1.5 ambazo

zimesambazwa katika Mikoa yote ya Tanzania Bara. Hatua hiyo imekwenda sambamba na

kujenga Majosho Mapya 14 na kukarabati Majosho 20 katika Mikoa ya Arusha, Iringa,

Kagera, Lindi, Mara, Mbeya, Mwanza, Katavi, Rukwa, Ruvuma, Simiyu, Singida, Geita na

Tanga. Vilevile, Serikali imetoa mafunzo ya unenepeshaji mifugo kwa Wafugaji wanaozunguka

Ranchi za Taifa. Pia, Miradi 13 ya unenepeshaji mifugo imeibuliwa kupitia Mipango ya

Maendeleo ya Kilimo ya Wilaya katika Mikoa ya Arusha, Dodoma, Manyara, Mwanza,

Shinyanga na Singida. Hatua hiyo imeongeza idadi ya Ng’ombe walionenepeshwa kutoka

132,246 mwaka 2011 hadi Ng’ombe 150,000 mwaka 2012. Aidha, Vijiji 781 vya Halmashauri za

Wilaya 80 katika Mikoa ya Iringa, Mbeya, Morogoro, Pwani, Katavi, Rukwa, Ruvuma na Singida

vimepimwa ili kuepusha migogoro ya mara kwa mara kati ya wafugaji na watumiaji wengine wa

ardhi.

51. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2013/2014, Serikali itaendelea kutekeleza Programu

ya Kuendeleza Sekta ya Mifugo ili itoe mchango mkubwa zaidi katika uchumi. Aidha,

itakamilisha ujenzi wa Mfumo wa Utambuzi na Ufuatiliaji Mifugo ambao unatarajiwa kuanza kazi

mwezi Agosti 2013. Vilevile, itaimarisha uhamilishaji Nchini kwa kuzalisha Dozi za mbegu bora

za uhamilishaji.

Maendeleo ya Sekta ya Uvuvi

52. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2012/2013, Serikali imeanza kupitia Sera ya Taifa ya

Uvuvi ya mwaka 1997 na kuandaa Mkakati wa utekelezaji. Lengo ni kuihuisha Sera hiyo ili

iendane na mabadiliko ya Kiuchumi na Kijamii yaliyojitokeza pamoja na kuzingatia maendeleo

ya Sayansi na Teknolojia katika Sekta ya Uvuvi. Katika mwaka 2013/2014, Serikali itakamilisha

kupitia Sera ya Taifa ya Uvuvi ya mwaka 1997 na kuendelea kuimarisha usimamizi wa rasilimali

za uvuvi. Aidha, Vikundi vya Ulinzi Shirikishi vya Kudhibiti Uvuvi Haramu na Vituo vya Doria

vitaimarishwa. Serikali pia itaendelea kusimamia shughuli za ukuzaji wa viumbe kwenye maji

ikiwa ni pamoja na kuanzisha vituo vipya vya kuzalisha vifaranga vya samaki.

Ufugaji Nyuki

53. Mheshimiwa Spika, Uzalishaji wa Asali na Nta kwa miaka ya hivi karibuni unatupa moyo

kwamba, Ufugaji wa Nyuki unaweza kuwa ni shughuli ya kiuchumi inayoweza kuwaongezea

12

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!