13.07.2015 Views

constituency public hearings, mandera east ... - ConstitutionNet

constituency public hearings, mandera east ... - ConstitutionNet

constituency public hearings, mandera east ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

95Sugal Abdow: Rer guraga wexey rawan mqacalimin dhadka ilmaxa thurka jogo wax udigto oo cithaxa rer guraxa eh waxudigto.Translator:We are pastoralists and by nature we are mobile, so we are requesting a mobile education system: where teacherscan be shifting with a family while providing the necessary educationSugal Abdow: Maaxa ilmaxa bathalka kali ini wax logudigo.Translator: its not realistic, students in town only to be educated.Sugal Abdow: Markas aniga intas yan xathal keiga kusogawina.Translator: I’m finishing my talk.Sugal Abdow: Ihtinkana ath keisi yesha, maaxa yele dhadka iskusi umaxathlaye.Translator:You have to be persevered because you will see here different opinions.Sugal Abdow: Asante.Translator: Asante.Com. Baraza: Asante bwana Hamed. Huko Somalia, mko karibu, muzi wao wanapeleka wapi? Market iko wapi?Translator: Markey nawatha kajirtey ila Sauthiga bey geisani jiren.Nur Kibit: Mimi naitwa Nur Kibit. Kwanza kabisa ile nilikuwa nataka kwanza, ni hii Katiba ambayo tunaandika saa hiikwanza tunataka pastoralist itanguliwe kwanza kwa maana tunasikia kwamba iko coffee board, wako watu wanalima lakinipastoralist hakuna mtu anatambua hawa. Kwa hivyo tunataka sheria itambue kwanza pastoralism.Ya pili tena, hii katiba ambayo tulikuwa nayo zamani, the MPs wanabadilisha vile wanataka, wanabadilisha kutoka pahali mojaau pengine, wanataka, wanapata pesa kidogo kubadilisha hii shika hivi na hivi. Kwa hivyo hii Katiba tunauda saa hii, tunatakahii katiba ikiwa inabadilishwa pahali, ama hawa MPs kama wanataka kubadilisha pahali, tunataka ifanywe referendum ili watuwabadilishe pale wao wanataka.Ile ingine ya kwamba ni identification: sasa mambo ya kusema ati identity cards, hata hapa hatutaki hiyo identity card, kwamaana, iko siku nyingine mimi nilienda Migori, Sony Sugar, wakati nilienda huko tu nilikuwa nataka ninunue sukari huko,niliambiwa tu “wee hebu lete kitambulisho”. Nikasema “kwa nini?” Mimi nakwambia hawa ni watu wa hapa wewe letekitambulisho. Sasa sura yangu mwenyewe inakaa kama ya kwamba mimi sio Mkenya. Kwa hivyo, mambo ya kusema identitycard, we don’t want any identification, tunataka tu Mkenya awe tu amezaliwa hapa Kenya.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!