13.07.2015 Views

constituency public hearings, mandera east ... - ConstitutionNet

constituency public hearings, mandera east ... - ConstitutionNet

constituency public hearings, mandera east ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

67Emergency law-hapa North Eastern, watu wetu wakiuawa, nikichukuwa mfano kama Wajir district, Garissa, na pia sehemuzingine, wacha wanyama, hata binadamu anauawa, na hatuna mahali ya kupeleka malalamishi yetu kwa sababu sheria ya Kenyanilisikia, tunahesabiwa kama shifta lakini sio kama Wanakenya. Hio tunataka iondolewe kabisa.Councillors na MPs – wawe educated kuanzia form 4 na juu.Citizenship: Tunataka kama mtoto wazazi wake ama babu wake walikuwa wa Kenya, hata yeye awe Mkenya, and if the fatherand the grandfather were Kenyans, the child also must be a Kenyan.Security, hapa North Eastern, sisi wXXXX yetu na___ , gamia naenda, ng’ombe wanaenda, uhai ya binadamu anauawa,hatuna jesi ya kutulinda hapa kichakani kabisa. Jeshi wako, lakini hawalidi sisi. Tunataka tulidwe,Presidential election, tunataka ile mtindo ya 25% iedelee kama watu wako. Yaani President akipata 25% kwa 5 provinces, hioni sawa.Constuents, tunataka watu wa North Eastern, kuna wengine wanatuita wanaEastern hakuna watu, tuko wachache, lakini hatakama binadamu tuko wachache, tuko na ardhi kubwa. Tunataka ubana wa ardhi uangaliwe lakini sio uangalie population. Kwasababu kama watu wachache wanaisi sehemu furani, kwani hawana haki ya kuwa wanakenya. Kwa hivyo hata kama watu niwachache, kama ardhi ni kubwa, MP apatiwe. Kama Madela East sasa, Madela East tunataka iwe <strong>constituency</strong> mbili kwasababu ardhi yetu ni kubwa kabisa.Political parties, multi party tunaipenda lakini, tunataka ipunguzwe, zisiwe zaidi ya tatu.Ya mwisho, hapa North Eastern, watoto ambao babu zao wameuawa na shifta, (orphans) hawaangaliwi kabisa, inaonekanahawana haki, hapa North Eastern. So, hayo ndio ningependekeza.Adawe Hassan: Aiga waxa dib oo wadhanka xayo on kawarami kara.Translator: I will be talking about my province and the problems of the country.Adawe Hassan: Mitna wasuale kenya markey dalatey gumeysi banasarna oo ingris eh kenya dhowladanimaya ya udaklateyxasho weyno dalashe.Translator: We have been colonised by the colonialists in the first place, and later we got independence, so after gettingindependence, we assumed that we are going to meet our needs.Abda Adawe Hassan: Xashi nodashey canexetha rer NorthEstern xathan xanau mana xellin dhad kale ya maalixaya oo rer

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!