13.07.2015 Views

constituency public hearings, mandera east ... - ConstitutionNet

constituency public hearings, mandera east ... - ConstitutionNet

constituency public hearings, mandera east ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

33Habiba Ali: Waxan kaxathlaya dib ey kenya naguxaise.Translator: Anasema angetaka kueleza hii commission ile shida anaface hapa KenyaHabiba Ali: Kenya manawaogawa in an dalaney iyo in kaley.Translator: Katika hii nchi ya Kenya tunauliza kama tumezaliwa, ama tuko ama hatuko, hatutambuliwi kabisa.Habiba Ali: Shufta ya kuqabsani, markey kuqabsatana xathath report ugeisa walaguxiri 5 days gutha yath kujiri.Translator: unakutana na majabazi, kama wewe ni msichana unakuwa unajisiwa ama unafanyiwa kitendo kibaya. Unapelekareport pale kwa police, huko nako unawekwa ndani.Habiba Ali: Askar oo security o fican onailalliso majogto Kenya.Translator: Hata wale askari wako hapa, hawafanyi kazi kama kawainda, hawatuchungi, na hawafanyi kazi kulingana na vilesheria imeandika.Habiba Ali: Meshas xathey shufta kuguqaratho hata ukileta repoti mawaogawa.Translator: Amesema si maajabu, uko hapa tu bali unaweza kuonekana sauti yako inasikika, unaomba usaidizi, askariwamepeana bunduki, lakini hakuna usaidizi unapata.Habiba Ali: Waxan rawa kenya iney kenya noqoto.Translator: Tungependa hii nchi yetu ya Kenya iwe Kenya kabisa.Habiba Ali: Mitka kor fadiyo iyo mitka inta jogana iney iskkumt noqthan.Translator: Yule anaishi mwisho wa Kenya, pamoja na yule ako hapa, wote wawe sawa.Habiba Ali: Sifican askarta oo misharka qathaneyso ruxa shaqa marku yaxay lacagta ushageyeisanayo wuxu ushaqeista lacagey kaxalawin ey shaqathatha firso lakini askarta mishar bey qathaneysa wexey xayana malex.Translator: Kawaida ya mtu akiwa ni mfanyi kazi awe ni askari, ama awe wapi, anafanya kazi yake kwa ile njia inatakiwa iliachunge mshahara wake. Lakini naona askari wa hapa Kenya upande huu, wanakula mshahara wa bure kwa sababuhawafanyi kazi yote.Habiba Ali: Mitha kaley waxa wayey ilmaxa agomaxa eh oo aboxoth uduntey isla marku dinto lacagta yalagaistajina dhowladawaxba kamaogo.Translator: Watoto ambao baba zao wamekufa, baada ya baba kufa, labda alikuwa ni mfanyi kazi wa Serikali, immediatelyakikufa mshahara inakuwa stopped halafu mambo ya benefits hapewi, mtoto anaumia na pia mama anaumiaHabiba Ali: Lacgta xaqi abaxa ulaxaina an lasineynin ey atheg kutaxay dib kutaxay.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!