13.07.2015 Views

constituency public hearings, mandera east ... - ConstitutionNet

constituency public hearings, mandera east ... - ConstitutionNet

constituency public hearings, mandera east ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

30Abdi Rahaman: Waxa kale on rawa ninki Councillor lothoranayo in standi 8 iyo kakorey uaxatho.Translator: Wakati wa kufanya uchaguzi wa madiwani, angependa mtu yule ana masomo kuanzia darasa la nane mpaka form4.Abdi Rahaman: MP waxan karawa in uaxatho form 4 iyo waxi kakoreyo.Translator: Kufika kwa wanabunge pia, iwe kutoka form 4 mpaka juu.Abdi Rahaman: dhowlada mehsey guryaxa kadisatey, meshey jithathka kasameysatey wa mel ber dhad leyaxay ama guri eyxog kuqathatey iney dhowlada ey lacg soceliso yan rawa.Translator: Anasema kuna ardhi zingine ni ya wananchi, Serikali inachukua kwa nguvu, inatumika kwa barabara, amainatumika kwa office, ama inatumika kwa njia zingine. Hizo pia ni maombi yake kwamba, wale wenye hiyo ardhi, wawecompensated. Warudishiwe mali kama plot imechukuliwa.Abdi Rahaman: Waxa dhowlada kaqothsana Garis ila meshan inta udaxey anaga jit maqabno, gawaritha xata shan biloth lixbiloth bey jitka kujiran waxan kaqothsaneyna jitka xata uithinka naftina yanilithithey waxa thiyaratha nilisosiyey wa sas.Translator: Kama kweli Serikali ni yetu ama ni yangu, nione kwamba, hii barabara kutoka emkoi, katika kaskazini masharikiyote vile iko mbaya, angependa irekebishwe. Hata vile mlipewa helicopter, ni kwa vile ma-commissioners wasione barabaravile iko ndio mlipewa helicopter.Abdi Rahaman: Xata inta kabathan mawashegikari dhowlada ya naqaqawani askarta yaqawa bananka xathan ubaxno.Translator: Anasema kama angetaja zaidi, labda pale mlango ni atashikwa, kwa hivyo hangependa kuguza hiyo.Comm Lenaola: Wacha niwaeleze kitu, si kusema hivi asubuhi nafikiri, hakuna mtu atakushika hapa kwa maoniutakayoyasema.Translator: Qof racyigi ath shegtey kuqawano maalaxa.Hii kazi ambayo Serikali yenyewe ilikubali kwamba kila Mkenya azungumze, aseme anayapenda bila kusubuliwa na mtuyeyote.Translator: Dhowlada ya fasaxthey ini ninkasta oo rer kenya eh in u waxuqawo shegto.Ukitaka kusema leo kwamba chief achaguliwe na wananchi, sema hivyo,Translator: Xathath rabtith chiefka ini lathorto sheg.ukitaka President akuje hapa achaguliwe na wananchi, sema hivyo,Translator: Xata xathath rabtith mathax weynaxa in u xalka imatho oo lathorto sheg.ukitaka mjube kama baada ya miaka miwili unataka kumwita nyubani, sema hivo.Translator: Xathi ninki MP ushaqathisa kaosbixiwayo oo rabtith ini lasoceliyo sheg.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!