13.07.2015 Views

constituency public hearings, mandera east ... - ConstitutionNet

constituency public hearings, mandera east ... - ConstitutionNet

constituency public hearings, mandera east ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

29sheria ya Islam.Abdi Rahaman: Waxan rawa nimanka oo itharathyasha uweyn ini inti mathax weynaxa uthorani laxa waxan rawa inibarlamkalaguyo oo barlamanka ey kathothan yan rawa.Translator: Pia kuna ma-ambassadors, ama PSs, kuliko President kuwachagua, ni maoni yake kwamba, Wabungewajadiliane katika Bunge, halafu, wachaguliwe kwa huu utaratibu. .Abdi Rahaman: Screening card waxan rawa ini laturo.Translator: Mambo ya screening cards hio kwanza angependa itupiliwe mbali kabisa.Abdi Rahaman: MP iyo Council yasha anaga thorana.Translator: MPs pamoja na madiwani, wote hao wawe watu wanawachagua.Abdi Rahaman: Waxan rabna ninwalbo inti sothoratey sathax meloth xathi lodigo mesho xathey complain kakena inilasoceliyo.Translator: Tukiangalia three quarters ya wale ambao waliwachagua, kama wataleta malalamiko, huo uchaguzi urushwe.Abdi Rahaman: Waxan rawa dulka an xatha thagane kena maaxa waxa iskale DC, County Council Chairmanka yaiska gathgathta dulka keni maaxa, waxan rabna dulka ini othey yal wananchi nalogudiwo oo anaga ey nasiyan.Translator: Hii ardhi tunaishi si yao, ni either DC, ama ya mtu fulani, ama mayor, ama kitu kama hicho. Kwa hivyoangependa hiyo ardhi irudi kwa mikono ya mwananchi.Abdi Rahaman: Marka ninka DC ga matku imatha oo sethax biloth jogo oo kun plot bu gathani.Translator: Mtu labda ametimiza miezi 3 tu, amekuwa posted akiwa mkuu wa wilaya, ananunua plots kama million moja.Abdi Rahaman: Wax intas kabathan xathan shegno wanalaguqawani.Translator: Anasema zingine hata hangependa kuguza,Abdi Rahaman: Aniga waxan axay nin xolaley eh.Translator: anasema yeye ni mtu wa mifugo, ako na mali,Abdi Rahaman: Waxan rawa dhowlada iney thawa bilash ey isiso oo iney biya bilash ey isiso, iney syq on xolaxa kugato iyomel an cara an kaqato xolaxena cara bey cunan yan rawa.Translator: Yeye akiwa ni mfugaji wa mali, angependa Serikali kwanza ilinde maisha yake, ya mali yake, imtafutie mahali pakupata maji. Pia kuna ule mchanga, salt ambayo wanyama wanakula, ili apate usaidizi kutoka kwa Serikali kama kweli ni mtuambaye anatabuliwa kama mwanakenya. Na soko pia.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!