13.07.2015 Views

constituency public hearings, mandera east ... - ConstitutionNet

constituency public hearings, mandera east ... - ConstitutionNet

constituency public hearings, mandera east ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

112Nyingine, ni mambo ya civil service. Civil servants wanalazimishwa wanyoe ndevu zao, kwa hivyo kila mtu awe an uhuru yakunyoa ama kuwacha.Lingine, akina mama, wakienda jela, ama kufungwa, njia yao ya kuvaa, wanavaanga zile nguo fupi kafupi lakini wanawakeWaislamu wavae nguo ambazo wanataka.Hiyo nyingine in incomes ya Kenya: sisi tukiwa North Eastern tupate 10%.Nyingine ni mambo ya pastoralists: ardhi, iwe ya wananchi ambao wanagawana hiyo, wawe na jukumu la kulipa ama kukataa,kwa sababu tunaona kuna mtu anafunga kutoka hapa mpaka maili kumi, anasema ni yake, amechukua karatasi kutoka kwacounty council. Hapo ibadilishwe, lazima ardhi ilipwe na wale ambao wanakaa.Hiyo ingine ni mambo ya police kupiga watu bure. Hiyo iondolewe kwa sababu kila mtu akipatikana na makosa, apelekwekortini badala ya kupigwa bure.Lengine, ni mambo ya screening card, kwanza hatutaki.Lengine ni pension: pension kwanza iongezwe, wazee ambao wamefanya kazi ya Serikali, pesa zao ziongezwe.Ya mwisho, watoto wa secondary, kwanza, wafudishwe law ya Kenya ili wakati wanatoka wawe wakijua sheria ya Kenya.Mwisho in mambo ya passport. Passport itolewe kila district, saa hii tunaona watu wa kuenda Mecca, wanaenda kutafutaNairobi badala ya kutafuta huku kwa district, passport ipatikane kwa kila district.Com. Lenaola: Not clearThe meeting ended at 6 P.M.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!