Final Sameer Annual Report 2010 - Sameer Africa Limited

Final Sameer Annual Report 2010 - Sameer Africa Limited Final Sameer Annual Report 2010 - Sameer Africa Limited

sameerafrica.com
from sameerafrica.com More from this publisher
01.12.2012 Views

Ripoti ya wakurugenzi Wakurugenzi wana furaha ya kuwasilisha ripoti yao pamoja na taarifa za kifedha zilizokaguliwa za mwaka ulioishia tarehe 31 Desemba 2010, ambazo zinaarifu hali ya shughuli za Kundi na Kampuni. 1. SHUGHULI KUU ZA KAMPUNI Shughuli kuu za Kundi ni utengenezaji, uingizaji wa magurudumu kutoka nje na uuzaji na ukodishaji wa majengo katika eneo la Utengenezaji Bidhaa Nje. 2. MATOKEO Matokeo ya mwaka yanaonyeshwa ukurasa wa 18. 3. Gawio La Faida Faida ya jumla ya mwaka ya KShs 57,396,278 (2009 - KShs 158,005,291) imeongezwa kwenye mapato yaliobakishwa. Wakurugenzi hawapendekezi malipo ya gawio la faida (2009 - KShs senti 0.50 kwa kila hisa). 4. Wakurugenzi Wakurugenzi waliofanya kazi katika mwaka wameonyeshwa kwenye ukurasa wa 2. 5. WAHASIBU Wahasibu, KPMG Kenya, wameonyesha kuridhia kwao kuendelea kuwa wahasibu kuambatana na sehemu 159 (2) ya Sheria za Makampuni (kifungu 486). 6. Kukubaliwa kwa Taarifa za Kifedha Taarifa za kifedha zilikubaliwa katika mkutano wa wakurugenzi uliofanywa tarehe 22 Machi, 2011. Kwa Amri ya Halmashauri Issa Timamy Katibu wa Kampuni 22 Machi, 2011 X 10 SAMEER Annual Report 2010 2009 Summit 7.50-16 Yana Faida 195 R15

Board of Directors Seated from left: Mr. M. M. Karanja-Managing Director Eng. E. K. Mwongera-Chairman Mr. T. D. Owuor-Director Standing from left: Mr. I. A. Timamy-Director Mr. P. M. Gitonga-Director Mr. S. M. Githiga-Director Mr. A. H. Butt-Director SAMEER Annual Report 2010 11

Board of Directors

Seated from left:

Mr. M. M. Karanja-Managing Director

Eng. E. K. Mwongera-Chairman

Mr. T. D. Owuor-Director

Standing from left:

Mr. I. A. Timamy-Director

Mr. P. M. Gitonga-Director

Mr. S. M. Githiga-Director

Mr. A. H. Butt-Director

SAMEER Annual Report 2010 11

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!