Final Sameer Annual Report 2010 - Sameer Africa Limited
Final Sameer Annual Report 2010 - Sameer Africa Limited
Final Sameer Annual Report 2010 - Sameer Africa Limited
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Ripoti ya Mkurugenzi Mkuu

Mwaka 2010 ulikuwa wa changamoto na gharama za

malighafi zikiongezeka kupita matarajio ya kila mtengenezaji

magurudumu. Gharama za malighafi ndiyo kijenzi kikubwa

zaidi cha gharama halisi ya gurudumu. Katika soko ambalo

sio tu ni shindani lakini ambapo wateja karibu wote wana

mapato kidogo ya kutumia; hatukuweza kupata kwa ukamilifu

ongezeko la gharama za pembejeo kupitia maongezeko ya bei.

Hili liliweka faida yetu kwenye shinikizo.

Tuliendelea kusukuma gharama zetu za ndani chini kupunguza

kwa kiasi maongezeko ya gharama za malighafi. Malighafi aina

mbili kati ya aina tano muhimu ya magurudumu (mpira asilia na

kaboni nyeusi) zinauzwa kama bidhaa na karibu watengenezaji

wote wa magurudumu wakinunua kutoka mahali pamoja.

Mpira wa usanisi ni kitu kilichotengenezwa kikemikali kutoka

kwa msingi wa mafuta chenye uwezo mdogo kilimwengu

na kinachoathiriwa na mabadiliko katika bei za mafuta

yasiyosafishwa. Tuliendeleza vyanzo badalia vya pembejeo

za kiwanda kuhakikisha usalama wa ugavi dhidi ya upungufu

unaotokea mara kwa mara ulimwenguni wa baadhi ya malighafi

na kulenga pia kupata uokozi wa gharama inapowezekana.

Kila chanzo kipya cha malighafi kinaekwa chini ya mkakati

mkali wa uthibitisho kwa sababu za usalama.

Usalama na ubora wa bidhaa zetu vinabakia muhimu na katika

mwaka 2010 tulipata uthibitisho tena wa Mfumo wa Usimamizi

wa Ubora wa ISO 9001:2000, Kiwango cha Kimataifa cha

Viwanda vya Kujiendesha ISO/TS 16949:2002 na Mfumo

wa Usimamizi wa Mazingira ISO 14001:2004. Taratibu.

wateja wanatambua chumo bora la kilomita na udumifu wa

magurudumu ya Yana dhidi ya mengine ya rahisi.

Tuliendelea kulenga kwenye uvumbuzi na bidhaa zilizowekwa

sokoni katika mwaka mmoja au miwili iliopita zikichangia

asilimia 14 ya jumla ya mauzo ya magurudumu na bidhaa

X 8 SAMEER Annual Report 2009 2010

hizi mpya zitatoa mikondo ya ukuaji wa siku za baadaye.

Tuna bidhaa tofauti zinazoendelezwa na tutaanzisha sampuli

mpya kutoka Bridgestone zinazolenga kuziba mapengo katika

vitengo tofauti vya soko.

Katika 2010, tulianza kukiinua na kukifanya cha kisasa kifaa

kimojawapo muhimu katika kiwanda kuongeza uzalishaji

na utegemezi. Tulitekeleza mfumo wa SAP ERP ambao

unaunganisha majukumu yote ya kampuni na habari halisi za

wakati kusaidia shughuli za biashara.

Tukienda mbele katika mwaka 2011, tutaendelea kutekeleza

mipango ifuatayo:

• Udhibiti wa gharama na uendelezi wa utendaji bora

• Ulinzi wa hima wa faida

• Uvumbuzi wa bidhaa kutokana na ufahamu wa hali ya

juu wa soko

• Uimarisho na kukuza kuwepo kwetu katika masoko

yaliopo na kuingia masoko mapya

• Kuendelea kuimarisha usimamizi wa mfululizo wa

ugavi na kuendeleza vyanzo vipya badali

• Kuimarisha ushirikiano na wateja wetu, wagawaji na

washika dau muhimu

• Utengenezaji fanisi wa bidhaa za ubora wa juu

• Uwezo wa kushawishi kutokana na utekelezaji wa

karibuni wa mfumo wa SAP ERP

• Uekezaji katika watu wetu na kuendeleza stadi

zinazohitajiwa

Shughuli hizi zimelenga kuimarisha utendaji wetu na upataji

faida katika mwaka 2011.

Michael M. Karanja

Mkurugenzi Mkuu

Yana Nguvu Yana Kilimo