12.07.2015 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

89Nairobi anaenda Teso, akitoka Nairobi kama amefika mpaka wa Nakuru na Nairobi, lazima ile security ya Nakuru imuchukuliehapo, imulete kwa mpaka ya Nakuru nyingine na halafu security ifanyiwe kwa district. Si atoke na magari nyingi Nairobianaenda Teso, hiyo inatugharimu pesa nyingi sana. Akienda mchango, ikiwa Minister amejisikia kuenda naye, yeye mwenyeweajilipie pesa yake kwa mfuko, mafuta na kila kitu. Kulingana na pesa ya Kenya, tunataka portrait moja. Kama ni Kenyatta, auni Bunge au ni Central bank- hatutaki vichwa vingi kila wakati kubadilishwa badilishwa. Kulingana na advocates, mtu ameuuamtu kama ameona- lakini mtu anaenda kushika advocates! Unaenda kortini kubishana na mtu mwenye humjui. Hiyo mamboya advocate kama mtu ameuua mtu, yeye mwenyewe aende kortini. Hatutaki mtu ashike advocate anajua tu kubishana zaidi.Com. Bishop Njoroge: Sawa. Haya kwenda kwa nyingine.Daniel Weloto: Ikiwa mtu ameshikwa na kitu kama exhibit, kitu kama bangi labda mtu ajawai ona na kweli atashikwa naunaona askari anatembea na bangi, anakupeleka kortini anashtakiwa kweli amepatikana nayo na mwenye ajawahi ona. Askariakishika mtu, lazima kuwe na mtu mwingine hapo ili awe shaidi ndio apelekwe kortini. Mtu akishtakiwa kwa haraka, maraunaenda kortini “advocate ako Nakuru”, “advocate ako Kisumu”, siku zinahirishwa. Tuwe na committee ya wazee waleambao wanaweza kusaidia korti. Asante sitaendelea na mengi kwa sababu nitapeana memorandum.Com. Bishop Njoroge: Asante. Umesema hutaki mtu akiuua mtu na unajua ameua hutaki advocate?Daniel Weloto: Advocate hapana.Com. Bishop Njoroge: Kuja kumtetea?Daniel Weloto: Hata na yeye awe killed.Wakoli: Lisina liase bananga bali Wakoli.Translator: My name is WakoliWakoli: Nono ese ndoma ndi,Translator: What I want to say,Wakoli: Onyala waba ne bakeni,Translator: You can have visitors.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!