12.07.2015 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

88wakubwa, wanaendelea kutuelimisha kwa mikutano wakisema tujikinge na maradhi kama haya- ilihali hawa wanasema ati“Trust”. I am of the opinion that, some of the Aids advert like this one, we should reject it.Another issue is that old schools established by Missionaries- if it is a Salvation army school, or a Friends and such like, thatshould be headed by somebody of that religion. We know that we will alleviate Aids. I am saying this in the sense that, kunawatu wakubwa wakuu wa shule ambao ukiona wakuu wenye wa hizo shule labda sio wa ile dini sasa,---Com. Bishop Njoroge: Tumepata hiyo.Chris Lusweti: In order to upgrade moral standards, it will be of no importance. Another issue is that of rape. Ningeoneleaingekuwa vizuri kama wangechukua mtu mwenye ametenda kitendo kama hicho, kama wakipata amefanya hiyo, wamchukuliehatua—Com. Bishop Njoroge: Hatua gani?Chris Lusweti: Wamuchukulie hatua- iwapo mtu mwenye alifanyiwa kitendo kama hicho, kama ni mwanamke akuwe namavazi aliokuwa amevalia au, tuwe na witness wenye walikuwa karibu wakaona ati kweli alitenda kitendo kama hicho. La pili,ningeonelea askari wetu watulinde kidogo. Babarabara ndio tunaona kuna vizuishi vingi sana. Ningepedelea hivi viondolewekwa sababu unapata kwamba usafiri unakuwa wa hali ya pole pole, mahali ulitaka kufika hufiki, unasimama sana barabarani.Com. Bishop Njoroge: La mwisho?Chris Lusweti: Ni hayo tu.Com. Bishop Njoroge: Okay asante. Njoo hapa. Kuna wengine wamekuja wanataka kuzungumza? Njooni hapa chini.Nimeona wengine wamekuja hapa. Mama unataka kuzungumza? Njoo hapa.Mama: Ehe---Com. Bishop Njoroge: Njoo, ukiambiwa uje, njoo. Mama, unajua tunataka uwe karibu tukuone ili tukiendelea tuendeleeharaka.Daniel Woloto: Asante. Kwa majina naitwa Daniel Woloto. Mapendekezo yangu ni kwamba, Rais – ikiwa ule mswadawenye uko Bungeni, akistaafu, hiyo pesa yake yenye ametafuta alipwe kidogo tu kulingana na vile amefanya kazi. Lakini si kilamwezi ati apewe pesa fulani na security nyingine. Hiyo yake imeisha. Kulingana na Rais kama anaenda mahali, labda anatoka

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!