12.07.2015 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

86Com. Lethome: Mzee akipiga mama afanywe nini?Joash Were: Mzee akipiga mama afungwe zaidi ya miaka mitano kwa sababu wamama ndio wanalinda boma; wakati huuhata ukienda nyumbani wazee wengi wako sokoni. Mama ndio anashughulika kupika, kulinda watoto, na kutuangalia.Com. Bishop Njoroge: Sawa, we have gotten the point.Joash Were: AsanteCom. Bishop Njoroge: Thank you very much. We appreciate your views. Alfred? Msifanye kelele tafadhalini. AfredAgesa? Charles Juma yuko wapi? Charles Juma yuko? Njoo hapa mbele. Na Ismael Magabo? Na Chris Lukwetu uko?Okay.Alfred Agesa: Asante sana nimekuja hapa kwa hii Commission na napiga asante, jina langu Alfred Agesa. Nimekuja kwa hiiCommission kutoa maoni yangu. Maoni yangu ya kwanza kwa hii Commission, nitaongea hivi; kuna wale watu wanajiitacandidates katika nchi hii. Ningependa hao candidates wakati ule wanakuja kwa wananchi, wale ambao wanataka wawapigekura kitu cha kwanza, tungetunga sheria voters wenyewe wawe waki-interview hao watu kwa platform kabla ya kuchaguliwa.Kwa sababu mtu anakuja tu na anaanza kuongea zake na sisi voters hatuongei juu ya yeye na anaenda bila sisi kukagua yeyekumjua yeye ni mtu aina gani. Lakini kama tungekuwa tunaruhusiwa sisi voters tuongee juu ya mtu kama huyo, nafikiriamembers wangekuwa na lengo la kujua huyo mtu ni mzuri au mbaya. Hilo ni la kwanza.La pili ni kazi ya doctors in the country. Nafikiria kwa maoni yangu, government inge-reverse that system- all doctorswangekuwa waki-sign kwa kufanya kazi badala ya kuandikwa na serikali permanent ndio unaona mambo ya corruptioninaendelea. Lakini kama mtu atakuwa aki-sign contract kwa muda wa miaka fulani, nafikiri hapo wangekuwa very careful.Hawangekuwa wanaendelea na hayo maneno.Ya tatu, ningependa sheria inaundwa katika nchi na hiyo sheria inakuwa ni ya watu. Haiundwi kwa mtu ati huyu mtu ni Chief,huyu mtu ni Minister, huyu ni nani. Tunataka sheria ikiundwa, iundwe kwa kila mtu equally. We are all human beings and weare all Kenyans. Iwe equal kwa kila mtu. Asante na sitaendelea sana.Com. Bishop. Njoroge: Charles Juma?Charles Juma: Well, I will be very brief. My names are Charles Juma. On the issue <strong>of</strong> corruption, this issue should beaddressed to each and every mwananchi and particularly, any learned person should be taught on how to alleviate poverty- not

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!