constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitutionnet.org
from constitutionnet.org More from this publisher
12.07.2015 Views

84Com. Lethome: Sasa unapendekeza ile retirement package ya President- President awe na retirement package au asiwenayo?Patrick Wanyonyi: Asiwe nayo. Yeye amepata, amekula sasa aendelee kupewa? Hata kama Biblia inasema ati yuleambaye anaye umuongezee lakini, it will reach at a point whereby we should reverse.Com. Lethome: Wanyonyi orio.Com. Bishop Njoroge: Bildad Wanyonyi? Bildad Wanyonyi? Can you come here. Joash Were Yuko? Okay, weweutafuata.Bildad Wanyonyi: Majina yangu ni Bildad Wanyonyi. Point yangu ya kwanza ni juu ya Rais. The President should not holdother posts other than being the President. The President should not be the chairman of the Party yaani akiwa Rais, awe Raiswa watu na yule mwenye atakuwa Chairman wa ruling party awe mwingine. Yeye ahusike tu na mambo ya wananchi ambaoanawaongoza, lakini asihusike na mambo ya chama kinacho tawala.The second one, is the appointments and reappointments. Utapata mtu alikuwa appointed akafanya kazi, baada ya kufanyamakosa, akachishwa akaenda nyumbani, halafu unapata amekuwa re-appointed. Na penye anaenda, anaenda kufanya pia yaleyale makosa aliyofanya mahali alipokuwa pa kwanza.Kwa upande wa health, doctors and nurses shouldn’t run their own clinics and chemists kwa sababu wakifanya hivyo huwawanaibia serikali madawa, wanaweka hapo kuuzia watu na wakitibu watu wengine. Akiwa daktari, abaki kuwa daktari.Maoni yangu ndio hayo tu. Asante.Com. Bishop Njoroge: Thank you very much Bildad, umesema mambo muhimu asante. Joash Were, tafadhali:Joash Were: Kwa majina naitwa Joash Were Wafula. Maoni yangu ni kwamba, kwanza nitaanza na urithi wa mashamba.Ningeonelea ya kwamba, kitu kama land title deed ikitolewa na land board, inatakikana ihusishe mama pia jina lake liwepondani na kijana mmoja wa familia pamoja na mze- kuwe na majina matatu kwa land title deed. Hiyo itawezesha kama mmojaanakufa, wawili bado wataendelea kuwa na urithi wa hilo shamba sawa sawa. Jambo la pili, tumekuwa na maradhi mengi sanakatika jamhuri yetu ya Kenya. Na haya maradhi hasa ni Ukimwi. Kuna watu wengine wamejifanya kuwa wale ndume sana,yaani wale wanapenda wanawake. Hata wanafanya raping. Ile hukumu kwa raping ambayo imetoa ya miaka saba, hiyohaitoshi. Ninataka, kwa maoni yangu, hawa watu wakipatikana au mtu akipatikana ame-rape msichana mdogo au mama mzeeau mwanamke bila ihari yake, huyo mtu awe castrated kwa sababu, pengine ako na maradhi anaeneza kutoka hapa na pale.Huyo mtu awe castrated kabisa ili asiende kwa mwanamke mwingine.

85Jambo lingine, sisi katika jamhuri yetu ya Kenya, hii inaitwa Rift Valley Province, imeleta matatizo mengi sana katika jamhuri yaKenya. Ninaonelea kama hii sheria itungwe vizuri au kama marekebisho ya sheria itafanywa wagawe hii Rift Valley Provinceiwe na Provices tatu au nne na hiyo itatoa ukabila, hiyo ndio mwanzo ya ukabila hapa Kenya. Ninataka hiyo Province iwe splitinto four provinces; kama North Rift, Central, Southern and Eastern Rift Valley. Kuwe na PCs wane na hiyo itasaidia. Bure tu,hata kama hii Katiba itabadilishwa na tuwe vile tuko wakati huu, huu mkoa ndio unaleta ukabila katika Kenya.Jambo lingine wananchi hasa wakulima wameteseka sana na hii inatokana kwa sababu serikali inasema, tunarudisha umasikinichini. Lakini itarudishaje umaskini chini na haina mwelekeo wowote? Tunataka serikali kama iko na pesa, itoe hizo pesa, igawekatika cooperative societies. Na hizo cooperative societies ndizo zitanunua mazao kwa wakulima, ziuzie National CerealBoard. Hiyo itasaidia mkulima wa kawaida. Bure tu, mtu ako na mahindi gunia tano, anaambiwa apeleke kwa cereal board.Atapeleka namna gani?Jambo lingine, tumekuwa na vitu vingi ambavyo vinatoka nje, vinarundikwa hapa Kenya, hata hapa Nzoia leo sukari imejaa hatahatuwezi kuuza. Sukari iko nyingi na ingine inatoka nje. Badala ya kuangalia waseme ya kwamba, tunataka hii kiasi ndioinakuja, wanaleta nyingi na yenye tuko nayo inakosa soko. Na wanasema punguza, na gharama ya kutoa sukari imekuwa juuzaidi. Hiyo haifai. Tunataka sheria ambayo inalinda wananchi na viwanda vyetu ili watoto wetu wapate kazi.Jambo lingine ni kuhusu masomo. Masomo yamekuwa bei ghali kwa wazazi na kwa kila mtu katika jamhuri yetu ya Kenya.Universities zimekuwa introduced lakini jambo la kushangaza, tunatoa university graduate lakini they are not gettingemployment. We are not consuming them- there is no consumption on these graduates. What are we going to do? Jambonzuri tuwe na balanced education. Tujue ya kwamba, if we are producing such number of graduates, they will be able to getemployment instead of producing so many graduates and they are not going to get employment. Lastly, these universities arejust put in one place; Rift Valley. Sangale Institute, our institute here, iko na hekari mia tisa. It is the best place to be given auniversity and (inaudible). Kwa nini wanarudisha university zote Rift Valley as if other Kenyans are not able to qualify foruniversity.Com. Lethome: How many universities are in Rift Valley?Joash Were: They are now four. I can name them: Moi, Egerton, an-Adventist University (Baraton University),Com. Lethome: Count public because we are talking of public universities.Joash Were: Right now they are three because, Moi Kabarak is now a university. Lastly, nitarudi nyumbani. Wamamawanateseka sana. Wababa wanapiga wamama kama punda. Tunataka sheria ambayo inalinda wamama nyumbani.

85Jambo lingine, sisi katika jamhuri yetu ya Kenya, hii inaitwa Rift Valley Province, imeleta matatizo mengi sana katika jamhuri yaKenya. Ninaonelea kama hii sheria itungwe vizuri au kama marekebisho ya sheria itafanywa wagawe hii Rift Valley Provinceiwe na Provices tatu au nne na hiyo itatoa ukabila, hiyo ndio mwanzo ya ukabila hapa Kenya. Ninataka hiyo Province iwe splitinto four provinces; kama North Rift, Central, Southern and Eastern Rift Valley. Kuwe na PCs wane na hiyo itasaidia. Bure tu,hata kama hii Katiba itabadilishwa na tuwe vile tuko wakati huu, huu mkoa ndio unaleta ukabila katika Kenya.Jambo lingine wananchi hasa wakulima wameteseka sana na hii inatokana kwa sababu serikali inasema, tunarudisha umasikinichini. Lakini itarudishaje umaskini chini na haina mwelekeo wowote? Tunataka serikali kama iko na pesa, itoe hizo pesa, igawekatika cooperative societies. Na hizo cooperative societies ndizo zitanunua mazao kwa wakulima, ziuzie National CerealBoard. Hiyo itasaidia mkulima wa kawaida. Bure tu, mtu ako na mahindi gunia tano, anaambiwa apeleke kwa cereal board.Atapeleka namna gani?Jambo lingine, tumekuwa na vitu vingi ambavyo vinatoka nje, vinarundikwa hapa Kenya, hata hapa Nzoia leo sukari imejaa hatahatuwezi kuuza. Sukari iko nyingi na ingine inatoka nje. Badala ya kuangalia waseme ya kwamba, tunataka hii kiasi ndioinakuja, wanaleta nyingi na yenye tuko nayo inakosa soko. Na wanasema punguza, na gharama ya kutoa sukari imekuwa juuzaidi. Hiyo haifai. Tunataka sheria ambayo inalinda wananchi na viwanda vyetu ili watoto wetu wapate kazi.Jambo lingine ni kuhusu masomo. Masomo yamekuwa bei ghali kwa wazazi na kwa kila mtu katika jamhuri yetu ya Kenya.Universities zimekuwa introduced lakini jambo la kushangaza, tunatoa university graduate lakini they are not gettingemployment. We are not consuming them- there is no consumption on these graduates. What are we going to do? Jambonzuri tuwe na balanced education. Tujue ya kwamba, if we are producing such number <strong>of</strong> graduates, they will be able to getemployment instead <strong>of</strong> producing so many graduates and they are not going to get employment. Lastly, these universities arejust put in one place; Rift Valley. Sangale Institute, our institute here, iko na hekari mia tisa. It is the best place to be given auniversity and (inaudible). Kwa nini wanarudisha university zote Rift Valley as if other Kenyans are not able to qualify foruniversity.Com. Lethome: How many universities are in Rift Valley?Joash Were: They are now four. I can name them: Moi, Egerton, an-Adventist University (Baraton University),Com. Lethome: Count public because we are talking <strong>of</strong> public universities.Joash Were: Right now they are three because, Moi Kabarak is now a university. Lastly, nitarudi nyumbani. Wamamawanateseka sana. Wababa wanapiga wamama kama punda. Tunataka sheria ambayo inalinda wamama nyumbani.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!