constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
82Com. Bishop Njoroge: Pendekezo lako ni gani?Patrick Wanyonyi: Pendekezo langu ni; ikiwa shamba liko mahali fulani wale watu wako hapo wapewe mashamba.Com. Bishop Njoroge: Sawa. Nenda kwa point nyingine.Patrick Wanyonyi: Point nyingine ni security. It should be highly observed by the government kwa vile utapata kamaNairobi, vijana wa Mungiki wamevamia watu wana-claim ya kwamba wametumwa na Mungu waje watahirishe watoto wa kikewote katika nchi yetu ya Kenya. Badala ya askari kwenda ku-control hiyo ili hao watoto wa kike wasitahirishe, utapata hapowanapanda ma-helicopters, ndege ati wanaenda Eritrea for peace keeping. What type of peace keeping will you be observingkama hapa kwenyewe nyumbani kwako, shida iko na unaacha shida nyumbani, unaenda Eritrea, unaenda Somalia, unaenda---Com. Bishop Njoroge: Kwa hivyo unasema, we outlaw all the groups that cause insecurity.Patrick Wanyonyi: Yes.Com. Bishop Njoroge: Okay fine. Another point.Patrick Wanyonyi: Juu ya beer, waliongea na sitaki kurudia. It should be at a reasonable price so that we deviate from illegalbrew. Or else, hii beer ikiwa juu, tutafanya aje na baada ya kazi- na vile mnaelewa, beer brings people together. Sasatutafanya aje? Hata kama mungeturuhusu tunakunywa hata hiyo chang’aa, unaweka kwa kabati, unafanya kazi yako, baada yakazi unarudi unakunywa kidogo, you relax.Com. Bishop Njoroge: Sawa. Tumeandika hiyo. Ya mwisho?Patrick Wanyonyi: Juu ya umri wa Rais: hata tukiona as per biology, mtu akipitisha over 55 years, tunaona senses zake,reasoning capacity inaanza ku-deteroriate lakini sisi President anafikisha century. Hata anafika mahali hajui chenye anafanya.Com. Bishop Njoroge: Kwa hivyo ungehitaji awe miaka ngapi ndio a-retire?Patrick Wanyonyi: Mimi kwa maoni yangu, ningependa Rais wa nchi aanzie 30 or 35 and not more than 55 years. Si kuonamtu wa 71 years ndio anataka Urais.Interjection. Com. Bishop Njoroge: Sasa wewe unatuambia hadithi. Tunataka tu points. Ya mwisho?
83Patrick Wanyonyi: Juu ya tribes. Hapa Kenya we are 42 tribes na kila tribe tungependa ichukue wadhifa wa urais. Si etikabila moja tu ndilo linakalia makabila mengine. Hapa nchini Kenya mnajua kabila ambayo tulianza nayo baada ya kunyakuauhuru. Halafu baada ya huyo, kuna yule mwenye alichukua. Na wakati huu, ningependa at least, zile mbili ambazo zimechukua,sizirudi huko, iende kwa kabila nyingine. Kwa sababu kwa kabila zingine, tuko na watu ambao wanaweza kutuongoza- aukama hawako sisi we are ready.Com. Bishop Njoroge: Yeah I know like you you can lead. Now can you come and register here.Patrick Wanyonyi: I have some views. Equal distribution of government resources. Tuangalie Kenya vile iko, tuko naprovinces nane lakini ukiangalia hapa Western, how many universities do we have?Com. Lethome: Unapendekeza nini?Patrick Wanyonyi: Ninapendekeza, tukiwa na 8 public universities in Kenya, Western iwe na moja, Central moja, Rift Valleymoja, Coast moja, Eastern moja, North Eastern moja ---Interjection. Com. Bishop Njoroge: Hiyo imetosha.Patrick wanyonyi: Lakini si ku-accumulate mahali pamoja.Com. Bishop Njoroge: Haya kuja ujiandikishe sasa tafadhali. Kuna watu wengine ambao—Patrick Wanyonyi: Sasa ile yenye ninaenda kuongea hata hawa hawataongea,Com. Bishop Njoroge: Sikia, you are becoming disorderly. You understand? This is a very serious thing. Ukiambiwaumalize, you are not going to take 20 minutes talking, there are others who want to talk. Can you give your last point?Patrick Wanyonyi: Kwa vile hii, hakuna mtu mwenye ameizungumza, hata vile nitaguzia utawauliza. Pension to be given toold people. Wale watu ambao hawajaandikwa na wameezeka, at least wawe wanapewa a small fraction kwa sababu hiyoinafanya watu wanakatalia uongozini. Akiingia hivi, hataki kutoka. Anafikiria nikitoka sasa nitafanya namna gani, how am Igoing to survive at home?Com. Bishop Njoroge: Asante sana.
- Page 32 and 33: 32Com. Lethome: Finally, finalize n
- Page 34 and 35: 34Two, Bwana Commissioner---Interje
- Page 36 and 37: 36tofauti baina ya hiyo na kumchagu
- Page 38 and 39: 38Peter Masinde: Kitu cha kwanza, a
- Page 40 and 41: 40Interjection. Com. Bishop Njoroge
- Page 42 and 43: 42kutegemea chama chochote cha kisi
- Page 44 and 45: 44Translator: And he kills the othe
- Page 46 and 47: 46Kiberenge: Nekhumanya khurio, khu
- Page 48 and 49: 48Douglas Masinde: I will start wit
- Page 50 and 51: 50number of people who head those i
- Page 52 and 53: 52Com. Bishop Njoroge: Thank you ve
- Page 54 and 55: 54Sylvester: I mean, the government
- Page 56 and 57: 56Com. Bishop Njoroge: Tupatie poin
- Page 58 and 59: 58Because when you go to hospitals,
- Page 60 and 61: 60and it them who will come out wit
- Page 62 and 63: 62mtu kutoa hata file hapo alete ha
- Page 64 and 65: 64yuko? Yuko pale? Alagalo Okinyi?
- Page 66 and 67: 66Okiding’: Yangu ndio hiyo tu.Co
- Page 68 and 69: 68to give your view. Musakhulu utak
- Page 70 and 71: 70Com. Lethome: Stanely Natembea? H
- Page 72 and 73: 72mukhachibonakho?Translator: Teach
- Page 74 and 75: 74Translator: Circumcision.Cllr. Pe
- Page 76 and 77: 76Cllr. Peter Mwanja: Efwe bandu ba
- Page 78 and 79: 78kuna junction mahali wanaenda wan
- Page 80 and 81: 80itself instead of taking the fund
- Page 84 and 85: 84Com. Lethome: Sasa unapendekeza i
- Page 86 and 87: 86Com. Lethome: Mzee akipiga mama a
- Page 88 and 89: 88wakubwa, wanaendelea kutuelimisha
- Page 90 and 91: 90Wakoli: Wekhale mungo ne masalao.
- Page 92 and 93: 92Com. Lethome: Bado hujamaliza. Un
- Page 94 and 95: 94Com. Bishop Njoroge: Thank you ve
- Page 96 and 97: 96established for the less fortunat
- Page 98 and 99: 98Ann Adhiambo: Yaani, anakunywa ha
- Page 100 and 101: 100Kenya, yeye hajui Mkikuyu, hajui
- Page 102 and 103: 102Johnstone Wabwire: Epoint yange
- Page 104 and 105: 104Translator: It is hardly directe
- Page 106 and 107: 106Translator: Then you will just g
- Page 108 and 109: 108Translator: this is an agricultu
- Page 110 and 111: 110Bungoma hatujasikia tena. Haya m
83Patrick Wanyonyi: Juu ya tribes. Hapa Kenya we are 42 tribes na kila tribe tungependa ichukue wadhifa wa urais. Si etikabila moja tu ndilo linakalia makabila mengine. Hapa nchini Kenya mnajua kabila ambayo tulianza nayo baada ya kunyakuauhuru. Halafu baada ya huyo, kuna yule mwenye alichukua. Na wakati huu, ningependa at least, zile mbili ambazo zimechukua,sizirudi huko, iende kwa kabila nyingine. Kwa sababu kwa kabila zingine, tuko na watu ambao wanaweza kutuongoza- aukama hawako sisi we are ready.Com. Bishop Njoroge: Yeah I know like you you can lead. Now can you come and register here.Patrick Wanyonyi: I have some views. Equal distribution <strong>of</strong> government resources. Tuangalie Kenya vile iko, tuko naprovinces nane lakini ukiangalia hapa Western, how many universities do we have?Com. Lethome: Unapendekeza nini?Patrick Wanyonyi: Ninapendekeza, tukiwa na 8 public universities in Kenya, Western iwe na moja, Central moja, Rift Valleymoja, Coast moja, Eastern moja, North Eastern moja ---Interjection. Com. Bishop Njoroge: Hiyo imetosha.Patrick wanyonyi: Lakini si ku-accumulate mahali pamoja.Com. Bishop Njoroge: Haya kuja ujiandikishe sasa tafadhali. Kuna watu wengine ambao—Patrick Wanyonyi: Sasa ile yenye ninaenda kuongea hata hawa hawataongea,Com. Bishop Njoroge: Sikia, you are becoming disorderly. You understand? This is a very serious thing. Ukiambiwaumalize, you are not going to take 20 minutes talking, there are others who want to talk. Can you give your last point?Patrick Wanyonyi: Kwa vile hii, hakuna mtu mwenye ameizungumza, hata vile nitaguzia utawauliza. Pension to be given toold people. Wale watu ambao hawajaandikwa na wameezeka, at least wawe wanapewa a small fraction kwa sababu hiyoinafanya watu wanakatalia uongozini. Akiingia hivi, hataki kutoka. Anafikiria nikitoka sasa nitafanya namna gani, how am Igoing to survive at home?Com. Bishop Njoroge: Asante sana.