constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitutionnet.org
from constitutionnet.org More from this publisher
12.07.2015 Views

82Com. Bishop Njoroge: Pendekezo lako ni gani?Patrick Wanyonyi: Pendekezo langu ni; ikiwa shamba liko mahali fulani wale watu wako hapo wapewe mashamba.Com. Bishop Njoroge: Sawa. Nenda kwa point nyingine.Patrick Wanyonyi: Point nyingine ni security. It should be highly observed by the government kwa vile utapata kamaNairobi, vijana wa Mungiki wamevamia watu wana-claim ya kwamba wametumwa na Mungu waje watahirishe watoto wa kikewote katika nchi yetu ya Kenya. Badala ya askari kwenda ku-control hiyo ili hao watoto wa kike wasitahirishe, utapata hapowanapanda ma-helicopters, ndege ati wanaenda Eritrea for peace keeping. What type of peace keeping will you be observingkama hapa kwenyewe nyumbani kwako, shida iko na unaacha shida nyumbani, unaenda Eritrea, unaenda Somalia, unaenda---Com. Bishop Njoroge: Kwa hivyo unasema, we outlaw all the groups that cause insecurity.Patrick Wanyonyi: Yes.Com. Bishop Njoroge: Okay fine. Another point.Patrick Wanyonyi: Juu ya beer, waliongea na sitaki kurudia. It should be at a reasonable price so that we deviate from illegalbrew. Or else, hii beer ikiwa juu, tutafanya aje na baada ya kazi- na vile mnaelewa, beer brings people together. Sasatutafanya aje? Hata kama mungeturuhusu tunakunywa hata hiyo chang’aa, unaweka kwa kabati, unafanya kazi yako, baada yakazi unarudi unakunywa kidogo, you relax.Com. Bishop Njoroge: Sawa. Tumeandika hiyo. Ya mwisho?Patrick Wanyonyi: Juu ya umri wa Rais: hata tukiona as per biology, mtu akipitisha over 55 years, tunaona senses zake,reasoning capacity inaanza ku-deteroriate lakini sisi President anafikisha century. Hata anafika mahali hajui chenye anafanya.Com. Bishop Njoroge: Kwa hivyo ungehitaji awe miaka ngapi ndio a-retire?Patrick Wanyonyi: Mimi kwa maoni yangu, ningependa Rais wa nchi aanzie 30 or 35 and not more than 55 years. Si kuonamtu wa 71 years ndio anataka Urais.Interjection. Com. Bishop Njoroge: Sasa wewe unatuambia hadithi. Tunataka tu points. Ya mwisho?

83Patrick Wanyonyi: Juu ya tribes. Hapa Kenya we are 42 tribes na kila tribe tungependa ichukue wadhifa wa urais. Si etikabila moja tu ndilo linakalia makabila mengine. Hapa nchini Kenya mnajua kabila ambayo tulianza nayo baada ya kunyakuauhuru. Halafu baada ya huyo, kuna yule mwenye alichukua. Na wakati huu, ningependa at least, zile mbili ambazo zimechukua,sizirudi huko, iende kwa kabila nyingine. Kwa sababu kwa kabila zingine, tuko na watu ambao wanaweza kutuongoza- aukama hawako sisi we are ready.Com. Bishop Njoroge: Yeah I know like you you can lead. Now can you come and register here.Patrick Wanyonyi: I have some views. Equal distribution of government resources. Tuangalie Kenya vile iko, tuko naprovinces nane lakini ukiangalia hapa Western, how many universities do we have?Com. Lethome: Unapendekeza nini?Patrick Wanyonyi: Ninapendekeza, tukiwa na 8 public universities in Kenya, Western iwe na moja, Central moja, Rift Valleymoja, Coast moja, Eastern moja, North Eastern moja ---Interjection. Com. Bishop Njoroge: Hiyo imetosha.Patrick wanyonyi: Lakini si ku-accumulate mahali pamoja.Com. Bishop Njoroge: Haya kuja ujiandikishe sasa tafadhali. Kuna watu wengine ambao—Patrick Wanyonyi: Sasa ile yenye ninaenda kuongea hata hawa hawataongea,Com. Bishop Njoroge: Sikia, you are becoming disorderly. You understand? This is a very serious thing. Ukiambiwaumalize, you are not going to take 20 minutes talking, there are others who want to talk. Can you give your last point?Patrick Wanyonyi: Kwa vile hii, hakuna mtu mwenye ameizungumza, hata vile nitaguzia utawauliza. Pension to be given toold people. Wale watu ambao hawajaandikwa na wameezeka, at least wawe wanapewa a small fraction kwa sababu hiyoinafanya watu wanakatalia uongozini. Akiingia hivi, hataki kutoka. Anafikiria nikitoka sasa nitafanya namna gani, how am Igoing to survive at home?Com. Bishop Njoroge: Asante sana.

82Com. Bishop Njoroge: Pendekezo lako ni gani?Patrick Wanyonyi: Pendekezo langu ni; ikiwa shamba liko mahali fulani wale watu wako hapo wapewe mashamba.Com. Bishop Njoroge: Sawa. Nenda kwa point nyingine.Patrick Wanyonyi: Point nyingine ni security. It should be highly observed by the government kwa vile utapata kamaNairobi, vijana wa Mungiki wamevamia watu wana-claim ya kwamba wametumwa na Mungu waje watahirishe watoto wa kikewote katika nchi yetu ya Kenya. Badala ya askari kwenda ku-control hiyo ili hao watoto wa kike wasitahirishe, utapata hapowanapanda ma-helicopters, ndege ati wanaenda Eritrea for peace keeping. What type <strong>of</strong> peace keeping will you be observingkama hapa kwenyewe nyumbani kwako, shida iko na unaacha shida nyumbani, unaenda Eritrea, unaenda Somalia, unaenda---Com. Bishop Njoroge: Kwa hivyo unasema, we outlaw all the groups that cause insecurity.Patrick Wanyonyi: Yes.Com. Bishop Njoroge: Okay fine. Another point.Patrick Wanyonyi: Juu ya beer, waliongea na sitaki kurudia. It should be at a reasonable price so that we deviate from illegalbrew. Or else, hii beer ikiwa juu, tutafanya aje na baada ya kazi- na vile mnaelewa, beer brings people together. Sasatutafanya aje? Hata kama mungeturuhusu tunakunywa hata hiyo chang’aa, unaweka kwa kabati, unafanya kazi yako, baada yakazi unarudi unakunywa kidogo, you relax.Com. Bishop Njoroge: Sawa. Tumeandika hiyo. Ya mwisho?Patrick Wanyonyi: Juu ya umri wa Rais: hata tukiona as per biology, mtu akipitisha over 55 years, tunaona senses zake,reasoning capacity inaanza ku-deteroriate lakini sisi President anafikisha century. Hata anafika mahali hajui chenye anafanya.Com. Bishop Njoroge: Kwa hivyo ungehitaji awe miaka ngapi ndio a-retire?Patrick Wanyonyi: Mimi kwa maoni yangu, ningependa Rais wa nchi aanzie 30 or 35 and not more than 55 years. Si kuonamtu wa 71 years ndio anataka Urais.Interjection. Com. Bishop Njoroge: Sasa wewe unatuambia hadithi. Tunataka tu points. Ya mwisho?

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!