12.07.2015 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

81leadership. You will find an MP representing 160, 000 members and another one representing five thousand only. He is aminister and somebody representing 160,000- mine, is to have equal representation.Com. Bishop Njoroge: You are saying equal representation. Can you go to the last point.Joseph Tumwa: My last point: I wish the current Constitution we are looking creates a clause by which any member <strong>of</strong>Parliament- if he goes to Parliament, he has to be ready at any time if he messes or if he does not represent people in a waylikely to bring peace or is unable, is to be called back so that we send somebody else or, wananchi tuwe na mandate yakumrudisha nyumbani na tuchague mtu mwingine.Com. Bishop Njoroge: Asante sana, njoo ujiandikishe. Nani mwingine nilisema? Patrick Wanyonyi.Patrick Wanyonyi: Asanteni sana. Ningependa kuongea juu ya Presidential powers. kwa majina ni Patrick WanjalaWanyonyi. I would like to talk about Presidential powers. ningependa Rais asiwe na uwezo mwingi zaidi wa ku-nominate 12MPs- hiyo itolewe. Halafu he creates so many ministries, anaanza kuchukua Ministers watano, Ministers watatu. There shouldbe not more that 20 ministries. There shoud be a manageable number <strong>of</strong> ministries so that the economy <strong>of</strong> the coutry will bewell balanced. The MP who has been nominated, should not be given a top seat. Wale ambao walikuwa na wananchi wakona hawapewi kile kiti kikubwa na wanachukua tu mtu kutoka huko kando wanamuweka. Hiyo ni kama kuaibisha the electedpeople as well as the voters who chose their representative.President asichague watu kama Head <strong>of</strong> Parastatals, Vice Chancellor, Company Secretaries, hiyo ndio inaleta mambo yaufisadi.Com. Bishop Njoroge: Ungetaka waandikwe na nani?Patrick Wanyonyi: Hawa watu inatakikana kama kwa kampuni kama hii- wanachukua tu mtu yule mwenye ako na uchuzi.Yule mtu, ambaye amesomea hiyo kazi na wanam-promote. Lakini si kuchukua mtu labda alikuwa mwana- jeshi nawanampeleka awe Agriculture Minister mahali.Com. Bishop Njoroge: Next point.Patrick Wanyonyi: Ndio munaona shida inapatika katika nchi yetu hii ya Kenya. Point nyingine ni juu ya mashamba.Unapata mashamba yako hapa ya serikali kama ADC. Badala ya kugawia squatters ambao wako hapo, wanaenda Central,wanaleta watu hapa, wanaenda Nyanza wanaleta watu hapa. Na kumbuka ya kwamba sisi watu ambao hatuna mashambahapa, hakuna mahali watatupeleka huko Central, hawatupeleki.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!