12.07.2015 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

78kuna junction mahali wanaenda wanakaa pale. Wanaangalia gari wanasema gari iko sawa kuliko utoke hapa 100m roadblockya askari. Ukisonga mmoja na piki piki pale, inafanya mpaka watu wanakaa kama wananchi ambao hawajui. Hiyo niku-encourage uhalifu. Kwa hivyo vitu vya barabara watoe. Ni hayo tu machache nilikuwa nayo.Com. Bishop Njoroge: Thank you very much Isaiah. Tupate Richard Wanyonyi? Daniel Libuka yuko?Richard Wanyonyi: Kwa majina mimi naitwa Richard Wanyonyi na nataka kuongea kuhusu ununuaji wa mashamba. Utapatamtu alinunua shamba mwaka wa sabini na wakati huu ni mwaka wa elfu mbili na mbili. Kubadilisha jina ni shida, ukienda kwa<strong>of</strong>fice, wenye wanahusikana wanataka hongo peke yake. Sasa katika Katiba yetu yenye tunarekebisha, inatakikanawatengeneze hayo maneno. Mtu akinunu shamba wabadilishe jina hapo hapo.Point ya pili ni kuhusu cases. Utapata kesi moja inamaliza miaka kumi kwa korti. Sasa hiyo Katiba ya wakati huu wafanyemarekebisho. Halafu point ya mwisho, utapata hapa kaidi akifanya makosa hapa Nandoria, anakimbilia Kitale kwa policestation ambapo ndugu yake anafanya huko kazi. Sasa anatafutwa hapa Nandoria na amekaa kwa police station huko. Sasaserikali inatakikana ifanye uchunguzi hapo kwa kitu kama hicho. Ni hayo tu kwa sasa.Com. Bishop Njoroge: Asante. Daniel Libuka? Kuja jiandikishe tafadhali. Makhokha yuko Christine? Utamfuata tafadhali.Daniel Libuka: Maoni yangu ni kuhusu hawa wananchi ambao kazi yao ni ya kiwango cha chini. Kuna wakati kwambatunaona hii taxation irudishwe chini. Kwa sababu unaona mama anapanda mboga, wakati tunapeleka kuuza mboga ya shillingishirini, wanamtax shilling ishirini. Atakuwa amepata faida au amepata loss? Sasa naona hawa watu wa county council, watoetaxation kwa wamama wa soko ndogo ndogo. Hii kupunguza umaskini- kuna watu wamesoma na serikali yenyewe haitakikupunguza umaskini. Inataka kama wewe uko juu uendelee kuwa juu. Kwa mfano, wewe umesoma, lakini kibarua ikipatikanakama kuandikisha kura, returning <strong>of</strong>ficer utapata inapewa mwalimu, inapewa mtu ametoka kwa <strong>of</strong>isi fulani, tena anaendakuandikisha vitu kama hivyo. Sasa tunataka wale watu hawafanyi kazi wapewe kibarua na serikali. Sio tena wachukuemwalimu ati ndiye returning <strong>of</strong>ficer, kwa nini na sisi hatuna kazi? Tuendelee kuwa namna hiyo?Kitu kingine ni kwamba kazi ya serikali ni kama viazi vya kila mtu- natural resources. Sasa ikiwa serikali haitataka watuwa-retire kwa miaka 40 na wengine wanazaliwa, wale wataendelea kuhudumu na hawa nao? Kwa hivyo serikali ipunguzemiaka mpaka 45 ndio hawa wengine nao wapate. Kuna watu wanafanya kazi wawili- kwa nyumba na wengine hawafanyi.Kwa hivyo tunataka kama serikali inaandika mtu mmoja kwa shirika, mwingine afutwe. In fact, tuwe na mtu mmoja anafanyakazi na mwingine hafanyi. Kama ni mwanamke afanye, mwanamume asifanye. Mwanamume akifanya mwanamke asifanye.Wacha nimalizie hapo.Com. Bishop Njoroge: Chispus Makhokha?

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!