12.07.2015 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

77Patrick Masibo: Secondly, when it comes to election of the Vice President. The vice President should be voted by wananchi.Thirdly, on the side of education, we should have a system whereby the government should take care of the students joining theuniversity. If they feel that within the country we don’t enough space, they should have room for students to be given educationin abroad. Fourthly, on the side of Judiciary, we should have mobile courts which should visit the places of either criminal orcivil cases- where they arise. On the side of Aids, we should have a system whereby all bars within the nation should bemanned by men and not ladies so that, we can curtail our disaster i.e. Aids. Since my fellow friends have views to say, could Iregister myself? Thank you very much Mr. Commissioner.Com. Bishop Njoroge: Moses Makasa? Umezungumza? Karibu. Isaiah Matindu yuko wapi? utamfuata. Na RichardWanyonyi? Utamfuata huyo mwingine.Moses Makhaso: Asante. Kwa majina mimi naitwa Moses Makhaso. Mimi sina maneno mengi Bwana chairman. Miminasema tu hivi; kwa upande wa masomo ya watoto wetu, yaani mtoto akishatoka form four, aingie form five, akishaingia formfive, aingie form six. Halafu baadaye, ndio aingie university. Hilo ni pendekezo langu la kwanza. Kwa upande waadministration, mtu kama sub-chief, hawa watu wapigiwe kura. Wananchi wenyewe wachague lakini wasiwe appointed yakwamba Assistant fulani amechaguliwa tu. Wananchi wawapigie kura. Suggestion yangu ni hiyo. Ya mwisho, ni upande wapolice. Naungana na mwenzangu mwenye alisema police warudishwe training, wachukue miaka miwili au mitatu hivi ndiotutakuwa na imani kwa police ambao wanatulinda sisi. Asante ni hayo tu.Com. Bishop Njoroge: Asante kwa hayo mapendekezo. Isaiah Matindu? Akifuatwa na Richard Wanyonyi.Isaiah Matindu: Asante sana mwenyekiti. Mimi kwa majina ni Isaiah Matindu Maunya. Vile ningependa kusema, kwanza nikuhusu Parliament. Wabunge wanapokaa katika Parliament kuanzia asubuhi hadi jioni, tunaambiwa baadaye saa tatu au saanne kwenye kipindi cha leo katika Bunge, kwamba imetafsiriwa na mtu fulani au fulani. Kwa hivyo, pendekezo langu lingekuwakwamba hawa Wabunge badala wanaenda huko wanakaa wanaongea, na hayo mambo yanatafsiriwa na mwingine, yaweyanarekodiwa. Kwa vile huo muda wanafanya uwe unarekodiwa halafu katika station ya KBC- tuna vipindi fulani nyingiambazo ninaona kama havina faida sana. Hicho kipindi cha Bunge ambacho kimerekodiwa kiwekwe pale ili tusikie Mbungemwenyewe akiongea. Kwa sababu wako wengi wanaenda kukaa huko tu, tunasikia tu Mbunge mmoja au Wabunge wawilikila siku wanaongea lakini wengine hawasikiki na mtu amekaa miaka mitano na hajui anasema nini.Jambo la pili ni kuhusu masomo. Masomo ya msingi, tafadhali yawe ya bure kwa sababu mtu kutoka darasa la kwanza mpakauniversity ni mzigo mkubwa kwa mzazi kwa dunia ya leo. Afadhali mtu aanze kulipa masomo ya shule ya upili kuelekea kulejuu. Na kwa upande wa askari, hata kuna tabia nyingine ambayo ninaona si ya kufuraisha. Kwa hivi vizuishi wanawekabarabara sijui kucheck nini. Ingelikuwa kama ni mahali kwa station fulani maaskari wanakaa pale, wanaangalia gari kwa mfano

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!