12.07.2015 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

70Com. Lethome: Stanely Natembea? Haya tembea.Stanley Natembea: Sibala sino,Translator: This countryStanely Natembea: Kamakhuwa kaamila sa atiti.Translatior: Things are just starting from a small place.Stanely Natembea: Khabeera bana bamalile sio.Traslator: They are killing people to the terminal end.Stanely Natembea: Khubeela sa kamakhuwa ka cha’ngaa.Translator: Just because <strong>of</strong> chang’aa.Stanely Natembea: Maaskari wamekuwa hatari. Let them be restrained or retrained.Com. Lethome: Wewe nyamaza sasa. Wewe endelea.Stanely Natembea: Wacha Wabukusu wawe huru, unajua mkiachilia chang’aa kwa nchi hii, watu wote watakuwa hai.Com. Lethome: Haya endelea. Kwa hivyo unapendekeza nini kuhusu chang’aa?Stanely Natembea: Napendenkeza mwaachilie hii kitu. Unajua kitu kikuwa huru hakuna mtu atakunywa.Com. Lethome: Hiyo itawachiliwa sasa. Endelea kitu kingine.Stanely Natembea: Kitu kingine, wacha tuseme hivi; Wabukusu ni watu wa kukaribisha watu, wamewaletea mambo na siasaimeingia. Mafupi yanasaidia. Wacha iwe mwiso hivyo. Sasa andika.Com. Lethome: Ukirudi pale sasa ukae kimya. Councillor sasa ingia. Njoo ujiandikishe.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!