constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitutionnet.org
from constitutionnet.org More from this publisher
12.07.2015 Views

66Okiding’: Yangu ndio hiyo tu.Com. Lethome: Asante. Nyinyi ndio mume-interupt, pengine alikuwa na nyingine mumefanya amesahau. David Baile?Karibu. Na Jafred Malumasi yuko? Utafuata huyu.David Baile: Kwa majina naitwa David Baile. Mimi naona serikali yetu hii, inataka kujifanyia. Ingekuwa vizuri sisi wenyewetuchague yule mtu tunataka si ati President atuchagulie mtu wa kupiga kura. La pili, ni upande wa mashamba. Serikaliimenyanyasa wenye wananunua mashamba- wanafanyia biashara. Ukinunua kwa pesa, wakiona ingine ati ni nyingi anachukuwahizo anatupa wewe nje. Na serikali itaandikisha shamba yako hiyo. Hiyo sheria kama hiyo hatutaki.Upande wa 8-4-4: zamani tulikuwa na class eight na tulikuwa tunalipa fees. Leo wanapandisha pesa hizi kwa sababu ya 8-4-4hiyo ilikuwa zamani lakini siku hizi, wamerudisha tu lakini ilikuweko kitambo. Sasa tunataka afadhali tuwe kama zamani; watuwalipe fees kama zamani kuliko kunyanyaswa. Upande wa matibabu: wanaleta madawa kutoka ng’ambo ya kutibu hapa nawanaweka kwa office ya President. President huyo ni daktari au yeye ndio analinda nchi yetu? Sasa hatutaki- madawa kamainakuja waweke kwa ministry for health wapatiane hayo madawa kwa mahospitali. Upande wa wafanyikazi: kwamapendekezo yangu nataka yule mtu amefika miaka hamsini, aachie hapo kuliko kuenda mpaka hamsini na tano na akiendanyumbani atakuwa amekwisha nguvu ya kufanya kazi kwa shamba. Zamani niliona serikali yetu ilikuwa na kitu kama yaincrement. Union inapigania wafanyikazi, inawapatia percentage fulani, halafu baadaye serikali nayo inawaongeza percentagefulani. Wakati huu vile Nyayo aliingia hakufanya kitu chochote cha percentage kwa watu wa industries.Com. Lethome: Sasa unapendekeza nini?Davil Baile: Hayo maneno ikose kuweko.Com. Lethome: Maneno gani ikose kuweko?David Baile: Yaani, kama kuna kupandisha percentages fulani, pia ipandishwe kwa watu wa industries kama watu wa SugarIndustries. Yangu ni machache na ni hayo tu.Com. Lethome: Haya asante sana “Omusakhulu”. Jafrey Malumasi, atafuatwa na Councillor Mwanja. Councillor yuko?Councillor utafuata.Jafrey Malumasi: Asante sana. Mimi naitwa jafrey Malumasi nafanya kazi hapa Nzoia kama Research Assistant.• Katika hali ya introduction ya hiyo Katiba yetu, should stress on patriotism, unity of nation by thought, tracing our roots

67as a nation and taking our, port of togetherness in restoration of broken structures.• Education of our people and the youth; we need to see the importance of taking new pathways, change in educationand learning school syllabus to broaden children’s mind in issue perception and by giving all-round knowledge byinvolving spiritual, mental and cultural values. Hiyo imekwisha.• Number four, Constitution amendment: Parliamentary increase from three vote to three quarter vote. Only coveringpolitical party operations as to numbers and mergers.• Citizenship: foreign husband to a Kenyan woman or a foreign wife to a Kenyan man, becomes a citizen if marriageprocedures say dowry paying or customary procedures are undertaken. A child born to a Kenyan and a foreignorshould become a Kenyan citizen. A citizen should have own entitlement and responsibilities as his abilities uphold him.A child born of one Kenyan parent should have through his own abilities, all entitlement and responsibilities.• Girls can inherit mothers’ or father’s estate and subject to customary laws. A child citizenship should have limitedentitlement under responsibities particularly in job applications decisions in public sector. If his profession is fruitful, hemay enter into private practice. Or on occasions, be employed in public services when- through his extensiveexperience in acquired profession, his will be required.• Dual citizenship be allowed.• Kenyans can have either national IDs or passports.• Political parties: as at now, there should not be a fixed number of parties until Kenyans learn and mature on thissubject. There should be no government funding of political parties except during general elections when Presidentialcampaign are government funded including provision of security.• Let us continue having a President, a system of electing a Prime Minister through Parliament by a majority party requirevery high level of maturity and responsibility and suitable in countries with little peace. We do not need this in Kenya.• Systems of government and national unity; Prime Minister can be provided for in Constitution, but be termed asoptional. Can be used by the Head of State to reconcile or harmonize the nation.• Majimbo system is necessary for equal distribution of national resources and protect interests of marginalizedcommunities.• Parliament: Parliamentary Committes to check track records and characters of personalities proposed by the Presidentfor top national posts. Public service Commissioner and Judicical Service---Interjection. Com Lethome: Mzee hebu ngoja kidogo. Musakhulu, tulia utakuja kuzungumza. You will come immediately

66Okiding’: Yangu ndio hiyo tu.Com. Lethome: Asante. Nyinyi ndio mume-interupt, pengine alikuwa na nyingine mumefanya amesahau. David Baile?Karibu. Na Jafred Malumasi yuko? Utafuata huyu.David Baile: Kwa majina naitwa David Baile. Mimi naona serikali yetu hii, inataka kujifanyia. Ingekuwa vizuri sisi wenyewetuchague yule mtu tunataka si ati President atuchagulie mtu wa kupiga kura. La pili, ni upande wa mashamba. Serikaliimenyanyasa wenye wananunua mashamba- wanafanyia biashara. Ukinunua kwa pesa, wakiona ingine ati ni nyingi anachukuwahizo anatupa wewe nje. Na serikali itaandikisha shamba yako hiyo. Hiyo sheria kama hiyo hatutaki.Upande wa 8-4-4: zamani tulikuwa na class eight na tulikuwa tunalipa fees. Leo wanapandisha pesa hizi kwa sababu ya 8-4-4hiyo ilikuwa zamani lakini siku hizi, wamerudisha tu lakini ilikuweko kitambo. Sasa tunataka afadhali tuwe kama zamani; watuwalipe fees kama zamani kuliko kunyanyaswa. Upande wa matibabu: wanaleta madawa kutoka ng’ambo ya kutibu hapa nawanaweka kwa <strong>of</strong>fice ya President. President huyo ni daktari au yeye ndio analinda nchi yetu? Sasa hatutaki- madawa kamainakuja waweke kwa ministry for health wapatiane hayo madawa kwa mahospitali. Upande wa wafanyikazi: kwamapendekezo yangu nataka yule mtu amefika miaka hamsini, aachie hapo kuliko kuenda mpaka hamsini na tano na akiendanyumbani atakuwa amekwisha nguvu ya kufanya kazi kwa shamba. Zamani niliona serikali yetu ilikuwa na kitu kama yaincrement. Union inapigania wafanyikazi, inawapatia percentage fulani, halafu baadaye serikali nayo inawaongeza percentagefulani. Wakati huu vile Nyayo aliingia hakufanya kitu chochote cha percentage kwa watu wa industries.Com. Lethome: Sasa unapendekeza nini?Davil Baile: Hayo maneno ikose kuweko.Com. Lethome: Maneno gani ikose kuweko?David Baile: Yaani, kama kuna kupandisha percentages fulani, pia ipandishwe kwa watu wa industries kama watu wa SugarIndustries. Yangu ni machache na ni hayo tu.Com. Lethome: Haya asante sana “Omusakhulu”. Jafrey Malumasi, atafuatwa na Councillor Mwanja. Councillor yuko?Councillor utafuata.Jafrey Malumasi: Asante sana. Mimi naitwa jafrey Malumasi nafanya kazi hapa Nzoia kama Research Assistant.• Katika hali ya introduction ya hiyo Katiba yetu, should stress on patriotism, unity <strong>of</strong> nation by thought, tracing our roots

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!