12.07.2015 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

65Com. Bishop Njoroge: Thank you very much Lewis. Tupate Angila Okinyi? OkidingiAngila Okiding’: Asante sana Bwana Chairman. Jina langu ni Anjela Okiding’. Kwanza naongea juu ya wabunge. Wabungewanatakikana wawekewe sheria. Wakati wanachaguliwa warudi nyumbani kila mwezi mahali walichaguliwa waje wachukuemashauri kwa raia halafu wapeleke bunge wazungumzie huko. Halafu, elimu ningeomba warudishe ule utaratibu ulikuwakozamani. Na hicho kidato cha tano na sita kirudishwe, iwe kwa line. Tena, kama President amechaguliwa, ningependekezamaneno ya kubadilisha pesa tena ili waweke picha ya kichwa cha kiongozi mpya, hiyo inasababisha kurudisha uchumi chini kwasababu gharama inakuwa kubwa- kubadilisha pesa kwa wakati mfupi mfupi.Com. Lethome: Picha ya nani iwekwe kwa pesa?Okiding’: Inatakikana tuchangie wananchi wote, kitu kile kinatakikana kuwekwa.Com. Lethome: Wewe unapendekeza kitu gani iwekwe hapo?Okiding’: Tunaweza kuchagua kama Mt. Kenya.Com. Lethome: Mt. Kenya, eheOkiding’: Au kitu kingine.Com. Lethome: Kama miwa hivi?Okiding’: Ndio sababu hiyo mimi nasema tuchangie. Wananchi wachangie kile kitu kinatakikana kuwekwa hapo. Kwaupande wa kujilinda; bado kunatakikana kuwekwe sheria zile za kushawishi vile vitu vinakatazwa kunyiwa kama pombe.Wanakubali tena pombe ile ya kigeni na wanakataza ile ya kienyeji. Sasa hiyo, wananchi hawasikii vizuri.Com. Lethome: Wewe unapendekeza nini kuhusu hizo pombe za kienyeji?Okiding: Pombe za kienyezi zingepatiwa tu namna ya kuzitumia; kwa masaa. Halafu, kwa <strong>of</strong>isi ikatazwe. Ukikuja kamaumelewa, hautafanya kazi. Ukirudia mara mbili, basi kazi iishe. Mtu atapata nafasi ya kujichunga yeye mwenyewe kulikokushikwa na kupelekwa huko na hawa askari nao wanarudi kuweka ushuru wao.Com. Lethome: Hiyo tumepata. Ingine?

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!