constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitutionnet.org
from constitutionnet.org More from this publisher
12.07.2015 Views

62mtu kutoa hata file hapo alete hapa kwa meza, ni pesa. Hiyo inaumiza raia zaidi. Mtu unampa pesa, kesho yake anapenduka,inaanza kuwa korti case.Kitu cha pili mimi napendekeza police hawajapata training ya kutosha. Wawe trained miaka miwili au zaidi na hiyo training ime(laughter)Com. Bishop Njoroge: Endelea. Nyinyi mnacheka mtamfanya asahau yale atayasema.Nicholas Lukutha: Wacha niendelee. Police hawafanyi kazi yao. Sijui walienda ku-train vitu vingine, na hii imefanya nchi hiiimepoteza revenue.Com. Bishop Njoroge: Kwa hivyo umesema police wawe waki-train miaka miwili na wale wako waende retraining- again?Nicholas Lukutha: Waende Kabisa. Point nyingine ni upande wa elimu. Tunaona kama nchi yetu, 8-4-4 imetupoteza.Unapata hata nchi jirani, mtoto amefika form four, kabla ya university anaenda form five and six. Irudi kama zamani.Com. Bishop Njoroge: Njoo hapa. Na hawa watu wanakupenda, wanacheka au wanakujua? Kuja ujiandikishe. Mnamjuahuyu?Response: NdioCom. Bishop Njoroge: ndio sababuEvan Karani: Nawashukuru kwa wakati huu kwa kikao cha leo, kimekuwa ni kwa wakati mzuri kwa watu ambao tuko hapalakini, sitakuwa na mapendekezo mengi sana kwa sababu --- oh poleni, majina yangu ni Evans Karani, naishi hapa Nzoia, mimini mmoja wa professional wenye hawana kazi- ni Engineering. Jambo ambalo nilikuwa ninaanzia- jambo ambalo nilikuwa nalola muhimu, mwenzangu ametoka tu ametajia kwa sababu tunaonelea kweli ya kwamba, education system yenye walituletea ya8-4-4 imeleta taabu. In fact, ndio imeleta umaskini mwingi katika Kenya yetu hii kwa sababu, unakuta education yenyetulikuwa nayo mwanzoni, tulikuwa na viwango kadhaa. Mtu alikuwa akitoka kwa Kenya junior anajua mahali anaendakujitafutia. Hiyo ilikuwa kama sieve, wengine wanasonga mbele. Wenye wanatoka form four wenye wamepata kama divisionthree, wanaenda for primary teachers training. Wengine wanapata nafasi wanaenda ‘A’ levels. At ‘A’ levels utapata wenginewanaenda kwa diploma na wengine wanaenda University. Sasa utakuta hizo viwango vyote vilikuwa vikisaidia sana kwasababu hao watu walikuwa na stages za kukatisha katisha. Sasa hii form four-kumwaga watu wote ati form four unashindwahawa watu wote wataenda wapi! Tunaona nchi yetu ikiendelea kusema kwamba inaongeza Universities. Unaongezauniversities nyingi, unapeleka watu huko, akishatoka university hana kazi, mtu ana tarmac ten years.

63Hata wakati huu tuko na mmoja hapa kwetu ambaye sasa amefanikiwa kuchukuliwa kama management trainee after being outfor ten years. Hii education mpya ndio imelete hii taabu yote. Hii ni kitu niliona nitasizitiza sana kwa wakati huu, na ningeombahii Commission ichukue jukumu kubwa kwamba kwa kweli education system ya zamani ilikuwa ni nzuri. Angalia vitu kamatechnical schools zenye tulikuwa nazo- mimi nilikuwa mmoja wao. Nilisomea Kisumu Technical. Hizo zilikuwa shule nzuri sanakwa sababu ziliwezesha kila mtu na kila mtoto wa mtu yeyote angeweza kuingia. Wakati huu vile waliweka ati polytechnickuwa training institutes, hizo zimebaki luxury institutions. Unakuta kuwa yule mwenye anaenda ku-manage huko ni mtoto watajiri.Mimi kwa kweli nilitoka katika familia ambayo haingejiweza lakini kwa ajili ilikuwa shule, Mungu alifanya nikaenda huko naninashakuru hata wakati huu hata kama sina kazi. Lakini kwa wakati mwingine naweza kupata kibarua kidogo kidogo. Sasaningependekeza pia kwa line hiyo ya technical education; kama wameonelea wamebadilisha viwango kuwa training instituteziwe hivyo, lakini wajaribu tena wa-introduce technical schools ambazo mtu akitoka standard eight, ataweza kuingi pia asome,afanye mtihani wake wa form four apate at least some knowledge in technical education basically. Ndio akienda interviewskama hizi pia, naye anawezafanya na (inaudible) akiwa na background ya technical education. Itakuwa ni jambo la maana sana.Jambo ambalo ningeweza kuongea kidogo- kuna mwenzangu mmoja alikuja akaongea kuhusu foreign investors. Kwa kweliunaweza kukuta wachache, especially Asian community, wanatu-frustrate sana. I can may be name one in our Westernprovince here, whereby we go there in the capacity of a contractor, so you find that you are supposed to may be, supplymanapower. Na unakuta may be there are skilled manpower. They want to pay you per the contract which is applying- maybe 225 per 8 hours. Lets say around 69 shillings per hour. So you find that you are now paying the person you have recruitedmay be 30 shillings. You are remaining with only 29 shilling as the contract per hour, out of which, may be the supervisor of thesection wants you to give him something small and may the boss of that section also wants you to give him something small, he isinsisting you use your own tool box! Now, you have also hired a toolbox from outside if you don’t have one. You are payingfor the toolbox. So you pay for the toolbox outside- now you have nothing left. I think even in our present Costitution- if I amnot very much wrong- I don’t think it is in order for one to use his own tools in such a situation.You are doing for somebody a job and then he doesn’t pay an allowance for your job. But you find that you are now beingexploited, you are forced to bring a toolbox, if you don’t have, you lose that chance and you are not paid even a shilling foryour tools and you are being underpaid for the services you are rendering. So, I wanted at least ----(inaudible) I even seefactory act- in every factory ------(inaudible). Something should be done on that thing epecially on the side of tools. If you useyour tools, they should at least pay for it. I think that is very important. Thank you very much.Com. Bishop Njoroge: Thank you Mr. Karani for your recommendation on employment. Moses Wanyonyi? Lewis Alumasi

62mtu kutoa hata file hapo alete hapa kwa meza, ni pesa. Hiyo inaumiza raia zaidi. Mtu unampa pesa, kesho yake anapenduka,inaanza kuwa korti case.Kitu cha pili mimi napendekeza police hawajapata training ya kutosha. Wawe trained miaka miwili au zaidi na hiyo training ime(laughter)Com. Bishop Njoroge: Endelea. Nyinyi mnacheka mtamfanya asahau yale atayasema.Nicholas Lukutha: Wacha niendelee. Police hawafanyi kazi yao. Sijui walienda ku-train vitu vingine, na hii imefanya nchi hiiimepoteza revenue.Com. Bishop Njoroge: Kwa hivyo umesema police wawe waki-train miaka miwili na wale wako waende retraining- again?Nicholas Lukutha: Waende Kabisa. Point nyingine ni upande wa elimu. Tunaona kama nchi yetu, 8-4-4 imetupoteza.Unapata hata nchi jirani, mtoto amefika form four, kabla ya university anaenda form five and six. Irudi kama zamani.Com. Bishop Njoroge: Njoo hapa. Na hawa watu wanakupenda, wanacheka au wanakujua? Kuja ujiandikishe. Mnamjuahuyu?Response: NdioCom. Bishop Njoroge: ndio sababuEvan Karani: Nawashukuru kwa wakati huu kwa kikao cha leo, kimekuwa ni kwa wakati mzuri kwa watu ambao tuko hapalakini, sitakuwa na mapendekezo mengi sana kwa sababu --- oh poleni, majina yangu ni Evans Karani, naishi hapa Nzoia, mimini mmoja wa pr<strong>of</strong>essional wenye hawana kazi- ni Engineering. Jambo ambalo nilikuwa ninaanzia- jambo ambalo nilikuwa nalola muhimu, mwenzangu ametoka tu ametajia kwa sababu tunaonelea kweli ya kwamba, education system yenye walituletea ya8-4-4 imeleta taabu. In fact, ndio imeleta umaskini mwingi katika Kenya yetu hii kwa sababu, unakuta education yenyetulikuwa nayo mwanzoni, tulikuwa na viwango kadhaa. Mtu alikuwa akitoka kwa Kenya junior anajua mahali anaendakujitafutia. Hiyo ilikuwa kama sieve, wengine wanasonga mbele. Wenye wanatoka form four wenye wamepata kama divisionthree, wanaenda for primary teachers training. Wengine wanapata nafasi wanaenda ‘A’ levels. At ‘A’ levels utapata wenginewanaenda kwa diploma na wengine wanaenda University. Sasa utakuta hizo viwango vyote vilikuwa vikisaidia sana kwasababu hao watu walikuwa na stages za kukatisha katisha. Sasa hii form four-kumwaga watu wote ati form four unashindwahawa watu wote wataenda wapi! Tunaona nchi yetu ikiendelea kusema kwamba inaongeza Universities. Unaongezauniversities nyingi, unapeleka watu huko, akishatoka university hana kazi, mtu ana tarmac ten years.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!