constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitutionnet.org
from constitutionnet.org More from this publisher
12.07.2015 Views

54Sylvester: I mean, the government should at least acquire a way of avoiding this disease so that people may acquire someknowledge on how to defeat or avoid the disease.Com. Bishop Njoroge: Are you saying that the government must have a knowledge of HIV in order to prevent it, or are yousaying the governent must take steps to make sure that people do not live in a way, they will be infected?Sylvester Wamalwa: There you are.Com. Bishop Njoroge: Last point.Sylverster Wamalwa: As far as the law courts are concerned, the delay of the ruling of the cases in courts, you find thatjudges are not disciplined in their ruling; they are not impartial. Therefore, I have proposed that the judges shouldn’t be partialin their ruling because this participating promotes corruption. Also at the divisional level criminal cases whereby the Inspectorof police and the DO office- they don’t follow their ruling. Therefore, I feel that the DO and the wazees should have a changein their ruling of cases especially land cases.Com. Bishop Njoroge: Thank you very much. Can we have Jimmy Ngoli.Jimmy Ngoli: My names are Jimmy Ele Ngoli, nyumbani ni mjini Bokholi. Ninafuraha siku ya leo kwa sababu Munguameniwezesha nimekutana na wenzangu hapa, kuna chairman na wananchi wa kijiji---Interjection. Com. Bishop Njoroge: Sikia, sikia. Sema maoni yako.Jimmy Ngoni: Maoni yangu siku ya leo ningalipenda kuongea freely, sitaongea kwa sababu nimeona magari au sitaongea kwasababu nataka kuongea au sitaongea kwa sababu tumesema---Interjection. Com. Bishop Njoroge: Excuse me. Listen. Vile tumekuja hapa, hakuna- katika sheria ambayo imetuwekaimesema; hakuna mtu atadhulimiwa kwa yale atakayoyasema hapa. Hata kama DO yuko, hata kama Chief yuko, hata kamaSub-chief yuko. Kwa hivyo usiogope. Kwenda kwa memorandum, tupatie maneno, kuna watu wengi wanataka kuzungumza.Jimmy Ngoni: Moja kwa moja, asante sana bwana chairman ningalipenda kuzungumzia maoni yafuatayo. Upande waProvincial administration, Chief, Sub-chief au DC ati achaguliwe na raia isifanywe hata siku moja. Kwa mfano mtu kamasub-chief au chief, utasema “kumbe nilikupigia kura bure, kumbe ningalipigia mtu mwingine kura”.

55Com. Bishop Njoroge: Tumepata hiyo.Jimmy Ngoni: Point nyingine ni vinywaji na vyakula; tuwe free upande wa vinywaji hasa, vinywaji vile vinatatiza sana nasematusiruhusiwe. Kama tukunywe chang’aa, tukunywe busaa na tuvute bangi- sitaki kusema turuhusiwe. Shida ni kwamba, hataserikali ya Kenyatta ilikaa chini ikaona hawa watu waruhusiwe au wasiruhusiwe. Ikaona kwamba inatatiza na mimi natakakusema kwamba, shida ni sisi raia wenyewe- turuhusiwe au tusiruhusiwe, shida ni sisi raia wenyewe.Com. Bishop Njoroge: Unazungumzia raia au ni maoni unatoa?Jimmy Ngoni: Ni maoni ninatoa.Com. Bishop Njoroge: Unataka iruhusiwe, iwe legalized au hutaki?Jimmy Ngoni: Ninataka busaa iruhusiwe au isiruhusiwe. Wacha sasa nifafanue. Kuna hawa watu wanaharibia walewanakunywa busaa. Kuna watu wale wanakunywa na wanaenda nyumbani, kunakuwa na amani---Interjection. Com. Bishop Njoroge: Sikia; hii ni Katiba tunatengeneza. Mambo ni mawili; either useme, “ningetaka busaaiwe legalized au singependa iwe legalized”. Usituambie kuna wengine wanakunywa kidogo, kuna wengine wanakunywa nyingi,hilo sio pendekezao. Unataka nini?Jimmy Ngoni: Kwa hivyo, busaa na chang’aa ziwe legalized. Bangi peke yake ndio isiwe legalized. Yule ambaye atavunjasheria ndiye atapatwa yeye mwenyewe, lakini busaa na chang’aa ziwe legalized. Holiday coaching, mambo ya holidaycoaching isiweze kukubaliwa hata siku moja. Mtoto ataweza kuenda shuleni a whole term akae vizuri, asome kwa bidii,ajiandae kwa mtihani afanye afaulu, ifike wakati wa kufunga muhula. Mtoto anapewa report, ame-perform well na anaambiwayou go home for holiday coaching fees, “hatutaki watoto mfunge, mnabaki hapa”.Com. Bishop Njoroge: Point nyingine?Jimmy Ngoni: Na hiyo inafanya---Com. Bishop Njoroge: Ban holiday coaching.Jimmy Ngoli: Tungalipenda serikali yetu ya Kenya, iweze ku-provide land for own working individuals ili wawezekujiwezesha katika maisha yao. Hiyo ni njia moja ya kupunguza umaskini. Freedom of worhip iwe legalized isipokuwa tu,hawa watu wa devil worhip. Devil worshippers ni mchezo.

55Com. Bishop Njoroge: Tumepata hiyo.Jimmy Ngoni: Point nyingine ni vinywaji na vyakula; tuwe free upande wa vinywaji hasa, vinywaji vile vinatatiza sana nasematusiruhusiwe. Kama tukunywe chang’aa, tukunywe busaa na tuvute bangi- sitaki kusema turuhusiwe. Shida ni kwamba, hataserikali ya Kenyatta ilikaa chini ikaona hawa watu waruhusiwe au wasiruhusiwe. Ikaona kwamba inatatiza na mimi natakakusema kwamba, shida ni sisi raia wenyewe- turuhusiwe au tusiruhusiwe, shida ni sisi raia wenyewe.Com. Bishop Njoroge: Unazungumzia raia au ni maoni unatoa?Jimmy Ngoni: Ni maoni ninatoa.Com. Bishop Njoroge: Unataka iruhusiwe, iwe legalized au hutaki?Jimmy Ngoni: Ninataka busaa iruhusiwe au isiruhusiwe. Wacha sasa nifafanue. Kuna hawa watu wanaharibia walewanakunywa busaa. Kuna watu wale wanakunywa na wanaenda nyumbani, kunakuwa na amani---Interjection. Com. Bishop Njoroge: Sikia; hii ni Katiba tunatengeneza. Mambo ni mawili; either useme, “ningetaka busaaiwe legalized au singependa iwe legalized”. Usituambie kuna wengine wanakunywa kidogo, kuna wengine wanakunywa nyingi,hilo sio pendekezao. Unataka nini?Jimmy Ngoni: Kwa hivyo, busaa na chang’aa ziwe legalized. Bangi peke yake ndio isiwe legalized. Yule ambaye atavunjasheria ndiye atapatwa yeye mwenyewe, lakini busaa na chang’aa ziwe legalized. Holiday coaching, mambo ya holidaycoaching isiweze kukubaliwa hata siku moja. Mtoto ataweza kuenda shuleni a whole term akae vizuri, asome kwa bidii,ajiandae kwa mtihani afanye afaulu, ifike wakati wa kufunga muhula. Mtoto anapewa report, ame-perform well na anaambiwayou go home for holiday coaching fees, “hatutaki watoto mfunge, mnabaki hapa”.Com. Bishop Njoroge: Point nyingine?Jimmy Ngoni: Na hiyo inafanya---Com. Bishop Njoroge: Ban holiday coaching.Jimmy Ngoli: Tungalipenda serikali yetu ya Kenya, iweze ku-provide land for own working individuals ili wawezekujiwezesha katika maisha yao. Hiyo ni njia moja ya kupunguza umaskini. Freedom <strong>of</strong> worhip iwe legalized isipokuwa tu,hawa watu wa devil worhip. Devil worshippers ni mchezo.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!