12.07.2015 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

42kutegemea chama chochote cha kisiasa. Jambo lingine ningeweza kuguzia hasa ni employement ambayo ni shida katika nchiyetu hii ya Kenya. Ninapendekeza ya kwamba, wale ambao wanasimamia parastatal bodies kama Kenya Breweries, kamaKenya Pipeline, hawa watu waitwe kwa interview watoe makaratasi yao ya elimu na kadhalika. Lakini isiwe mtindo mtummoja kuweza kumteua mtu fulani na anaenda kusimamia kazi muhimu kama hii. Na hali kadhalika, mtu kama PermanentSecretary kwa sababu anasimamia wizara mzima, aende kwa interview ili akaweze kuthibitisha ya kwamba anaiweza hiyo kazindipo akaweza kuchukuliwa. Na hali kadhalika PC, DC na DOs kama vile Assistant Chiefs na chiefs huwa wanafanyainterview.Na ningependekeza tena ya kwamba wale ambao wanaenda for recruitment kama Kenya police, kama Army, Administrationpolice na colleges zingine, majina yao yawe yanawekwa kwa noticeboard kwa kila division ili Wa<strong>kenya</strong> waweze kuelewa niakina nani na nani walienda katika pahali fulani. Hii itaweze kufanya watu wakaweze kutosheka ikiwa kuna kazi au hakuna kwasababu watu wengi wamekuwa wakilalamika ya kwamba watu wengine wanapata kazi na wengine hawapati. Majina kamahayo kwa divisional headquarters yataonyesha jina lake, wilaya anayotoka, division yake, sublocation na kijiji na hiyo kwahakika, itaweza kusaidia kama itawekwa kama sheria.Halafu kwa sababu ya shida ya kazi katika nchi hii yetu ya Kenya, napendekeza ya kwamba mtu mmoja awe na kazi moja.Tusiwe na mtu ameshikilia vyeo mbali mbali na huku kuna wale ambao wanatoka universities, wanatoka colleges na hawanakazi yoyote. Na hali kadhalika wale ambao wanastaafu, wasipewe kazi kwa maana wao waliweza nafasi wakafanya kazi zao,wakastaafu na itakuwa ni vibaya kwa mfano mtu alikuwa PS amestaafu sasa sijui yeye ni Chairman wa Kenya Pipeline nakadhalika. Mtu huyo aende nyumbani kabisa kwa sababu alipewa nafasi yake. Ningependekeza tena ya kwamba, mishaharaya wafanyi kazi wa sehemu mbali mbali, tuwe na permanent committee ambayo itakuwa inashughulikia mishahara kila sehemuna kila pahali. Hii itafanya kuwe na haja ya kuongeza mishahara bila mapendeleo yoyote, hali ambayo ni kinyume kabisa nawakati wa sasa ambapo kila mtu analia, kila kikundi cha watu kinalia “tuongozee” na migomo pia itapunguzwa kwa sababututakuwa tunategemea committee kama hiyo kutupatia nyongesa na nyongesa, ambayo haina upaguzi wowote. Kwa hayoningesema mbarikiwe sana.Com. Bishop Njoroge: Thank you very much Jafred, those are very interesting points. Can we have charles Masika? Canwe have Lukas Kiberenge? Na atafuatwa na Evans Okumu. Twaambie jina lako.Lukas Kiberenge: Ese seLucas Kiberenge.Translator: My names are Lukas Kiberenge.Lukas Kiberenge: Se ndaloma lubukusu.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!