constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitutionnet.org
from constitutionnet.org More from this publisher
12.07.2015 Views

38Peter Masinde: Kitu cha kwanza, au mashauri yangu au maoni yangu, nimeona katika nchi yetu hii kuna hongo au rushwaimeendelea sana. Hata mkisema nini ingali inaendelea zaidi. Afadhali ikome na kupinga watu kwa haki yao- wanapingwa tumtuanapingwa kwa haki yake tu. Anaambiwa “wewe kwenda”, ananyimwa haki yake. Imalizwe hiyo kwa sababu haki nahukumu ziko na zitengenezwe vizuri kwa utaratibu. Kitu kingine, serikali yetu au viongozi wa utawala kuchanganya uongo naukweli, ikome. Kitu kingine ambacho ninaona kinakosekana zaidi, hata kwa kijana, mtoto, mzazi ni heshima. Tunaona haiko.Iimarishwe.Ninaona nchi yetu iko na makabila arobaini na mbili. Na vile inaongozwa chini ya Katiba ya Kenya, sioni ni shida gani inawezakutokea. Ikiwa kila kabila inaweza kutoa mtu wao kama kiongozi kuweza kuwawakilisha hata kwa Parliament. Hatawakichagua Minister au nani, lakini huyo mtu anaenda kuwakilisha jamii yao. Anajua mambo yote ya nyumbani bila yakupeleka mtu mwingine angaike huko. Kitu kingine, tufautishe vile Mungu aliweka binadamu- maumbilie. Mwanamume namwanamke wakisimama hapa watolewe nguo, tofauti iko. Kwa hivyo kufuatana na maumbile ya Mungu, Mungu alitakawanaume wapende wanawake wao na wanawake watii waume wao. Watoto wote vijana waheshimu wazazi wao. Na hayomambo naona- mambo hayo yanaanzia kwa makanisa, mpaka yanaendelea lakini naona hayaimarishwi, bado inatushinda sisi.Kwa hivyo tunafananisha vitu vya mbinguni na vitu vya duniani. Tutofautishe. Vitu vilivyo kwa mamlaka ya Mungu ni vyamamla ya Mungu. Lakini vya hapa duniani, ni vya dunia hapa, kwa sababu tunaona wamelinganisha mwanamke namwanamume kuwa sawa na Mungu ametofautisha hata maumbile.Com. Bishop Njoroge: Thank you very much. Njoo ujiandikishe hapa. Wanaume ni tofauti na akina mama, lakini nafikiri kilammoja wao ana haki zake. Tupate Cleophas Muhande. Cleophas? Ni wewe? Hapana. Nimesema Muhande. Okay kujawewe mzee, sio wewe- huyu.Immanuel Khisa: Mimi naitwa Immanuel Khisa. Neno langu la kwanza nitaongea kwa upande wa walemavu; sisi walemavuhapa Kenya tumesahauliwa sana kwa sababu unaweza enda kwa mkubwa kama kwa DC huko Bungoma, unaongea na yeyeanakwambia ufanye hivi na vile na siku ya- kama leo nimesikia nyingine unasikia wametoa shillingi millioni kumi na tisa.Unaenda huko unakuta jina lako liko kwa mlango wa DC na siku ya kupewa vitu, wanapewa watu watatu na wewewanakuambia hapana. Ati wewe ngojea “tutaenda kuuliza mzee”. Sasa mimi nashindwa kwamba yaani mzee hakujua watuwengine wako na wewe ndiye uliandikisha jina lako. Mimi ni mmoja wao si ati nasema uongo. Ndio sababu mimi nasemaserikali ya Kenya, hata ingawa sisi hatujulikani lakini, mjaribu kutusaidia kwa maana wanatangaza ati wanasaidia walemavu nasiku ya kutusaidia hainokeni.Com. Bishop Njoroge: move forward, tumepata hiyo.Immanuel Khisa: Okay. Nambari mbili ni upande wa korti. Unaweza kuwa na kesi, halafu ukienda kortini wanakuambia

39urudi kesho. Kesho hiyo ikifika, wanakuambia mpaka tarehe kumi na tisa mwezi ujao. Uende mpaka umalize miaka miwili nampaka pesa inaisha na hawajui wewe unatoka wapi. Hiyo mimi nasema ni afadhali serikali ya Kenya irekebishe hiyo sheria iwemzuri.Number tatu, nitaongea kama Mzee John Macharia ya kwamba, wamama wafanyibiashara- ninaona watu wa County Councilwanakuja leo wanaambia mama “mimi natoka Webuye”. Anamptia pesa. Kesho yake utaona mwingine amesimama hapa ati“mimi natoka Bungoma”. Sasa mimi ninaomba ya kwamba ikiwa inawezekenana mtengeneze sheria nzuri. Mseme siku fulani,tunakuja kuchukua pesa. Mama huyo akitoa pesa, anajua tu mpaka tarehe fulani tena watakuja. Sina maneno mengine, Munguawabariki.Com. Lethome: Ngoja mzee Khisa, kuna kitu kimoja nataka kukuuliza. Kwa mfano, tunajua mambo ya Wakenya (inaudible)Wabunge. Si ndio? Je, ungependa kuwe na wawaakilishi wa watu walemavu Bunge ambao wanatetea mambo yao au unaonaMbunge wako anatosha tu kukutetea.Immanuel Khisa: Tunataka tuwe na mtu wa kutetea walemavu.Com. Lethome: Na yeye awe ni mlemavu pia ama?Immanuel Khisa: Awe mlemavu ndio awatetee vizuri.Com. Bishop Njoroge: Hebu nikuulize, tunajua walemavu wana shida nyingi. Habari ya masomo ya watoto wao, ungelihitajiyawe bure ili waweze kusoma pia?Immanuel Khisa: Ningependa serikali ya Kenya tena, isaidie watoto wa walemavu wasome bure.Com. Bishop Njoroge: Asante sana. Tupate Samson Adera. Samson Adera?Antony Adera: I want to honour the presence of all those who are here more so in this important occasion, I am having mypersonal views which I would like to air out ---Com. Lethome: Your names?Antony Adera: I’m Antony Adera, I am having some views I would like to air, more so for our representatives of the peoplewho are here to take high note of them. I am having two or three points here. I want to talk about corruption and this one, Iwant you to take high note of it more so, when we are talking about it---

38Peter Masinde: Kitu cha kwanza, au mashauri yangu au maoni yangu, nimeona katika nchi yetu hii kuna hongo au rushwaimeendelea sana. Hata mkisema nini ingali inaendelea zaidi. Afadhali ikome na kupinga watu kwa haki yao- wanapingwa tumtuanapingwa kwa haki yake tu. Anaambiwa “wewe kwenda”, ananyimwa haki yake. Imalizwe hiyo kwa sababu haki nahukumu ziko na zitengenezwe vizuri kwa utaratibu. Kitu kingine, serikali yetu au viongozi wa utawala kuchanganya uongo naukweli, ikome. Kitu kingine ambacho ninaona kinakosekana zaidi, hata kwa kijana, mtoto, mzazi ni heshima. Tunaona haiko.Iimarishwe.Ninaona nchi yetu iko na makabila arobaini na mbili. Na vile inaongozwa chini ya Katiba ya Kenya, sioni ni shida gani inawezakutokea. Ikiwa kila kabila inaweza kutoa mtu wao kama kiongozi kuweza kuwawakilisha hata kwa Parliament. Hatawakichagua Minister au nani, lakini huyo mtu anaenda kuwakilisha jamii yao. Anajua mambo yote ya nyumbani bila yakupeleka mtu mwingine angaike huko. Kitu kingine, tufautishe vile Mungu aliweka binadamu- maumbilie. Mwanamume namwanamke wakisimama hapa watolewe nguo, t<strong>of</strong>auti iko. Kwa hivyo kufuatana na maumbile ya Mungu, Mungu alitakawanaume wapende wanawake wao na wanawake watii waume wao. Watoto wote vijana waheshimu wazazi wao. Na hayomambo naona- mambo hayo yanaanzia kwa makanisa, mpaka yanaendelea lakini naona hayaimarishwi, bado inatushinda sisi.Kwa hivyo tunafananisha vitu vya mbinguni na vitu vya duniani. Tut<strong>of</strong>autishe. Vitu vilivyo kwa mamlaka ya Mungu ni vyamamla ya Mungu. Lakini vya hapa duniani, ni vya dunia hapa, kwa sababu tunaona wamelinganisha mwanamke namwanamume kuwa sawa na Mungu amet<strong>of</strong>autisha hata maumbile.Com. Bishop Njoroge: Thank you very much. Njoo ujiandikishe hapa. Wanaume ni t<strong>of</strong>auti na akina mama, lakini nafikiri kilammoja wao ana haki zake. Tupate Cleophas Muhande. Cleophas? Ni wewe? Hapana. Nimesema Muhande. Okay kujawewe mzee, sio wewe- huyu.Immanuel Khisa: Mimi naitwa Immanuel Khisa. Neno langu la kwanza nitaongea kwa upande wa walemavu; sisi walemavuhapa Kenya tumesahauliwa sana kwa sababu unaweza enda kwa mkubwa kama kwa DC huko Bungoma, unaongea na yeyeanakwambia ufanye hivi na vile na siku ya- kama leo nimesikia nyingine unasikia wametoa shillingi millioni kumi na tisa.Unaenda huko unakuta jina lako liko kwa mlango wa DC na siku ya kupewa vitu, wanapewa watu watatu na wewewanakuambia hapana. Ati wewe ngojea “tutaenda kuuliza mzee”. Sasa mimi nashindwa kwamba yaani mzee hakujua watuwengine wako na wewe ndiye uliandikisha jina lako. Mimi ni mmoja wao si ati nasema uongo. Ndio sababu mimi nasemaserikali ya Kenya, hata ingawa sisi hatujulikani lakini, mjaribu kutusaidia kwa maana wanatangaza ati wanasaidia walemavu nasiku ya kutusaidia hainokeni.Com. Bishop Njoroge: move forward, tumepata hiyo.Immanuel Khisa: Okay. Nambari mbili ni upande wa korti. Unaweza kuwa na kesi, halafu ukienda kortini wanakuambia

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!