12.07.2015 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

37nyumbani kwa sababu hiyo ni kileo. Hatuwezi kuwa na ujanja ati pombe fulani ni nzuri, pombe fulani ni mbaya. Inapatiapolice- hata assistant Chief ako hapa- askari wake sasa wakienda msako, si ndio yule. Kama wanaenda msako wakushike nachang’aa, uhakikishe utakuwa na shilling elfu tatu kusudi, Bukusu wanakataa kwenda kortini. Afadhali hata akuachie bibiatororoke badala ya kwenda kortini. Kwa hivyo, watu wa hapa wanaumia ya kutosha. Police wamepata nafasi kwa sababuati hii pombe imekuwa si halali --kila jioni, kila asubuhi, unaona wawili wawili wamama wanahangaishwa.Com. Bishop Njoroge: Hiyo ungependekeza kwamba busaa ifanywe kuwa halali?John Kamau: Iwe huru kama Uganda. Hata chang’aa inapikwa kwa soko.Com. Bishop Njoroge: Haya, kwenda kwa nyingine.John Kamau: Sasa ya mwisho, tungependelea au ningependa katika wale wazee ambao wanawakilisha kule kijijini, Wakasapia wapewe elimu. Kwa sababu, kuna wengine wanapewa hicho cheo lakini hawawezi kutekeleza. Anatumia kwa kupendeleana ule upendeleo wakati mwingine unaweza kufunga yeye kwa sababu anafanya uamuzi ule usio wa haki. Kwa hivyo tuwe nawatu wa aina hiyo na kama uamuzi unaamuliwa, ningeomba Assistant Chief awe karibu hapo wakati kesi yeyote inaamuliwakwa area yake. Isiamuliwe na mimi kama Mukasa ninakaa kiti na niamue kufinya yule ambaye hana nguvu. Tena ile pesainadaiwa wakati unafanyiwa kesi yako, mimi ningesema iondolowe isikuweko. Kwa sababu kama wewe utato mia mbili namwingine atoe mia nne ndiye atakuwa mshindi kwa hayo maneno. Yangu ni hayo.Com. Bishop Njoroge: Thank you very much Bwana Macharia. Peter Masinde na afuatwe na Procus Muhande. PeterMasinde yuko?Peter Masinde: Ninawasalimu kwa jina la Yesu, mimi ni mmoja wa wahubiri na nimekuja hapa siku ya leo. Kwa majina niRev. Peter Masinde na natoka hapa Njoya, Kanduyi area. Ninawashauri viongozi wetu au watawala wetu, nikiwa ndani yaviongozi wote wa makanisa, wa dini t<strong>of</strong>auti t<strong>of</strong>auti. Tunalaumiana sisi bure katika nchi yetu ya Kenya tukiwacha kumtegemeaMungu. Hapa sisi sote tumekaa hivi naona hakuna asiye Mkristo.Com. Lethome: Mimi ni Muislamu.Peter Masinde: Ndio, wewe ni Muislamu, wewe ni mtu wa Mungu, wewe ni muamini wa Mungu. Kwa hivyo ninaonaMungu ametupa sisi mawaidha mazuri sana Ki Koran na Biblia na tunaona serikali yetu zaidi ni serikali ambayo inapokeamaombi sana kutoa kwa watu wa kanisa au watu wa dini.Com. Bishop Njoroge: Mzee, tunataka utuambie mapendekezo ni nini. Usituambie yale maneno tunayoyajua.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!