12.07.2015 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

36t<strong>of</strong>auti baina ya hiyo na kumchagua au unasemaje?Haggai Liboi: Ikiwa ni kupendekeza kwake, iko sawa tu.Com. Bishop Njoroge: John Kamau Macharia?John Kamau: Kwa majina mimi naitwa John Kamau Macharia na mimi pendekezo langu ni kuhusu biashara. Hapa, naonatunaumia zaidi kama wafanyi biashara kwa sababu license ambayo tumewekewa na County Council- na bahati mbayaCouncillor ametoroka ndio nilitaka niongee akiwa karibu ili aende na hilo pendekezo. Tunaumia kwa njia hii; serikaliilituondolea license ikawa kidogo kama shilling mia tatu, mia moja hivi. Nafikiri wafanyi biashara wenzangu wanajua hivyo. NaCounty Council inatu-charge license yao shilling elfu tatu. Kwa hivyo maduka mingi, mahoteli, ma-butchery hapa Western,nafikiri yamefungwa. Inakaa kama nyumba za watu kulala kwa sababu, ukifungua upatikane na hawa watu wa county councilwanatembea na polisi, wanakuuliza wapi license ya county council- huna, hapo unashtakiwa na unapewa bond. Kwendakortini, hakimu naye amepata kukunyanyasa kabisa. Wewe ni kaidi, unakataa kulipa county council bond yao na sasaunapigwa fine ya juu. Kufika pale, unarudi nyumbani kuuza kuku wako, pengine na mbuzi ndio utolewe pale.Sasa, nyumba nyingi saa hii hata vile muko hapa Commissioners, ningeuliza kama mnamaliza muende kama maji ya mto(inaudible), ukiteremka hivyo mpaka Matisi iko stima. Nyumba zinaanguka, hakuna watu wanafanya biashara kwa sababuukifungua na huna hiyo pesa elfu, unashikwa. Ndio unaona uchumi wa hapa huwezi kuendelea. Hivyo tunanyanyaswa nacounty council kwa sababu wanavuna mahali hawajapanda. Hatupati huduma yoyote, hawaleti tractor ya kurokota takataka,hakuna mtu wa kufagia na wanatuwekea kodi ya juu. Mimi ningeuliza, wafanyi biashara wenzangu, kama inawezekana nacounty council inataka kutucharge license yao, tunakaa nao pamoja, tunajadiliana. Kwa sababu hapa ni reserve na kule townkama wewe Commissioner umetoka Nairobi utalala pengine Tourist, utakula, utakunywa, utawacha pesa pale. Lakini hapahuwezi lala. Unaona unaweza lala wapi? Labda Nzoia Guest. Sasa, hakuna mtu ambaye atatoka reserve anakuja kwa hoteliyangu aseme “mimi nataka kipande ya kuku na ugali”. Hiyo ni gharama maana anatoka nyumbani lakini wewe itakulazimuutakula. Hata maji ndio maana unaona saa hii umeweka hapa maji safi. Huwezi kubali haya tunakunywa ya Nzoia River kwasababu unaogopa typhoid. Si ni sawa? Kwa hivyo, tungeomba County Council kabla ya kutuamulia license ni kiasi ganitutalipa, tuwe tumekubaliana na wao, tunakaa kama wafanyi biashara, tuone area tunaweza charge kitu gani ili kuokoa wafanyibiashara.Com. Bishop Njoroge: Tumepata point hiyo, kwenda kwa nyingine.John Kamau: Sasa kwa lingine, kuna shida moja mimi naona ambayo tunahangaika na imeongewa sana, kuhusu pombe;chang’aa na busaa. Hii pombe ilikuwa tangu zamani; hata babu yangu nilikuta kama anakunywa na haikuwa inadhuru mtu.Kama busaa ni mbaya, wacha tutoe chang’aa na madawa ya kulevya mengine- hata brewery ifungwe na watu waende

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!