12.07.2015 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

35wanakuja wanafanya msako, wanashika wanaenda. Wengine nao tena wanakuja ati wao ni police wanakuja wanafanyamsako, na kumbe ni wezi. Sasa kwa hivyo, inashinda raia kut<strong>of</strong>autisha police kamili na police wale wa kuibia watu. Hicho kitukitoke halafu tujue kama kuna msako, police aje kwa subchief wa hiyo area, watembee naye kwa sababu yeye watuwanamjua. Sasa wakifanya msako itakuwa sawa, hatuwezi kuwa na shida kwa watu wake. Hii inafanya wezi wanasumbuawatu sana, wakikosa kujua police ni nani na mwizi ni nani. Kwa hivyo hicho kitu kinafanya watu kuhangaika na hiyo sheriaitolewe.Ya pili, kuanzia Sub-chief, Chief, Councillor, Mbunge hata Rais, tuwe tukiwapigia kura kwa sababu, Sub-chief huwawanatusumbua wakisema “hata ukifanya nini, mimi nitakutawala tu kwa sababu mimi sijaguliwi na kura yako. Hata chiefanasema mimi nitakusumbua tu, na wewe huna kitu utanifanya kwa sababu mimi sipigiwi kura”. Kwa hivyo tunataka sisituwachague sisi wenyewe.Com. Lethome: Mzee wacha nikuulize swali moja, si Mbunge sasa hivi unamchagua?Haggai Liboi: NdioCom. Lethome: Sasa hivi kuna kitu gani mnaweza kumfanyia kabla miaka tano haijaisha?Haggai Liboi: Mimi nakuja upande huo. Mbunge sub-chief, chief, mimi napendekeza kuwa tupewe nafasi kabla ya miakamiwili na nusu, tupige kura ile ya maoni. Ikiwa ni mtu tunaweza kuendelea naye, tuendelee naye kwa maana wenginewanatufinya mpaka miaka mitano inaisha na tena yeye anaenda, ameshakula pesa, na yeye bado kutufanyia kazi ile tumemtumayeye. Tunataka hapo katikati tuwe na njia ya kupiga kura ya maoni. Tunaweza kumtoa kabla ya kutusumbua kwa wingi aukutunyanyasa.Lingine, napendekeza juu ya mashamba; Kenya, yule mtu anaweza kuwa na shamba kubwa sana, awe na hekari kama elfumoja. Na huyo ni Rais au Minister. Kwa zile zingine zinabakia- raia sisi wengine hatuna shamba hata nusu hekari- tupatiwekuliko mtu mmoja kukaa nayo na halimi, hajui hiyo shamba inafika wapi na raia wanateseka. Badala ya kulima hilo shambawatoe mahindi isaidie watu wengine, inakaa bure.Com. Bishop Njoroge: Point ya mwisho?Haggai Liboi: Point ya mwisho, mimi napenda hivi; Rais asituchagulie kiongozi mwingine yule atakuja. Sisi raia, ndio tunatakatuchague kiongozi. Yeye aseme tu watu ni hawa, yeye atuachie, hapana yeye kutuchagulia.Com. Lethome: Ujue kuna kuchagua na kuna kupendekeza. Kwa mfano anasema mimi nampendekeza Haggai. Hiyo kuna

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!