12.07.2015 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

22 nd AUGUST 2002CONSTITUENCY PUBLIC HEARINGS,KANDUYI CONSTITUENCY HEARINGS – NZOIA SUGAR COMPANYON 2 ND AUGUST, 2002.PresentCom. Bishop NjorogeCom. Ibrahim LethomeSecretatiat In Attendance:Triza Apondi – Programme OfficerJames Macharia – Assistant Programme OfficerLydiah Moraa – Verbatim RecorderThe meeting started at 9.55 a.m with Com. Bishop Njoroge being in chair.Com. Bishop Njoroge: --------- ili tuwe katika hali moja. Tunaye furaha kwa kuwa hapa kama Commissioners wa Tume yaKurekebisha Katiba, kwa ajili ya kupokea maoni yenu. Huu ni wakati muhimu katika nchi yetu na kabla hatujaanza, ningeitammoja wetu atuongoze kwa maoni. Sijui kama kuna mtu aliye tayari ambaye angetuombea ili tuanze kikao hiki kwa maombi.John Juma: Tuamini na tuombe. Mwenye anaomba ni John Juma.Mwenyezi Mungu Baba wa rehema, ni wakati huu wa asubuhi tunakuja mbele yako na Baba tunakushukuru kwa vile weweuliteuwa siku ya leo tuwe katika hiki kiwanja, kujadiliana mambo ya Katiba. Na Baba ukawe mwenye kiti mwema,ukatuongoze na hata na wale wenye wako njiani wanakuja ili tuandamane pamoja. Baba ukatuunganishe, yote yenye tunanenahapa iwe ya kusaidia nchi yetu na yawe ya kujenga. Hata wale wenye watatuongoza Baba wewe ukawe Mwenyekiti wao.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!