12.07.2015 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

17Com. Lethome: Thank you very much Mr. Samuel. Can we have now Emojong Ebron? Karibu.Emojong Ebron: Commissioners and wasikilizaji wenzangu, hamjambo?Com. Lethome: Anza kwa majina.Emojong Ebron: Majina ni Jackson Emojong Ebron. Mengine yangu yamesemwa na wenzangu lakini nitapita haraka haraka.Kitu cha kwanza, kulingana na Katiba ambayo inaelekea mwisho, hiyo Katiba ilikuwa ina-protect samaki wakubwa katikaserikali yetu ya Kenya. Unakuta mtu mwingine hana mahali pa kuweka kaburi lake wakati anapokufa, lakini kuna watuwengine unakuta wako na hekari elfu miatano, na wewe mahali pa kuweka kaburi peke yake huna. Sasa hapo hapotunashindwa, sisi tuko wapi?Com. Lethome: Sasa ungependekeza nini?Emojong Ebron: Sasa ndio mimi ndio nasema hivi; hilo shamba ambalo samaki kubwa wamenyakuwa, wanyanganywe,wagawie wale ambao hawana mahali pa kulima.Com. Lethome: Na hawa samaki kubwa wataenda wapi wakinyanganywa?Emojong Ebron: Watabaki na kama hekari mia tano. Lakini elfu mia tano hii yote, hata wewe ukiangalia, si hiyo ni hasarakubwa kwa wananchi wengine? Ndio inafanya watu wengine wanaingia mitaani wanaanza kunyanganya wale ambao wako napesa.La pili, unakuta viongozi wa serikali, pengine ni Minister katika idara fulani. Unakuta tena ni mwanachama katika parastatalbody fulani. Ako na post tano na kuna watu ambao wameelimika na wanakaa nyumbani, hawana mahali pa kupata shilingi tanopeke yake ya sabuni.Com. Lethome: Sasa unapendekeza nini?Emojong Ebron: Tungependekeza hivi; hawa kama ni Minister mtu awe Minister. Hizi idara zingine zote wa-resign, wapatiewananchi wengine nao wapate matunda ya uhuru. Iwe one man, one job.Com. Lethome: And for women?

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!