constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitutionnet.org
from constitutionnet.org More from this publisher
12.07.2015 Views

16Jambo lingine ningetaka kuongea ni kuhusu research. Serikali yetu inatakiwa kutilia mkazo sana katika kila idara ili wawezekuweka research kabisa. Kama ni upande huu wa miwa, iweke research kabisa na tujue ni miwa gani tunahitajiwa kukuza najinsi gani inavyotakikana na katika sehemu zingine zozote.Jambo lingine ni kuhusu self reliance au kujitegemea. Watu wanatakiwa kujifunza kujigetemea kabisa kuliko nchi yetu kukaatukiomba omba kila siku, kila mara kwa sababu unasikia inasemekana ya kwamba unaobarikiwa ni mkono upeanao kuliko uleambao unapokea. Kwa hivyo sisi tunatakiwa kupeana lakini si kupokea.Jambo lingine nataka kuona ya kwamba, busaa na chang’aa zinatakiwa kupewa na ruhusa. Kwa sababu hata zikikatazwa,bado watu wanaendelea kukunywa chang’aa na busaa. Kwa hivyo wanatakiwa kupewa license ili wawe wakiuza kama pombezingine katika jamii. Jambo lingine ni wale ambao hawajiwezi:- disabled. Hawa nao, wanatakiwa kupatitwa nafasi katika jamiina kutambulika vilivyo. Jambo lingine ni kuhusu maktaba au libraries. Library zinatakiwa kuwa katika kila sehemu ili watuwanapomaliza masomo isiwe inakomea kwa darasa tu, wawe wakijiendelesha katika public libraries. Watu wanasoma nakuzidi kukuwa na maarifa zaidi. Jambo lingine ningetaka kusema ni about regional government. Ninakubaliana tuwe na regionalgovernment ambazo hazianguki katika mipaka ya kikabila na viongozi katika zile regional government, wanatakikanakuchaguliwa na watu.The Presidency; the President needs to be an Executive President, he should not a member of any party or be a Member ofParliament. He should be allowed to appoint Chief Justice, Auditor General, Chief of General Staff and Chairman andmembers of Public Service Commission.The Executive: the Executive will be composed of the Prime Minister, Minister, Deputy Minister and Permanent Secretary nahawa wote wanaweza kupelekwa kortini. Jambo lingine ni kuhusu the Judiciary. They should be appointed by the JudicialCommission and approved by the Parliament. Provincial administration; no need to have Chief, DO, DC and PC because thiswould be taken care of by the regional government. Parastatal bodies; this should be appointed by Minister concerned andapproved by Parliament.Electoral system; the President should be elected by the people so also should the Vice President. The constituency; theconstituency should be governed by the population and not by the geographical area. Date of elections should be fixed withinthe Constitution which may be altered by Parliament if need be. Presidential votes; 50% to the President and over, and 10% inevery region. The term of Parliament should be 4 years. Term of service; all elected people should have 4 years contractrenewable once only. Mambo ya kupiga kura kutumia ballot boxes; there should be transparent boxes. Electronic voting; thiswill give freedom to Members of Parliament to vote without fear of victimization. The Bill of right; this should be honoured andsigned by the government of Kenya all and laws that go against humans right be deleted. Land; no trust land in Kenya butgovernment land with a title deed. That is all I have for this Commission.

17Com. Lethome: Thank you very much Mr. Samuel. Can we have now Emojong Ebron? Karibu.Emojong Ebron: Commissioners and wasikilizaji wenzangu, hamjambo?Com. Lethome: Anza kwa majina.Emojong Ebron: Majina ni Jackson Emojong Ebron. Mengine yangu yamesemwa na wenzangu lakini nitapita haraka haraka.Kitu cha kwanza, kulingana na Katiba ambayo inaelekea mwisho, hiyo Katiba ilikuwa ina-protect samaki wakubwa katikaserikali yetu ya Kenya. Unakuta mtu mwingine hana mahali pa kuweka kaburi lake wakati anapokufa, lakini kuna watuwengine unakuta wako na hekari elfu miatano, na wewe mahali pa kuweka kaburi peke yake huna. Sasa hapo hapotunashindwa, sisi tuko wapi?Com. Lethome: Sasa ungependekeza nini?Emojong Ebron: Sasa ndio mimi ndio nasema hivi; hilo shamba ambalo samaki kubwa wamenyakuwa, wanyanganywe,wagawie wale ambao hawana mahali pa kulima.Com. Lethome: Na hawa samaki kubwa wataenda wapi wakinyanganywa?Emojong Ebron: Watabaki na kama hekari mia tano. Lakini elfu mia tano hii yote, hata wewe ukiangalia, si hiyo ni hasarakubwa kwa wananchi wengine? Ndio inafanya watu wengine wanaingia mitaani wanaanza kunyanganya wale ambao wako napesa.La pili, unakuta viongozi wa serikali, pengine ni Minister katika idara fulani. Unakuta tena ni mwanachama katika parastatalbody fulani. Ako na post tano na kuna watu ambao wameelimika na wanakaa nyumbani, hawana mahali pa kupata shilingi tanopeke yake ya sabuni.Com. Lethome: Sasa unapendekeza nini?Emojong Ebron: Tungependekeza hivi; hawa kama ni Minister mtu awe Minister. Hizi idara zingine zote wa-resign, wapatiewananchi wengine nao wapate matunda ya uhuru. Iwe one man, one job.Com. Lethome: And for women?

16Jambo lingine ningetaka kuongea ni kuhusu research. Serikali yetu inatakiwa kutilia mkazo sana katika kila idara ili wawezekuweka research kabisa. Kama ni upande huu wa miwa, iweke research kabisa na tujue ni miwa gani tunahitajiwa kukuza najinsi gani inavyotakikana na katika sehemu zingine zozote.Jambo lingine ni kuhusu self reliance au kujitegemea. Watu wanatakiwa kujifunza kujigetemea kabisa kuliko nchi yetu kukaatukiomba omba kila siku, kila mara kwa sababu unasikia inasemekana ya kwamba unaobarikiwa ni mkono upeanao kuliko uleambao unapokea. Kwa hivyo sisi tunatakiwa kupeana lakini si kupokea.Jambo lingine nataka kuona ya kwamba, busaa na chang’aa zinatakiwa kupewa na ruhusa. Kwa sababu hata zikikatazwa,bado watu wanaendelea kukunywa chang’aa na busaa. Kwa hivyo wanatakiwa kupewa license ili wawe wakiuza kama pombezingine katika jamii. Jambo lingine ni wale ambao hawajiwezi:- disabled. Hawa nao, wanatakiwa kupatitwa nafasi katika jamiina kutambulika vilivyo. Jambo lingine ni kuhusu maktaba au libraries. Library zinatakiwa kuwa katika kila sehemu ili watuwanapomaliza masomo isiwe inakomea kwa darasa tu, wawe wakijiendelesha katika public libraries. Watu wanasoma nakuzidi kukuwa na maarifa zaidi. Jambo lingine ningetaka kusema ni about regional government. Ninakubaliana tuwe na regionalgovernment ambazo hazianguki katika mipaka ya kikabila na viongozi katika zile regional government, wanatakikanakuchaguliwa na watu.The Presidency; the President needs to be an Executive President, he should not a member of any party or be a Member ofParliament. He should be allowed to appoint Chief Justice, Auditor General, Chief of General Staff and Chairman andmembers of Public Service Commission.The Executive: the Executive will be composed of the Prime Minister, Minister, Deputy Minister and Permanent Secretary nahawa wote wanaweza kupelekwa kortini. Jambo lingine ni kuhusu the Judiciary. They should be appointed by the JudicialCommission and approved by the Parliament. Provincial administration; no need to have Chief, DO, DC and PC because thiswould be taken care of by the regional government. Parastatal bodies; this should be appointed by Minister concerned andapproved by Parliament.Electoral system; the President should be elected by the people so also should the Vice President. The constituency; theconstituency should be governed by the population and not by the geographical area. Date of elections should be fixed withinthe Constitution which may be altered by Parliament if need be. Presidential votes; 50% to the President and over, and 10% inevery region. The term of Parliament should be 4 years. Term of service; all elected people should have 4 years contractrenewable once only. Mambo ya kupiga kura kutumia ballot boxes; there should be transparent boxes. Electronic voting; thiswill give freedom to Members of Parliament to vote without fear of victimization. The Bill of right; this should be honoured andsigned by the government of Kenya all and laws that go against humans right be deleted. Land; no trust land in Kenya butgovernment land with a title deed. That is all I have for this Commission.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!