12.07.2015 Views

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

90Githungo Gacemo: Nitamaliza! Kuwe na hospitali za serikali badala ya zile ambazo ni private. Yaani ninauliza tu kuwe nahospitali ya serikali badala ya hii private. Kwa sababu kuna mambo mengi ndani ya hiyo mambo.Yangu ya sita ni katika shule zote za msingi, siziwe zinalipwa. Watu wawe wanasomeshwa bure bila kulipa chochote. Yangu yasaba, serikali ichague kamati kubwa ya watu kutoka ishirini hadi ishirini na tano, yakuangalia au kukagua tenders za kuendeshamambo- yaani katika Serikali, zile tenders ambazo zinafanywa za kununua vitu, kuwe na watu ambao ni zaidi ya hiyo ishirini auishirini na tano badala ya wale watumishi.Com. Keriako Tobiko: Sasa ya mwisho. Nisikusimamishe mzee wangu. Karatasi umeandika na points. Soma lile unafikiri nimuhimu kabisa kwa ile dakika imebakia, soma ile moja ambayo ni most important.Githungo Gacemo: Basi nitasema ya mwisho niwaache ingine mtasoma.Com. Keriako Tobiko: Tutajisomea.Githungo Gacemo: Ile ingine yangu ya mwisho nauliza Serikali iangalie hii mambo ya dini zote. Denominations ziangaliwe kwamakini sana. Sasa zimegeuka. Langu la mwisho, nasema basi ili nikwamie hapo, mashamba yaliyokusanywa kutoka kwa watuyaani villages, ziwaachiwe mikononi mwa waliokusanya hayo mashamba badala ya kuachia council.Com. Keriako Tobiko: Asante sana Mzee wangu. Asante kabisa. Johnson Wanjohi, Mary Wanjiru, Lucy Wanjugu.Lucy Wanjugu: Nii ngwaria na gikuyu. Ndirenda kuuga ati ndiraruta woni wakwa wa mwanya ati, ithui nituhinyiriirio ihinda ririmuno.Translator: Mimi ningetaka kusema tumefinywa sana na serikali.Lucy Wanjugu: Raia nituhinyiriirio ihinda riri muno uhoro ukonie urimi witu wa kahawa.Translator: That c<strong>of</strong>fee farmers have been greatly oppressed.Lucy Wanjugu: Ati ithui twatuikire turi arimi na tugituika ithui tutirona kiria kiratuteithia ihinda ini riri.Translator: We are farmers but we get nothing from our produce.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!