verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

constitutionnet.org
from constitutionnet.org More from this publisher
12.07.2015 Views

8land anywhere in the republic regardless of their tribe, nationality of origin, religion e.t.c. There should be no duplication intaxation to farmers when payment is made as it is in tea and coffee e.t.c.Local government should concentrate on development of economic, social e.t.c. of their areas with equal assistance from theCentral Government. Provincial Administration should be strengthened for the execution of the law and order. Lastly, as themembers saw, land tenure should be revisited to ensure that no individuals own estates which are not utilized. This should besegmented and given to public for utilization. The State should rightly acquire these estates for public use. Even the Nyayo TeaZone should either go to public or go back to the public reserve. Thank you.Com. Bishop Njoroge: Thank you very much Mzee. Just wait we have a question.Com. Lethome: Umesema kuwa Rais ni lazima awe mtu ambaye anaishi na familia yake. Kwa hivyo kama ni mume awe namke na familia yake. Mwanamke awe ameolewa. Unajua kuna baadhi ya watu, viongozi wa dini-kwa mfano kanisa la katoliki,wamechukua ile oath of celibacy. Suppose let us say a father or a priest wants to vie for Presidency, do you deny him thatchance because he has taken an oath of celibacy?Peter Wanjohi: What I was reading were views of members, so I can answer your question by giving my own view. Am I allright?Com. Lethome: Yes, Just go on.Peter Wanjohi: If the Presidency falls on such a person, then because we know, everybody knows what he has done- he is aclergyman, my views are that he should be allowed.Com. Bishop Njoroge: Thank you very much. Waambie tumefurahia kwa memorandum yao na itafika mahali inakofaa.Samuel Wanjohi: Mtu akimaliza kutoa maoni, anaenda pale anarecord.Bishop Bernard Njoroge: Tutampatia Mayor wa town hii nafasi ya kueleza maoni yake. Kwa hivyo Mayor ukienda pale weall have to give the same credit. The Ten Minutes.Mayor: Thank you very much Commissioners, Support group and members of the Public. Kwanza ningetaka kuwashukuru nakuwakaribisha katika hii town yetu ama mji huu wetu wa Karatina. Tuna furaha sana kwa kuwapokea. Mkiwa Commissionerskutoka Nairobi na vile vile wananchi ambao wamejitokeza katika tarafa yetu ya Mathira. Leo ni siku kubwa kama viletulivyokuwa tumeingonjea kwa hamu sana, maanake leo ndio tutapeana yale maoni yetu kabisa ambayo kwa miaka mingi

9tumekuwa tukipigania ili tujue jinsi ya vile tunataka kuishi.Nafikiria Bwana Commissioners mumeona vile watu wamejitokeza hata ingawa kuna mvua na bado najua wengine wataingiazaidi. Hii ni kwa sababu ya yale mapenzi ambayo watu wanayo kuhusu kuwapatia maoni yao katika siku ya leo na siku yakesho katika upande wa Ruguru. Leo itakuwa hapa Karatina. Kesho itakuwa ni Ruguru. Maanake kule ni mbali sana. Na kwahivyo ninajua mtapokea maoni ambayo itasaidia nchi yetu kwa maana yale maoni ambayo zote tunawapatia, itakuwa itatusaidiasisi sote katika nyakati zinazokuja.Na mimi sitaongea mengi maanake kuna viongozi wengine watakuja kupeana maoni. Lakini niwaambieni kwamba muko hurukabisa kupeana yale muko nayo. Leo hapana siku ya kuja kupigania hapa mbele Kanisa za Kianglikana ama kusema hii nimbaya ama ile ni mbaya. Ama viongozi waanze kuzushiana hapa. Parties,- zile political parties sizije zikapiganie hapa mbele yaCommissioners. Leo ni maoni yako kibinafsi, ama as an organization kuhusu vile unataka tuuishi ama kuishi tukiwa kwa nchi hii.Kwa hivyo, nataka niseme kwamba sisi kama municipal tuna maoni yetu ambayo iko njiani yaja. Na ikifikia wakati huo,mtaacha tupeane hiyo maoni Memorandum na vizuri maanake sitaki ku-present mwanzo,-nipatie wengine waendeleeninapongojea wale wako na hiyo maoni. Asanteni sana.Com. Bishop Njoroge: Asante kwa kutukaribisha. “Can we switch off all the mobile phones”? Kama una mobile yako, uizimeili isije ikafanya…..kwa sababu tuna-tape haya maneno, na ni kwa sababu ya watu watakao zaliwa miaka hamsini ijayo,waweze kusikia haya maneno. Kwa hivyo hatutaki kelele yoyote kuingia ikiwa mtu anazungumza. Kwa hivyo wale wana mobilephones tafadhali wazime.Tungetaka tupate Crispo Ngari.Crispo Ngari: I want to talk more about workers agony after retirement. Or being retrenched before attaining mandatory fiftyyears. There has occurred misuse of clauses in the N.S.S.F Act, when workers are either retired or voluntarily retrenched. Thismis-use has directly benefited the employer and the government of the day, when you the employee has been shown the door.The red tape bureaucracy comes about when your former employer tells you day in, day out, that your contributions are on hisdesk-such that you can check with the NSSF for appropriate action, where else, he really knows that these are musical chairsand when…….Com. Bishop Njoroge: Let me say this, ukijua taabu tupatie jawabu, hatutaki utupatie hadithi kubwa, tunajua shida zetu zote;tunataka ile jawabu ambayo itaingia katika hii Katiba, Utuambie NSSf, ungetaka ifanyike nini?Crispo Ngari: What l would suggest is that the clause should be changed so that you benefit after being retrenched before youattain 50 years. For some reasons best known to us, you would probably have had a loan before you were retrenched,-youhad been covered by AAR, National Hospital Insurance Fund, and after leaving the place, you have got nothing to use. That iswhere we are wondering why the present government is telling us to join Jua-kali. We apply for loans, from “micro-soft” andothers, where else we contributed some money. That is where we should request the government of the day to amend that Act

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!